
Mimi ni mragabishi kutoka #Kibondo #ChukuaHatua
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets428
- Following260
- Followers333
- Likes413
Tunaomba serikali itusaidie kuchimba visima vya huduma ya afya katika hospitali ya wilaya kibondo hatuna maji wagonjwa ndo wanao nunua maji tunaomba msaada @kitilam @MagufuliJP @JosephKajuli
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia.
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Hakika tuko timu ili kutetea haki za binadamu kwa kuwabinadamu wote ni sawa @billmarwa @jpmagufuli @SuluhuSamia
Kwa kweli ujambazi umezidi kibondo tunaombwa tusaidiwe usiku wa tarehe 30/3/2019 kibondo hakuna kusinzia serikali tunaomba muingilie kati juu ya jamii hakuna amani.
This quoted post is unavailable.
Kwa kweli tuna hitaji msaada wa maji kibondo shida
#Serikali sikivu ni ile inayosikia kilio cha watu wake waliowapa dhamana ya kuunda serikali. jamii ya #Rusohoko yapata huduma ya #Maji kwa mfumo huo. Msaada wa hitajika kwa watu wa #Kibondo @MbarawaM @kitilam @maji_mowi @MagufuliJP @kassim_majaliwa @KigomaForum
#ChukuaHatua
3
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Mpo vizuri waraghibishi Tz hongera mradi Wa chukuwa hatua "
Big up @OxfamTz @billmarwa @KefarMbogela Hakikakupitia mradi wa chukuwa hatua mengi tunasaidika wananchi vijijini"
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Hapa tulikua tumehitimisha mafunzo yetu ya haki za binadamu pamoja na mazungumzo ya mbalimbali tukiwa na viongozi mbalimbali tunashukuru viongozi kwa mwitikio wao @BitamaDavid @JosephKajuli @billmarwa @OxfamTz kwa kutengeneza kikao hiki @ChukuaHatua
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Replying to @ruhotola @Roma_Mkatoliki @Kiganyi_ @ccm_tanzania @MarekaMalili @uvccm_tz @JMakamba @HKigwangalla @KhadijaMkoto @JaylosK @IssackKatabizi
Bei yake 6000/-unaweza kuongezea mpaka laki sita inategemea upenzi.
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Ni hakika tuwe na ushirikiano baina yetu waraghabish na viongozi. @JansonJesca @JamiiForums @illomo_seth
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Waraghabishi Kigoma hivi ndivyo tunavyooanza safari kurudi majumbani, baada ya kumaliza mafunzo muhimu ya haki za binadamu. Wakufunzi wakiwa ni polisi, Hakimu, wilaki, Afisautumishi wilaya ya kibondo. Tuchape kazi kwa mstakabali wa Taifa latu. @MagufuliJP @billmarwa #chukuahatua
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Kuanzia leo nikienda kwenye mikutano ya hadhara situmii salaam kama “Assalaam Alykum” or “Bwana Yesu Asifiwe” nisije nikakiletea Matatizo chama chatu CCM nakuonekana kinabagua wasiokua na Dini. “Tafakuri yangu Tahadhari kabla ya Mauti “
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Mraghabishi siku zote Ni mpambanaji kwa ajiri ya kuleta maendeleo ya wananchi hasa pale unapo washilikisha wananchi wenzako #kitahana #chukuahatua @JaylosK
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Mafunzo tuliyoyapata toka kwa Mh.Hakim wa mahakama ya mwanzo Emaklate Shuli juu ya haki za Binadamu,ambavyo kila mtu anahaki ya kujieleza,kuishi,kuabudu pamoja kupata Elimu @JosephKajuli @atashasta @AGwandiko @bahumtma .
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Kesho keshokutwa upepo umepitia ka nyumba sijui sasa hatari itakayotokea hapo ni ipi @tanescoyetu. Nyumba imara zipo mbona hamuoni kama ni hatari kwa jamii yetu mnatuumiza ingawa watu wanafurahia
#ChukuaHatua @MarekaMalili @zittokabwe @MariaSTsehai @fatma_karume @Kiganyi_ – at Kigoma, Tanzania
Hongereni sana watu wa rugunga
Kesho keshokutwa upepo umepitia ka nyumba sijui sasa hatari itakayotokea hapo ni ipi @tanescoyetu. Nyumba imara zipo mbona hamuoni kama ni hatari kwa jamii yetu mnatuumiza ingawa watu wanafurahia
#ChukuaHatua @MarekaMalili @zittokabwe @MariaSTsehai @fatma_karume @Kiganyi_
Kwakweli hongereni watu wa mtwara kwa kutokomeza umásikini
#tokomezaumasikinimtwara kuanzia katikati ya karne ya 20 neno #hakizabinadamu limekuwa likisikika hasa kwenye mijadala mbali mbali ya kisiasa,hotuba za viongozi na sera za serikali.@msoapomtwara @mohamed_mkulima @KefarMbogela
JOSEPHINA Bahumtma retweeted
Hii ni barabara inayounganisha kijiji cha #Biturana na #Rusohoko ambayo inatengenezwa na @TaruraTz #Kibondokigoma. Tunashukuru serikali kwa kuendelea kupanua miundo mbinu ya barabara ktk maeneo mbalimbali. @JamiiForums @kwanza_tv @TaruraTz @WizaraUUM @Kajuli_JSK @billmarwa




























