Angelister Kanyungu (@AngelisterKany2) profile picture
Joined November 2018
Photo by Angelister Kanyungu (@AngelisterKany2)Photo by Angelister Kanyungu (@AngelisterKany2)Photo by Angelister Kanyungu (@AngelisterKany2)Photo by Angelister Kanyungu (@AngelisterKany2)Photo by Angelister Kanyungu (@AngelisterKany2)
Vipi kuhus waalimu kufundisha
Nimefika S/sekondari Rubanga iliyopo Kibondo #kigoma wanafunzi wakaniambia kua wanakaa saa moja hadi saa nane na dakka 40 bila hata kunywa uji na baada ya hapo hurudi makwao. Tupeane uzoefu huko kwenu pakoje? #Chukuahatua @akwilapo @HakiElimu @humanrightstz @ten_met
1
2
4
Angelister Kanyungu retweeted
Waraghabishi wa kigoma tukijadiliana ninamna gani tunaweza kutatua changamoto ambazo hatukufanikiwa kuzitatua katika mwaka ulio pita 2018 @AlkadoAlphonce @VMpambije @FidesMashaka @BitamaDavid @MachuzaJ @BrightonKahili3 @AGwandiko
2
8
15
Angelister Kanyungu retweeted
Mtoto anapokinzana na sheria shauri lake linapelekwa mahakama ya watoto ambapo kwa #Kibondo mahakama ya mwanzo Nabuhima. Afisa ustawi wa jamii (W) Kibondo. #ChukuaHatua #DijitaliKwaMaendeleo #Kibondo #Kigoma – at Kigoma, Tanzania
7
13
Angelister Kanyungu retweeted
Tutumie nguvu ya #dijitari kuhakikisha tunatokomeza ukatili wa kijinsia katika jamii zetu na kutoa elimu kwenye jinsia zote bila kubagua hasa kwa #wanawake @ChukuaHatua hasa unapo kutana na elimu hiyo @SimanziM @umwalimu @ChukuaHatua
1
6
1
13
Uhaba wa maji umekuwa changamoto kubwa kwet sisi wananchi ambapo hupelekea ugomvi mabomban @ kibondo@ kigoma # chukua hatua #idala ya maji
1
4
12
Angelister Kanyungu retweeted
Msimamizi mkuu au chombo cha kusimamia #hakizabinadamu Ni mwanadam mwenyewe, na chombo Cha pili Ni #police #ChukuaHatua
1
5
11
Angelister Kanyungu retweeted
Waraghabishi Kigoma hivi ndivyo tunavyooanza safari kurudi majumbani, baada ya kumaliza mafunzo muhimu ya haki za binadamu. Wakufunzi wakiwa ni polisi, Hakimu, wilaki, Afisautumishi wilaya ya kibondo. Tuchape kazi kwa mstakabali wa Taifa latu. @MagufuliJP @billmarwa #chukuahatua
7
2
12
Angelister Kanyungu retweeted
Haki za binadamu ni haki za asili ambazo kila mtu anazaliwa nazo. (Emmakrate Shuli) hakimu mkazi mahakama ya mwanzo kifura #Kibondo. #ChukuaHatua #DijitaliKwaMaendeleo #Kibondo #Kigoma – at Kigoma, Tanzania
4
7
Angelister Kanyungu retweeted
Kupitia mradi wa kuwezesha utawala bora na uwajibikaji #Chukuahatua @OxfamTz imewezesha wananchi wa kawaida kushiriki katika maswala ya kuondoa umaskini na kuleta maendeleo. @JosephKajuli Afsa mradi kutoka OXFAM KIBONDO. – at Kigoma, Tanzania
5
10
Walaghabishi kigoma tukijadili ni jinsi gan tunaweza kutatua matatizo ya wananchi bila kupata changamoto au kizui kwa viongoz wa serikal pia kutimiza malengo
Walemav wanahaki ya kufanya kile wanachokitaka kama # elimu# haku za binadam zote zinazomhusu binadam#chukua hatua
1
4
Angelister Kanyungu retweeted
Mkufunzi wetu wa @OxfamTz @Kajuli_JSK akihoji jinsi sisi tunavyofanya kazi ,na kutuambia jinsi wenzetu wa mbogwe wanavyofanya kazi kwa ushirikiano, akisema tuwe na umoja na ushirikiano katika kufatilia changamoto na kutafuta namna sahihi ya kuzitatua. @msoapomtwara #ChukuaHatua
1
4
9
Tukiwa kwenye mafunzo ya haki za binadamu pamoja na kiongoz hakimu mahakama ya mwanzo kifula #ChukuaHatua #Kibondo
1
1
Angelister Kanyungu retweeted
Jitihada za haraka zinahitajika. @akwilapo @HakiElimu @ten_met #Chukuahatua – at Kigoma, Tanzania
Mvua kubwa ya mawe imenyesha maeneo ya Bugaga Kasulu na kubomoa madarasa kadhaa ya shule ya msingi Nyaruhande na wanafunzi wakiwa ndani, Hali zao siyo nzuri wamepelekwa Hospital ya Wilaya...
Angelister Kanyungu retweeted
Suala la mke kukopa mkopo kwa kutumia jina la mme wake kama hayupo kwa kipindi kirefu, je, hii ipo sahihi?? Dondosha wazo lako pia usisahau kupiga kura hapo chini👇👇 #ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
21%Ndiyo
79%Hapana
0%Sijui
14 votes • Final results
Angelister Kanyungu retweeted
Mtoto wa kike mwenye umri chini ya miaka 17-0 hana mamlaka juu ya mwili wake. Yajue hayo yote na mwanasheria wetu kutoka WILAC #Kibondo bwana Godrian Tillya #ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
1
11
19
Tukiwa kwenye mafunzo ya haki za binadamu pamoja na kiongoz hakimu mahakama ya mwanzo kifula #ChukuaHatua #Kibondo
1
1
Angelister Kanyungu retweeted
Ubaguzi wa kdini ukabila pia rangi ni moja kati ya ukiukwaji wa haki za binadamu ni hakimu mkazi wa mahakama ya mwanzo #kifura mh Emmakrate Shuli #ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
7
16
Angelister Kanyungu retweeted
Wakazi wa Kijiji cha #Biturana wilaya ya #Kibondo #Kigoma wanao uhaba wa maji hali inaleta changamoto katika maisha yao yao @JosephKajuli @MfaumeMasudi @atashasta
4
5
Angelister Kanyungu retweeted
Jamani hivi ukatili utaisha lini? Kibondo leo mwali mu wa shule ya msingi kazilamihunda mkoani kigoma wilaya kibondo amepiga mwanafunzi wa darasa la tatu na kuletwa hosptali ya wilaya kibondo na kufaliki hapohapo jambo la kusikitisha sana
5
6
1
13