
Mimi ni mraghabishi kutoka #Kibondo #ChukuaHatua.
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets269
- Following371
- Followers344
- Likes64
Mafunzo tuliyoyapata tuyatekeleze
Hakika tuko timu ili kutetea haki za binadamu kwa kuwabinadamu wote ni sawa @billmarwa @jpmagufuli @SuluhuSamia
Hii ni barabara inayounganisha kijiji cha #Biturana na #Rusohoko ambayo inatengenezwa na @TaruraTz #Kibondokigoma. Tunashukuru serikali kwa kuendelea kupanua miundo mbinu ya barabara ktk maeneo mbalimbali. @JamiiForums @kwanza_tv @TaruraTz @WizaraUUM @Kajuli_JSK @billmarwa
Kweli wawezeshaji wako makini katika kuelimisha Elimu hiyo.
Picha pamoja kati Viongozi wa mtandao wa waraghbishi wilaya ya Mbogwe na wawezeshaji ktk Semina ya Haki za Binadamu mjini kahama kupitia Oxfam Tanzania.Lengo kuondokana na tabia ya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia na mimba za utotoni #ChukuaHatua @umwalimu
Kumbe usafi wa mazingira ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu
Leo Tarehe 5.4.2019 tulikuwa na mkutano wa Hadhara kijiji cha #Biturana na watu wa shikika la DRC mkutano ukliohusu upatikanaji wa maji safi na salama na usafi wa mazingira @atashasta @Kajuli_JSK @JosephlnaN
Kuhudhuria mikutano ni vizuri kwani unafahamu mengi yanayoendelea katika kijiji chako.
Uwajibikaji wa vijana ktk mikutano ya hadhara ni muhimu ili kufuatilia suala la kifedha inayokuwa ikisomwa kwny mikutano kama ilivyo #Biturana #Kibondokigoma @JamiiForums @billmarwa @OxfamTz @SuluhuSamia @Kajuli_JSK @MagufuliJP
Tumefurahi sana kutengenezwa kwa barabara hiyo
Tunaishukuru serekali kwa ukarabati wa Barabara kutoka kijiji cha #Kumwambu hadi sekondari #Biturana.@atashasta @TaruraTz @majaliwa_kassim @MagufuliJP .
Hongereni msoapo kwa hatua hiyo ya uelimishaji
Hongereni kwa juhudi iliyofanyika na kufanikisha hatua hiyo nzuri. @msoapomtwara @OxfamTz @KefarMbogela @JosephKajuli
Kweli mradi huu wa utawala bora na uwajibikaji uko sawa kwa kuelimisha jamii inayotuzunguka
Mradi wa utawala bora na uwajibikaji umekuwa chachu ktk kuelimisha na kutoa elimu kwa jamii yetu kwa mikoa #Kigoma #Mtwara #Geita na mikoa mingine; hivyo tunaomba mradi huo undelee. Viongozi na wadau wengine wafanye jitihada ya kuomba mradi kuendeza nchi. @OxfamTz @billmarwa
Umeme umeme #Biturana #Kibondo #Kigoma mbona tunasahaulika? tuombe nasisi tusaidiwe kama vijiji vingine serikali itusaidie kwa hilo @JosephKajuli @TanescoT @atashasta @AGwandiko @abdalamalambo2
Changamoto zinazo ikabiri shule yetu ni nyingi ikiwemo na ukosefu wa madarasa shule ya Msingi #Nyampengere #Kibondo #Kigoma tuombe serikali itusaidie @JansonJesca @JosephKajuli @atashasta @TanescoT .
Umeme umekuwa kero kubwa kwetu katika kijiji cha #Biturana #Kibondo #Kigoma tuliwekwa kwenye mpango wa umeme utakaosambazwa vijijini hadi sasa hatuoni kinachoendelea je, tumesahaulika?@JosephKajuli @bahumtma @atashasta @TanescoT @
Hii ni barabara ya #Kumwambu kuja #Biturana tunashukuru kwa kututengenezea barabara hiyo tuombe iboreshwe kwa kuwekea changarawe @JosephKajuli @JansonJesca @zenanakoni1 @atashasta @AGwandiko .
Kisima hiki kina mda mrefu hakifanyi kazi #Biturana #Kibondo #Kigoma tuombe serikali itusaidie katika kutengeneza ili tuweze kupata maji. @zenanakoni1 @JosephKajuli @atashasta @JaylosK
Hakika umeme tishio ķubwa kwetu kwani bàadhi ya vijiji vilishapata umeme tumebaki sisi tuombe serikali itusaidie tupate umeme
#Biturana #Kibondo #Kigoma tumesahaulika kabisa @JosephKajuli @atashasta @TanescoT @PamphiliusP @KNdundai
Kweli wamefanya jambo la maana kufanya usafi katika Zahanati yetu.
Ni hali ya kuigwa kwa kanisa la #AsemblesofGod(AGT) #Biturana #Kibondokigoma wakisaidia kufanya usafi kwny zahanati iliyopo hapo. Tuombe makanisa na taasisi nyingine ziunge mkono ktk kuboresha penye huduma km hizo. #Chukuahatua @umwalimu @Kajuli_JSK @JamiiForums
Umeme umekuwa kero kubwa kwetu katika kijiji cha #Biturana #Kibondo #Kigoma tumesahaulika kabisa kabisa tunaomba mtukumbuke na sisi. @JosephKajuli @TanescoT @AGwandiko @IssackKatabizi @billmarwa @atashasta @KefarMbogela .
Kijiji cha #Biturana #Kibondo #Kigoma tumesahaulika katika hitaji la umeme vijiji vingine vimeshapata kasoro sisi wakazi wa #Biturana tuombe serikali itusaidie tupate umeme @JaylosK @JosephKajuli @billmarwa @TanescoT @IssackKatabizi
Shule ya msingi #Nyampengere madarasa hayatoshi yaliyopo ni machache kulingana na wanafunzi ambao ni wengi tuombe serikali itusaidie kwani watoto wanakosa pa kusomea #Chukuahatua
Zahanati yetu ya #Biturana #Kibondo #Kigoma haikidhi haja kwani jengo hilo ni dogo tuombe serikali itusaidie jengo kubwa @JaylosK @JosephKajuli @billmarwa






















