Husband to Prosista, Dad to Aggrey, Calvin and Abigail, TZ raia, mwananchi, MP, Minister. Tweets mine!

Tanzania
Joined September 2013
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
VIDEO: Kiwanda kikubwa cha nguo cha Sinovest kilichopo katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani kimejipanga kutoa ajira kwa vijana 10,000 na kukuza mnyororo mpana wa thamani katika sekta ya viwanda, huku kikichochea uwekezaji wa kimkakati na uhamisho wa ujuzi kwa Watanzania. Uwekezaji huo unaomilikiwa na mwekezaji kutoka China unajumuisha eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 210,080 na kuingiza mtaji wa takriban Dola za Kimarekani milioni 50 hadi 55. Kiwanda hicho tayari kimeshaanza uzalishaji wa bidhaa kama jezi na fulana kwa ajili ya masoko ya ndani na nje ya nchi huku kikiendelewa kupanuliwa zaidi. Akizungumza hivi karibuni kiwandani hapo katika ziara yake ya kikazi ya ukaguzi wa miradi ya kipaumbele Bagamoyo SEZ, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo @kitilam amebainisha kuwa mradi huo ni chachu kuelekea Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 na kwamba tayari umeanza kutoa fursa za ajira kwa vijana wa eneo hilo la Bagamoyo. Kwa upande wake, Meneja Mradi wa Sinovest, Vitus Mkinga ameeleza kuwa mradi huo utatengeneza mnyororo mpana wa thamani unaohusisha uzalishaji wa bidhaa na vifaa mbalimbali, huku ukitoa fursa kubwa ya uhamisho wa teknolojia na ujuzi kwa Watanzania ili kujenga uchumi shindani wa viwanda.
2
8
1,465
The 'Discover New Africa, Explore New Opportunities' Phoenix Go Glocal · Global Development Forum was held in Tanzania. Hon. Prof. Kitila Mkumbo @kitilam , Minister of State in the President's Office for Planning and Investment of the United Republic of Tanzania, stated that if a country wants to get rich, wants to achieve development, and wants to improve the lives of its people, it really has to begin adding value, noting that the development cooperation between China and Tanzania has already improved and upgraded. He emphasized, 'Do not ask what Tanzania can buy from China, ask what Tanzania and China can produce together for Africa and the world.' #PhoenixGoGlocal #DiscoverNewAfrica #Tanzania
3
1
210
I held productive discussions with H.E. Sjoerd Sjoerdsma, Minister of Foreign Trade and Development Cooperation of the Kingdom of the Netherlands, on deepening trade, investment and development cooperation between our two countries and peoples. The Hague.
21
11
7
46
6,526
Tanzania joins other UN member states calling for radical transformation of the UN system to meet the realities of the day. Address by H.E VP Deogratias Ndejembi at the 81st Session on UNGA.
44
27
4
91
18,614
Our VP H.E Deogratias Ndejembi will address the 81st of the UNGA in the next few minutes.
1
1
2
14
5,205
In his address to the 81st session of UNGA, President Donald Trump proposes (instructs?) change in the name of AI from Artificial Intelligence to Super Intelligence (SI)!
2
4
2
18
3,202
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Kutoka #Tanzania Waziri wa @Ofisiya_Rais_MU @kitilam amewasilisha #VNR kwenye #HLPF jijini New York. Pamoja na kutaja mafanikio ya #SDGs amesema mzigo wa madeni na pengo la ufadhili ni 'mwiba' katika kufanikisha #Agenda2030 Hivyo mfumo wa Kimataifa wa Fedha urekebishwe.
1
3
1
166
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
A man spends 50 years teaching at MIT. He knows his time is running out. So he records one last lecture — everything he knows, distilled into a single hour. He died 5 months later. This is that lecture. The most important hour you'll watch this week. 👇 Bookmark it for later
AI IS STILL SUFFERING FROM DIGITAL AMNESIA. It can solve Olympiad problems. Write production code. Design businesses. Then forget everything 30 seconds later. That's not intelligence. That's intelligence without continuity. Memory may become the most valuable infrastructure layer in AI over the next decade.
12
28
123
37,577
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
📌 EXCLUSIVE | "Tunafurahia Sana": Waziri wa Tanzania kukaribisha ufunguzi wa ofisi ya Sputnik barani Afrika. 🛰 "Hii itawasaidia watu kuelewa vizuri zaidi kuhusu Urusi, kushirikiana nayo kwa karibu zaidi, pamoja na kutumia teknolojia yake na uwezo mwingine mkubwa kwa ajili ya maendeleo ya Afrika," amesema Kitila Alexander Mkumbo @kitilam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, katika mazungumzo yake na Sputnik Afrika pembezoni mwa mkutano wa SPIEF 2026.
📌 EXCLUSIVE | Mfumo wa Malipo kwa Kutumia Sarafu za Kitaifa kati ya Tanzania na Urusi ni “Hatua Kubwa kuelekea Ukombozi wa Kiuchumi” kwa Afrika: Waziri "Hili litafungua lango kubwa sana kati ya nchi zetu mbili katika nyanja za utalii, biashara, na pia uwekezaji," Kitila Alexander Mkumbo @kitilam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji wa Tanzania, amesema wakati akizungumza na Sputnik Afrika pembezoni mwa SPIEF2026.
1
5
4
592
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Why you should speak good about yourself all times‼️
11
252
6
1,013
40,132
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Instead of watching 2 hours of Netflix, watch this MIT lecture by Patrick Winston. It will teach you more about communication and clarity than most people learn in years of speaking. Save this.
4
37
192
45,577
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
A masterclass on ‘how to speak’ by MIT professor Patrick Winston - 15 key lessons
3
65
1
244
29,183
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
🇧🇾🇹🇿#Belarus views #Tanzania as a strategic partner and a key gateway to the markets of East and Southern Africa. During Belarusian FM Maxim Ryzhenkov’s meeting with Tanzania's Minister of State in the President's office @kitilam, both sides agreed to expand the legal framework for investment protection, customs cooperation, and visa facilitation 🤝
7
19
946
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
French judge Nicolas Gouyou, who issued an arrest warrant for Netanyahu at the ICC: • Visa and Mastercard have blocked all my cards • I cannot make any purchases • I am a judge, yet treated like a criminal • Judges, lawyers, and politicians are being intimidated • A colleague told me my name won’t be removed from the blacklist until Trump’s term ends • Despite intervention by the French president, U.S. authorities have not responded
2,288
38,300
1,959
95,285
5,047,398
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
🚨 BREAKING: 🇶🇦 Qatari Minister Lolwah Al-Khater to Trump and Netanyahu: “Stop speaking on our behalf. Stop using us as an excuse for your agendas. We don’t want you to ‘liberate’ us—we just want to be left alone. Stop fueling wars. It’s not our fault you failed in school and were educated by Hollywood—the world is not a movie.”
1,607
19,754
692
72,306
2,998,003
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Baada ya miaka 35, tumelazimika kufanya tena tathmini ya mfumo wa kodi nchini ambapo leo nimepokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini niliyoiunda Julai 2024. Tume imewasilisha mapendekezo 284 yanayolenga kuboresha mfumo wa kodi ili uendane na mabadiliko ya kiuchumi, kiuwekezaji na kibiashara duniani. Maboresho ndiyo maendeleo. Kwa muktadha huo, tumechukua hatua hii kwa malengo makuu mawili; kwanza, kupanua wigo wa walipakodi, ili kila mwananchi ashiriki kujenga uchumi wa nchi yetu, na pili, kutambua kuwa mfumo bora wa kodi ni muhimu katika kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani, sawa na malengo ya Dira 2050. Ninawashukuru wananchi wote kwa kutoa maoni kwani mmeshiriki kuamua hatma ya leo na kesho yetu na Taifa letu. Aidha, katika utekelezaji wa mapendekezo hayo, tutashirikiana kikamilifu na sekta binafsi, wananchi na wadau wengine ili tufanikishe lengo la ukusanyaji rasilimali zinazohitajika kwa ustawi wa watu na maendeleo ya nchi yetu.
56
73
5
280
22,215
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
National President @AhmadiyyaUK Rafiq Ahmed Hayat and members of the Ahmadiyya Muslim Community hosted Hon. Kitila Mkumbo (@kitilam), Minister of State, and H.E. Mbelwa Kairuki (@MbelwaK) to the Baitul Futuh Mosque this Sunday. It was an honour to host the delegation and further strengthen the longstanding ties of friendship and mutual respect between the Ahmadiyya Muslim Community and Tanzania.
1
21
77
2,201
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
As we reflect on last week’s King’s Birthday Party, we want to extend a heartfelt thank you to all our generous sponsors & incredible vendors, both old & new, for making the evening truly special. The night wouldn’t have been the same without your support & hard work!
1
3
1
6
2,947
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Katikati ya upendeleo na mambo mengine yasiyoeleweka humu duniani, bado watu wenye uwezo, sifa stahiki na bidii wana nafasi ya kutoboa. Usichoke kujijengea uwezo na kuzitafuta sifa sahihi.
3
5
1
18
4,524
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
📍Dodoma ▪️WAZIRI PROF. MKUMBO AKUTANA NA MKURUGENZI WA GATSBY, WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Juni 3, 2025, alikutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Gatsby, Bw. Justin Highstead, jijini Dodoma. Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili namna ya kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo, likiwemo Shirika la Gatsby. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri Prof. Mkumbo alipongeza mchango wa Shirika la Gatsby katika kusukuma ajenda za maendeleo nchini, hususani katika maboresho yanayoendelea kwenye sekta mbalimbali. Kwa upande wake, Bw. Highstead alieleza kuwa shirika lake litaendelea kushirikiana na Serikali kwa kutoa mchango wake katika kujenga uwezo na kushirikiana katika kutekeleza baadhi ya mikakati ya maendeleo. 📸:Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
2
9
2,009