
Mimi ni mraghabishi kutoka #kibondo #chukuahatua
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets1.1K
- Following340
- Followers133
- Likes3.7K
Daud Elias retweeted
NAMNA YA KUANZA HOTUBA
•Inua kichwa na tabasamu
•Toa mzaha mfupi (hakikisha mzaha utachekesha)
•Uliza swali la kufikirisha ambalo wote kwenye hadhara wanalo
•Toa [relevant] fact au takwimu ya kufikirisha (mf. wanaioshi leo ni wengi kuliko wote waliokufa?)
•Toa hadithi fupi
Daud Elias retweeted
Young people: you gotta live within your means! Stop spending more than you earn trying to chase what you don’t have! Your motto should be: “live below your means but within your needs”. Only through discipline can you achieve financial peace. – at Dar es Salaam, Tanzania
Daud Elias retweeted
Naendeleo kuamini uongozi sio kitu cha kukimbilia. Usitamani sana nafasi ya uongozi kuliko kutamani kutumikia ile nafasi kwa upendo mkuu na unyenyekevu. Kwenye kutumikia ndio watu waone unafaa kuwaongoza na Mungu aweke kibali chake na akupe ulinzi na nguvu za kuongoza watu wake.
Daud Elias retweeted
"Akiwa mjamzito, aliamua kupambana sana na kijana aliyekuwa ameingia chumbani kwake kwa ajili ya kumbaka. Aliona bora kujitoa muhanga kuliko kumuacha kijana mdogo vile amdhalilishe. " #Teleza #ChangeTanzania
Daud Elias retweeted
Nini kinasababisa barabara kuwa katika hali hiii? Ukipita maeneo ya Chalinze uelekeo wa visezi,mbala vigwaza,Ruvu darajani hadi Mlandizi kuna maeneo yapo hivi sheria inasemaje.@RsaTanzania @ajalinisisi @safiri_salama @tanroad27 @SumatraTZ @Tanganyikan @Sheria_Katiba
Daud Elias retweeted
Mamlaka husika walione hilo tatizo na walishughulikie haraka @MbarawaM @kitilam @mohamed_mkulima @AlkadoAlphonce
Tunaishukuru @maji_mowi na idara ya maji #kibondo kwa kuleta mradi wa maji mtaa wa kumwai. Lakini haijapita hata miezi 2 tangu mradi uzinduliwe mabomba yashaanza kupasuka na maji yanamwagika ovyo. Kulikoni? Tusaidieni. @kitilam #Chukuahatua – at Kigoma, Tanzania
Daud Elias retweeted
Serikali inampango gani kuelimisha wananchi hasa tunapokaribia nyakati za uchaguzi serikali za mitaa, ili kuepusha wagombea wasio na vigezo lakini kuepusha vurugu za kivyama na kisiasa? @TAMISEMI3 #ChukuaHatua
Daud Elias retweeted
Wanafunzi wa sekondari na msingi wanapaswa kupatiwa chakula cha mchana kama sehemu ya haki yao ya msingi wanapokuwa shuleni. WanaJamii washiriki kikamilifu zoezi hili wakishirikiana na Uongozi wa Shule na Vijiji husika. SOTE tushiriki kujenga Taifa imara na watoto hodari.
Hivi katazo la mifuko ya plastic linawataka pia watu wenye bidhaa zilizofungwa kwenye mifuko hiyo kuzifungua na kuondoa mifuko hiyo? Kama ndiyo kazi ipo. @JMakamba @EcoMazingira – at Kigoma, Tanzania
Daud Elias retweeted
JARIBIO LA UFAHAMU 2019
Jibu swali lifuatalo kwa usahihi
A + B = C Tafuta Thamani ya A, B
na C
Daud Elias retweeted
“Urafiki unaotokana na biashara zenu ni bora kuliko biashara itakayozaliwa kutokana na urafiki wenu”Billionea wa zamani wa Marekani John D,Rockefeller”
Daud Elias retweeted
Reminded of the pain that our ancestors across Africa endured to achieve independence.
Daud Elias retweeted
Sir Solomon kalushi born 10 July 1956 was South Africa operative of ANC militant wing MK He was convited of murder and hanged in April,6 1979 aged 22
“My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom.Tell my people that I love them.They must continue the fight
Daud Elias retweeted
Ewe Mola wangu Mlezi, kesho tunaingia dimbani kuwavaa TP Mazembe, nakuomba utujaaliye ushindi. Wenzetu hawa uliishawapa kombe hili mara 5, tunaomba iwe zamu yetu. Mungu hujawahi kushindwa; najinyenyekeza kwako, naomba uinyanyue @simbasctanzania na nchi yote. Amina! 🙏🏿 #NguvuMoja – at Dar es Salaam, Tanzania


























