Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM) header
Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM) profile picture

Member of Parliament | Minister for Works & Transport(Sept 2021-August 2023)|Minister for Transport (Aug 2023-Oct 2025)|Minister for Transport (Nov. 2025)

Dodoma, Tanzania
Joined March 2016
Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)Photo by Prof Makame Mbarawa (@MbarawaM)
Mradi wa Kurasini
4
207
Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutumia teknolojia ya kisasa ya mafunzo ya udereva wa treni (Simulator) kuimarisha usalama wa usafiri wa reli nchini kwa kuwajengea madereva uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa safari.
2
2
235
Mkoani Morogoro leo nimetembelea eneo la Kilosa kuona namna Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilivyojipanga kwa El-Nino. Baada ya kutembelea maeneo hayo maelekezo yangu kwao ni kuhakikisha Kipaumbele cha kwanza kiwe usalama wa raia,
1
2
264
kuhakikisha Watanzania wako salama muda wote wanapotumia treni, na hawapaswi kusubiri miundombinu iharibike ndipo hatua zichukuliwe. Kwa kujipanga mapema kutaepusha madhara kwa sehemu kubwa.
18
Jijini Alexandria, Nchini Misri nimepata fursa ya kuwatembelea wanafunzi 23 wa Kitanzania wanaosoma Chuo cha Kimataifa cha Arab Academy for Science, Technology and Maritime Transport (AASTMT). Rais wa Chuo hicho Prof Ismail AbdelGhafar
1
1
621
Farag amenipa taarifa ya maendeleo ya vijana hao ambao wametajwa kuwa ni mfano wa kuigwa chuoni hapo. Chuo cha AASTMT ni miongoni mwa vyuo vinavyoongoza duniani katika fani za baharini, na uwepo wa wanafunzi 23 wa Tanzania hapo ni sehemu ya mkakati
1
79
wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wanafunzi hao 23 pamoja na wengine wawiliwanaofikisha idadi ya wanafunzi 25, wanalipiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa niaba ya Serikali na wamepewa ajira ya kudumu katika taasisi hiyo.
18
Nimepata fursa ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundombinu mipya ya Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) unaotekelezwa Banana, Dar es Salaam na nimeridhishwa na maendeleo ya mradi huo ambao mpaka sasa umefikia asilimia 23.9 ya utekelezaji ikiwa ni miezi
1
3
7
659
11 tangu kuanza kwa mradi. Kupitia Ziara hiyo nimetoa rai kwa TCAA kuhakikisha utekelezaji unazingatia Viwango na Muda.
27
Tarehe 15 Agosti, 2026 Mkoani Kigoma nimeshuhudia zoezi la majaribio ya meli ya MV Liemba katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma baada ya kukamilika kwa ukarabati wake mkubwa uliogharimu Shilingi bil 34.
2
1
508
Tunaendelelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwezesha ukarabati huo mkubwa uliohusisha maboresho makubwa, ambapo injini mbili, jenereta tatu, chumba cha uendeshaji pamoja na maeneo ya abiria vimefanyiwa
1
19
maboresho na kuwekwa katika hali mpya Baada ya kukamilika kwa ukarabati huo tunatarajia taratibu zote zikikamilika MV Liemba inatarajiwa kuanza kutoa huduma kwa wananchi kuanzia Septemba 1, 2026.
10
Kuanza kwa safari za moja kwa moja za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kati ya Dar es Salaam na Muscat kutaimarisha ushirikiano wa kihistoria kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sultanate ya Oman, huku kukifungua fursa mpya za biashara, uwekezaji, utalii, usafirishaji wa
2
1
4
527
usafirishaji wa bidhaa zenye thamani kubwa na zinazohitaji kufikishwa kwa haraka, pamoja na kuchochea ukuaji wa sekta za utalii, biashara, huduma na uwekezaji na kuongeza sababu hatua hiyo itaongeza fursa kwa wafanyabiashara wa Tanzania kufikia masoko ya Mashariki ya Kati na
1
9
kuwawezesha wawekezaji na watalii kutoka Oman na mataifa jirani kufika Tanzania kwa urahisi zaidi
8