Angelister Kanyungu retweeted
Waraghabishi wa kigoma tukijadiliana ninamna gani tunaweza kutatua changamoto ambazo hatukufanikiwa kuzitatua katika mwaka ulio pita 2018 @AlkadoAlphonce @VMpambije @FidesMashaka @BitamaDavid @MachuzaJ @BrightonKahili3 @AGwandiko
Angelister Kanyungu retweeted
Mtoto anapokinzana na sheria shauri lake linapelekwa mahakama ya watoto ambapo kwa #Kibondo mahakama ya mwanzo Nabuhima. Afisa ustawi wa jamii (W) Kibondo. #ChukuaHatua #DijitaliKwaMaendeleo #Kibondo #Kigoma – at Kigoma, Tanzania
Angelister Kanyungu retweeted
Tutumie nguvu ya #dijitari kuhakikisha tunatokomeza ukatili wa kijinsia katika jamii zetu na kutoa elimu kwenye jinsia zote bila kubagua hasa kwa #wanawake @ChukuaHatua hasa unapo kutana na elimu hiyo @SimanziM @umwalimu @ChukuaHatua
Angelister Kanyungu retweeted
Msimamizi mkuu au chombo cha kusimamia #hakizabinadamu Ni mwanadam mwenyewe, na chombo Cha pili Ni #police #ChukuaHatua
Angelister Kanyungu retweeted
Waraghabishi Kigoma hivi ndivyo tunavyooanza safari kurudi majumbani, baada ya kumaliza mafunzo muhimu ya haki za binadamu. Wakufunzi wakiwa ni polisi, Hakimu, wilaki, Afisautumishi wilaya ya kibondo. Tuchape kazi kwa mstakabali wa Taifa latu. @MagufuliJP @billmarwa #chukuahatua
Angelister Kanyungu retweeted
Haki za binadamu ni haki za asili ambazo kila mtu anazaliwa nazo. (Emmakrate Shuli) hakimu mkazi mahakama ya mwanzo kifura #Kibondo. #ChukuaHatua #DijitaliKwaMaendeleo #Kibondo #Kigoma – at Kigoma, Tanzania
Angelister Kanyungu retweeted
Kupitia mradi wa kuwezesha utawala bora na uwajibikaji #Chukuahatua @OxfamTz imewezesha wananchi wa kawaida kushiriki katika maswala ya kuondoa umaskini na kuleta maendeleo. @JosephKajuli Afsa mradi kutoka OXFAM KIBONDO. – at Kigoma, Tanzania
Angelister Kanyungu retweeted
Mkufunzi wetu wa @OxfamTz @Kajuli_JSK akihoji jinsi sisi tunavyofanya kazi ,na kutuambia jinsi wenzetu wa mbogwe wanavyofanya kazi kwa ushirikiano, akisema tuwe na umoja na ushirikiano katika kufatilia changamoto na kutafuta namna sahihi ya kuzitatua. @msoapomtwara #ChukuaHatua
Angelister Kanyungu retweeted
Tukiwa kwenye mafunzo ya haki za binadamu pamoja na kiongoz hakimu mahakama ya mwanzo kifula #ChukuaHatua #Kibondo
Angelister Kanyungu retweeted
Suala la mke kukopa mkopo kwa kutumia jina la mme wake kama hayupo kwa kipindi kirefu, je, hii ipo sahihi?? Dondosha wazo lako pia usisahau kupiga kura hapo chini👇👇
#ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
21%Ndiyo
79%Hapana
0%Sijui
14 votes • Final results Angelister Kanyungu retweeted
Mtoto wa kike mwenye umri chini ya miaka 17-0 hana mamlaka juu ya mwili wake. Yajue hayo yote na mwanasheria wetu kutoka WILAC #Kibondo bwana Godrian Tillya
#ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
Angelister Kanyungu retweeted
Ubaguzi wa kdini ukabila pia rangi ni moja kati ya ukiukwaji wa haki za binadamu ni hakimu mkazi wa mahakama ya mwanzo #kifura mh Emmakrate Shuli
#ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
Angelister Kanyungu retweeted
Wakazi wa Kijiji cha #Biturana wilaya ya #Kibondo #Kigoma wanao uhaba wa maji hali inaleta changamoto katika maisha yao yao @JosephKajuli @MfaumeMasudi @atashasta
Angelister Kanyungu retweeted
Jamani hivi ukatili utaisha lini? Kibondo leo mwali mu wa shule ya msingi kazilamihunda mkoani kigoma wilaya kibondo amepiga mwanafunzi wa darasa la tatu na kuletwa hosptali ya wilaya kibondo na kufaliki hapohapo jambo la kusikitisha sana
Angelister Kanyungu retweeted
Towards the women's world day , it is important to get clean and safe water and that water should be available near housing according to the water policy that is to reduce women's addiction from the night to seek water from far away something that is dangerous to women's lives # – at Kigoma, Tanzania
Angelister Kanyungu retweeted
Hakuna jamii inayo weza kusonga mbele bila kumuweka mwanamke mbele kwasababu mwanamke nikila kitu bila yeye mwanaume asingeonekana #Duniani tupinge #ukatili zidi ya #wanawake @ChukuaHatua @mbaruku_afifa @bahumtma @zenanakoni1
Angelister Kanyungu retweeted
Mwanamke akihusishwa kwa kilajambo na mawazo yake kuheshimiwa atakua msitali wa mbele ktkt swala la kutafuta maendeleo ya jamii @SuluhuSamia @umwalimu hii ni siku ya #wanawake #duniani @ChukuaHatua
Angelister Kanyungu retweeted
Da! Kwa hali hii #kibondo serikali haipo? Tuombe wizara husika kuweza kupaangalia kwa mapana zaidi maana mwishoe itakuja itokee mlipuko wa magonjwa @kitilam @MbarawaM @maji_mowi @MagufuliJP @majaliwa_kassim @MarekaMalili
Au kwa sababu ni mwisho wa leri? #chukuahatua
#maji #Kibondo imepofikia ni pabaya kwa hali hii hivyo basi @maji_mowi @wizara_afyatz hali hii muingalie kwa jicho pana katibu wizara ya maji mh @kitilam na mr @MbarawaM hili hamjaliona?
Angelister Kanyungu retweeted
#maji #Kibondo imepofikia ni pabaya kwa hali hii hivyo basi @maji_mowi @wizara_afyatz hali hii muingalie kwa jicho pana katibu wizara ya maji mh @kitilam na mr @MbarawaM hili hamjaliona? – at Kigoma, Tanzania



























