
Seve #VulnerableChildrenTz #Kibondo #Kigoma #ChukuaHatua/ Animator from #Kibondo #Kigoma/ #Youth ambassador/ #Development practices participant.
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets3K
- Following1.8K
- Followers516
- Likes2.7K
Issack Katabizi retweeted
Afisa tawala Wilaya ya Kilwa ndugu Haji Balozi akitoa hotuba ya ufunguzi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya wakati wa mkutano wa wadua wa sekta ya uziduaji Wilayani Kilwa juu ya uwajibikaji wa makampuni ya uziduaji kwa jami(CSR). @OxfamTz @HakiRasilimali_ @osiea @policy_F
Issack Katabizi retweeted
Me nawakubali sana @MasPrint2 kwasababu ya creativity halafu hawana bei yaani ni kitonga tu.
Wakati ni sasa! Kampeni zinanoga na vibango bango😂
@MwanaFA @BabuTale @jgwajima
Good!
Shule kufungwa kwa muda mrefu ili kuwalinda wanafunzi na #COVID19 inawaumiza wanafunzi hao kwa njia nyingine.
Mashirika ya @WHO na @UNICEF yataka shule Afrika zifunguliwe kwa njia salama.
Zaidi: https://xitter.cf/t.co/LX7DUQC3xn @UNICEFTanzania
Huyu KIbaraka ovyo!
Replying to @Mo1Frank @JoeTrippi @TunduALissu @MagufuliJP @prossyjn @tzDiscovery @BestaMlagila @ClubMagufuli @YusuphMbilinyi8 @ellybanyambala @UsalamaWaTaifa @Princess_mcute
HAWA WAZUNGU WANATAFUTA MAKOLONI KATIKA ZAMA HIZI ZA KARNE YA 21,ILI WASOMBE RASILIMALI ZA MAKOLONI YA KIAFRIKA NA KUZIPELEKA KWAO,KAMA WALIVYOFANYA BABU ZAO ENZI ZILE,KWA KUWATUMIA VIBARAKA/MAWAKALA WAO,WENYE TAMAA,ULAFI NA CHOYO KIKUBWA CHA MALI ZA NCHI ZAO!TUSIKUBALI KABISA!!!
Issack Katabizi retweeted
Nimepokea kwa heshima kubwa maamuzi ya chama changu.Nawashukuru wananchi wa jimbo la shinyanga mjini,viongozi wote wa chama changu ngazi zote kwa kunipa fursa ya kuwa mbunge kwa miaka kumi.Tushikamane kukipigania chama kiweze kushinda uchaguzi mkuu.Binafsi nitashiriki kikamilifu.
Issack Katabizi retweeted
Usiogope kuonyesha kazi zako, mafanikio yako na zaidi usiogope kuwa wewe. Wapo wengi wameshindwa kutimiza maono yao kwasababu ya kuwa kama wengine. Jitahidi uwe WEWE. #Wanawakesasa #ZuiaUkatili #WomenInNewsRoomTz – at Dar es Salaam, Tanzania
Issack Katabizi retweeted
Afisa kilimo wa kilimo Hai(kilimo ambacho hakitumii mbolea za kimekali) Mr Daniel akigawa Tshat kwa vikundi mbali mbali vya boda boda ,lengo ni kuhamashisha na kujitangaza kwa jamii waje kununua kwa wingi mboga za kilimo hai ili wakulima wetu waweze kunufaika.
Issack Katabizi retweeted
Kikao cha Kamati ya PETs Wilaya Kigoma ,Kikiongozwa na Kaimu mkuu wa wilaya ya Kigoma, Wadau kutoka Mamlaka ya Maji KUWASA, EWURA CCC,Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Kigoma Ujiji,PETs Members na NYDT Team!
Kweli
Mbona Twitter umepoteza muelekeo?Twitter siku hizi umekosa maadili.Mbona Twitter siku hizi umekuwa na mapungufu ya Content?
Naona siku hizi Twitter umejaa utoto na Mizaa,Twitter unawafanya Wadau wanaacha kupost vya Maana eti Wanapost Viatu Vibovu.@tonytogolani waelimishe Vijana.
Issack Katabizi retweeted
Mungu ni mwema. Na leo pia hatuna case mpya za COVID19. Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama amepona. Wengine 15 waliobaki wanaendelea vzr – at Dar es Salaam, Tanzania
Issack Katabizi retweeted
Umbali wa Mita 1 kati ya Mtu na Mtu ndio kama huu. Naamini kwa mfano huu wananchi wengi watatuelewa kwa urahisi. #JikingeWakingeWengine #PamojaTunavukaSalama #COVID19Tanzania @elimuyaafya @wizara_afyatz
Issack Katabizi retweeted
Hawa wanasisa wanatuminisha kujiondoa kwenye mchakato wa uchaguzi wanaoje wangejiondoa hata kwenye madaraka waliyonayo yaani ubunge hasa hawa wakubwa wa vyama ili tumaini zaidi?
Issack Katabizi retweeted
MIRADI YA MAJI, KITUO CHA AFYA NA MADAWATI youtu.be/j1yoVFwzJIQ via @YouTube
Issack Katabizi retweeted
Asante Rais @MagufuliJP kwa kuhamasisha wananchi kuchukua Tahadhari ili kuhakikisha Corona haiingii TZ.Ninaendelea kuwataka waTZ kuzingatia Kanuni za Usafi hasa KUNAWA MIKONO kwa sabuni na maji tiririka au kutumia kitakasa mikono. Tuepuke kugusana kwa kupeana mikono, kukumbatiana – at Dar es Salaam, Tanzania





































