JaylosKharid (@JaylosK) header
JaylosKharid (@JaylosK) profile picture

Mimi ni mraghabishi kutoka #Kibondo #ChukuaHatua

Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)Photo by JaylosKharid (@JaylosK)
Tunashukuru serikali yetu ya Tz,kwa kampeni inayoendelea sasa ya upuliziaji wa dawa ya kùuwa mbu waenezao maralia hasa kigoma kibondo,maralia itapungua.Tuombe na dawa za kuangamiza kunguni majumban zitafutwe nyumba nyingi ni shida @MagufuliJP @umwalimu @DocFaustine #chukuahatua
2
2
5
Serikali ingeangalia uwezekano wa ufungaji wa mbolea, ikiwezekana, hata kg 5,10,15,20 zifungwe kwenye mfuko wenye ujazo tofauti ili ili kupunguza hali iliyopo sasa ya kipima mbolea kwa kopo kama ilivyo sasa. @MagufuliJP @tzagriculture #chukuahatua
Hakika #kigoma #kibondo musimu huu wa mvua maendeleo ya mazao si haba, ni vizuri kila mmoja awajibike kwa uwezo wake pasipo kubweteka 2thesalonike 3:10 @KilimoForum @tzagriculture #chukuahatua
1
Mradi huu kama magufuri angepita kukagua hakika sehemu zingine angeshangaa tunavyopewa huduma ya zimamoto.
This quoted post is unavailable.
Ni katika uwanja wa michezo s/m; kahama nguzo nyingi zimemwagwa lakini hatujuwi ni kwa shughuli hapa au hiki ni kituo tu, zinaondoka kwenda pengine. Maana kama nikufunga wirelling tulishafunga miaka mitatu zilizopita hakuna kinachoendelea.@MagufuliJP @tanescoyetu #chukuahatua.
1
Hakika wazazi nasi tumuunge mkono mzazi huyu ili asikatetamaa tuonyeshe jitihada kubwa tusifadhiliwe tukabweteka. @MagufuliJP @AGwandiko @TAMISEMI3 #chukuahatua
Hakika anamtazamo wa kuona mbali mungu ambariki. Niombe hata wengine wenye mawazo ya namna hiyo wajitokeze. @JaylosK @HakiElimu @OxfamTz @AndrewLemey @muhagaze @illomo_seth
2
Tangu siku hiyo aliongea na wazazi wa watoto hao watano akisema yeye anathamini sana watoto wanaojituma kwenye masomo, ila wenye tabia za kihuni wanaopigana na walimu hao hawezi kuwasaidia, alilaani sana watoto wanaojiita eti wanaenda na wakati. @TAMISEMI3 #chukuahatua
Naamini mjasiriamali huyo atatekeleza tuhimize watoto wapende kusoma kwa kuwajengea mazingira ya kujisomea. @HakiElimu @MagufuliJP @billmarwa
1
1
Katika mahafari ya darasa la saba, mgeni rasmi akiwa mjasiriamali mzee MAURIDI JUMA akatoa msaada wa kusomesha watoto watano kutoka form one hadi form four. Hakika baba huyu anathamini sana, kaulimbiu ya hapa kazi tu. @MagufuliJP @TAMISEMI3 #chukuahatua
2
2
3
Jaman pongezi nyingi kwa timu yetu ya taifa Taifa stars kwa kufuzu michuano ya chan 2020 huko Kamerun baada ya kuwatandika Sudan 2 kwa 1 wakiwa kwao. Tumefurahi Tanzania oyeee!!! @MagufuliJP oyeee!!!!! #chukuahatua
Matokeo ya watoto darasa la nne tunashukuru maana angalau yamepanda kuliko mwaka jana. Tuombe na sisi Tz tufanane na Rwanda ambao shule ya msingi wanatumia kompyuter ili kujenga uelewa zaidi katika Dunia ya sasa. @wizara_elimuTz @MagufuliJP #chukuahatua
1
4
Tunasisitiza katika chaguzi za mitaa, ni vizuri haki itawale bila kubagua jinsia, maana wanawake nao wanaweza sana, tuwape kipaombele, katika ngazi mbalimbali. @TAMISEMI3 #ChukuaHatua
Mh: Mbunge wetu akiwa amekuja kijiji cha #kitahana kuona mchezo wa Mbunge Cup, kati ya timu ya kijiji cha #kibingo na kijiji cha #kitahana hakika tunajivunia sana. @atashasta @bunge_tz #chukuahatua
3
2
Hakika madarali katika mizani, wanatuibia sana, angalia ujazo wa vipimo vya serikali, gunia liko firati, lakini vipimo cha madarali limepiliza , wanatuibia kwenye ujazo na mizani pia. Serikali ilione hili #kibondo #kigoma @Kilimobizz @elimu_biashara #chukuahatua
Du!! Tunaenda kuishukuishukuru serikali awamu ya 5, kutenga fedha kiasi cha Bilion 500, ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyakanazi, #kigoma fedha hizi tayari, zimeshaingia kwenye account ya mkoa. @WizaraUUM @IsackKamwelwe #chukuaHatua
2
1
2
Tunashukuru mkuu wa (w) kibondo, kwa naona ya mkuu wa mkoa, leo kuja kutuzindulia ghala kijiji cha Rusohoko. Ni muunganiko wa vikundi cha kijasiliamali vinne, kutoka kijiji vya Rusohoko na kigendeka, bila kusahau shirika la @OxfamTz kudhamini mradi huu. @billmarwa #chukuahatua
2
4
4
Tuko kwenye kikao na kiongozi mkurugenzi wa @Tanroad mkoa #kigoma akieleza jinsi shughuli ya ujenzi wa barabara inavyoenda kuanza kujengwa akisema fedha imeshaingia tayari,bilion 500 mh; @MagufuliJP @IsackKamwelwe tunashukuru sana. #chukuahatua
Tunashukuru sana mh: @MagufuliJP kwa jinsi unavyoendelea kutengeneza Taifa letu, hakika hata ss #kigoma tunaamini barabara yetu kuu ya kigoma to #Nyakanazi itatengenezwa, popote pale unapotembelea nchini, unaacha neema tupu, tunajivunia sana. #chukuahatua
2
2
2
Hivi kweli mashirika kukaa kibondo, na kutuacha tukiwa na changamoto ya maji, afya, elimu, nk, huku wakiishi kwenye (w) yetu hakika hii ni shida, lakini tunaendelea kushukuru mashirika machache yanayotekeleza. @UNHumanRights @OxfamTz #chukuahatua