
Mimi ni mraghabishi kutoka #kibondo #chukuahatua
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets323
- Following710
- Followers326
- Likes373
Fides Mashaka retweeted
Kigoma tunaamini sana,kikao cha waraghabishi Tanzania kilichofanyika #Dodoma, tuliamini sana kuwa serikali ndiyo yenye mradi, japo unasimamiwa na @OxfamTz tuombe yaliyoahidiwa kwenye kikao hiki, yatekelezwe tunachangamoto nyingi, sana.@SuluhuSamia @majaliwa_kassim #chukuaHatua
Fides Mashaka retweeted
Huli ni tatizo kubwa kabisa maana inatufanya sisi wa hali ya chini kutopata nafasi ya kuuza chochoye sokoni maana mara kwa mara tunafukuzwa iksa hatuna kitambulisho hicho
Tuombe serikal kuweza kuwa onea huruma wanyonge, juu ya ulipaji wa vitambulisho vya #MjasiliamaliMdogoMdogo hasa kwa wale ambao huenda kuuza mahindi kg10/20, na wanao uzaa mchicha. Mara1 moja, wananchi wananyanyaswa hasa vijijini @MagufuliJP @TAMISEMI3 @TZMsemajiMkuu @azamtvtz
Fides Mashaka retweeted
Tukiwa na uongozi wa mtaa wa #Biturana na uongozi wa shirika la #oxfam baada ya kufanya mahojiano ya tadhimini ya mradi huu wa utawala bora na uwajibikaji kwa kutumia digital. Tunaomba shirika liendele kutusapoti kwny jamii yetu #Chukuahatua @OxfamTz @JamiiForums @billmarwa
Hii ni barabara inayotoka katika kijiji cha #Rusohoko kwenda katika kijiji cha #Biturana . tunaomba serikali mzidi kuiboeresha kwa sababu hamna molamu mvua ikinyesha hapapitiki. @KhadijaMkoto @majaliwa_kassim @AGwandiko
Fides Mashaka retweeted
#Serikali sikivu ni ile inayosikia kilio cha watu wake waliowapa dhamana ya kuunda serikali. jamii ya #Rusohoko yapata huduma ya #Maji kwa mfumo huo. Msaada wa hitajika kwa watu wa #Kibondo @MbarawaM @kitilam @maji_mowi @MagufuliJP @kassim_majaliwa @KigomaForum
#ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
Fides Mashaka retweeted
Polisi wakitaarifiwa kuwa kuna majambazi wamevamia sehemu flani na bado wapo polisi hawaji kwa wakati ila wakitaarifiwa juu ha wezi wa kawaida huja haraka ni kwa nini?. @JansonJesca mraghabishi kutoka kijiji cha #Biturana. #ChukuaHatua #DijitaliKwaMaendeleo #Kibondo – at Kigoma, Tanzania
Fides Mashaka retweeted
Kila binadamu ana #Haki ya kupumuzika, kuburudika na kustarehe isipokuwa usipitilize- Emmakrate hakimu mkazi mahakama ya mwanzo #kifura #chukuahatua
Fides Mashaka retweeted
Lengo kubwa la mradi wa kuwezesha utawala bora na uwajibikaji #Chukuahatua ni kujenga uelewa wa wananchi juu ya matatizo yaliyo katika jamii zao na kushiriki ipasavyo katika utatuzi. @Kajuli_JSK Afsa mradi kutoka OXFAM KIBONDO. – at Kigoma, Tanzania
Fides Mashaka retweeted
Jeshi la @tanpol Lina mpango gani hasa kuwasaidia wananchi wanao kaa karibu na kambi ya #Nduta hasa wakimbizi wanapomkuta shambani mwananchi wanampiga na kumnyanganya vitu na kuiba #ChukuaHatua #hakizabinadamu pengine hata #kubakawanawake @FidesMashaka
Fides Mashaka retweeted
Unapokuwa na mwenzako au rafiki yako maeneo magumu mkavamiwa ila mwenzako akauwawa usimguse ili kuepusha suala la kuenekana na wewe umehusika. Toa taarifa polisi kwa haraka ili polisi wafanye kazi kwa nafasi yao. John Msuha (afisa wa polisi) #Kibondo. #ChukuaHatua
Fides Mashaka retweeted
Kwa mjibu wa sheria anaye ruhusiwa au anaye toa amri ya kumuazibu mwanafunzi ni mwalim mkuu na viboko visizidi vinne (4) #chukuahatua
Fides Mashaka retweeted
Wageni kutoka @SWISSAID walipotembelea ofisini kwetu mapema asubuhi ya leo na kubadilishana mawazo kuhusu Mradi wa Duka ambalo litakuwa linauza bidhaa za kilimo hai.
#TokomezaUmasikiniMtwara
Fides Mashaka retweeted
Watu wananyanganywa mafuta hasa vijijini kwa wale wanao uza kwenye madumu na machupa serikal hasa jeshi la @tanpol linawasaidiaje juu ya hilo #ChukuaHatua #hakizabinadamumaendeleoyetu
Fides Mashaka retweeted
Jeshi la @tanpol endapo watashilikiana na wananchi na tumai uharifu utaisha kabisa, tuombe mwananchi atoe taarifa endapo umepata mgeni, au umeona mgeni mahali unapo ishi, #ChukuaHatua kufichua uhalifu ndani ya #kibondo na mkoa wa #kigoma
(Police Jonh msuha)
Fides Mashaka retweeted
"Nawapa zawadi ndogo kwa niaba ya Watanzania, nawapa zawadi ndogo nyinyi Wachezaji wa Taifa Stars na Mwakinyo tutawapatia Viwanja vya kujenga nyumba" Rais Magufuli
#MillardAyoUPDATES
Fides Mashaka retweeted
Replying to @ruhotola
Fides Mashaka retweeted
Ewe mzazi uliyeajiliwa serikalin au kwenye taasisi, unayo haki ya kupata likizo ya uzazi ya siku 84 baada ya kujifungua na kwa mzazi wa kiume ni siku 3 hadi 7 hivyo kuendelea na majukumu yake nikimunukuu hakimu mkazi wa mahakama ya mwanzo kifura (Emmakrate Shuli)
#ChukuaHatua – at Kigoma, Tanzania
Fides Mashaka retweeted
Serikali inapswa kuangalia swala la chakula kwa wanafunzi. Mwanafunzi anaenda shuleni asubuhi hadi saa nane na wengine mpaka saa 11 jioni bila kupata chukula kisa mzazi hajachangia. Hii ni kumnyima mtoto haki ya kupata chakula. @humanrightstz @akwilapo @HakiElimu #chukuahatua – at Kigoma, Tanzania
Vyombo vinavyohusika na maswala ya haki za binadamu ni 1.mwanadamu mwenyewe 2. police 3. Taasisi ya haki za binadamu na utawara bora 4. Jeshi la magereza. #chukuahatua































