Vicent Mpambije (@VMpambije) profile picture

Mimi ni mraghabishi kutoka #kibondo #chukuahatua

Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)Photo by Vicent Mpambije (@VMpambije)
Tukiwa tunapewa mafunzo ya namna ya usimamzi wa maji katika kijiji cha kigendeka. @Jay_mwara @joseph_kajuli @ChukuaHatua @OxfamTz
4
10
Tuna shukuru shilika la Oxfam kutupatia mafunzo ya haki za Binadamu. hivo basi tunaomba mashirka mengine yasio ya kiserkali yaendelee kutoa elimu mbali mbali kwenye jamii yetu. @Kajuli_JSK @billmarwa @PaulKaswezi @OxfamTz @MagufuliJP @majaliwa_kassim @ChukuaHatua @kwanza_tv
2
2
1
10
Tukiwa na injinia wa wiraya #kibondo pamoja injinia kutoka shirka la #Oxfam #kibondo wakitupatia elimu juu ya mradi wa #Maji. @Kajuli_JSK @billmarwa @MagufuliJP @majaliwa_kassim @ITVTANZANIA @bunge_tz @OxfamTz @freemanmbowetz @zittokabwe @ChukuaHatua
2
4
Tukiwa na wadau wa maendeleo kutoka shirka la #Oxfam tukijadliana changamoto ya maji katika kijiji cha #Kigendeka na huyu ni mw/ kiti wa kijiji akihitimsha mkutano. @Kajuli_JSK @billmarwa @PaulKaswezi @MagufuliJP @kwanza_tv @OxfamTz @majaliwa_kassim @ChukuaHatua
4
9
Tuna pongeza viongozi wetu kwakupiga marufuku upimaji wa mazao kwakutumia makimbo nakuwaomba wafanya biashara hao watumie mnzani atakae keuka hatua za kisheria zitafata. @MagufuliJP @Kajuli_JSK @billmarwa @PaulKaswezi @OxfamTz @majaliwa_kassim @rk @ChukuaHatua
Waraghabishi ktoka kigoma tukiwa tukiwa kwenye mafunzo ya Dijital.tukiwa kwenye mkoa wa Dodoma Tunashukuru shilika la Oxfam kutupatia Mafunzo. @Kajuli_JSK @billmarwa @OxfamTz @kwanza_tv @PaulKaswezi @ChukuaHatua
2
9
Tunapongeza jeshi la polisi mkoa wa kigoma kwa kuzibiti majambazi nakufanikisha kuuwa badhi ya majambazi katika poli la kituye wilayani #Kibondokigoma @kangilugola @Kajuli_JSK @billmarwa @PaulKaswezi @OxfamTz @bunge_tz @kwanza_tv @ATV @ChukuaHatua
3
3
1
8
Tunashukuru Serkal yetu Kutuletea Mahakama kuu kwenye Mkoa wetu wa #Kigoma @JosephlnaN @Kajuli_JSK @billmarwa @PaulKaswezi @kwanza_tv @ATV @majaliwa_kassim @bunge_tz @OxfamTz @ChukuaHatua
4
7
Vicent Mpambije retweeted
Tukiwa na Hakimu wa mahakama ya mwanzo ambae ni mkazi wa #kifura (Emakulata shuli) uku akielezea haki ambazo anasitahili kupata mwanadamu bila kunyanyaswa na kw kutoangalia kabila la mtu , cheo , wara utajiri. #chukuahatua.
8
15
Tukiwa na Hakimu wa mahakama ya #Kifura akitupatia elimu ya Haki Za Binadamu @ChukuaHatua
8
12
Naitwa vicent mpambije nipo #Kibondo Kigoma naipongeza Mahakama yatanzania kutenda haki kesi ya #Mbowe na #Matiko @BBCSWAHILI #TVKWANZA
1
Tukiwa na wakili wakujitegemea Akitukumbusha shelia za kimitandao kupitia #ChukuaHatua @OxfamTz @billmarwa @Kajuli_JSK @bunge_tz @MagufuliJP @majaliwa_kassim
6
14
Tunaomba serkali yetu itusaidie kutuletea vitanda kwenye kituo cha Afyaa #Kifurakibondo vilivyopo havitoshi. Pia kituo hiki hakina #UMEME tunaomba serkali itusaidie. @tanescoyetu @umwalimu @OxfamTz @Kajuli_JSK @billmarwa @majaliwa_kassim @bunge_tz @ChukuaHatua
1
1
3
Tunashukuru shilika la #Oxfam kutuletea mladi wa #Maji katika kijiji chetu #Kigendeka #Kibondokigoma tunawaomba watusaidie hadi mladi utakapo kamlika hivo tunaomba na mashilika mengine waige mfano wa #Oxfam @OxfamTz @UNHCRUSA @UNHCRWestAfrica @Kajuli_JSK @ChukuaHatua @billmarwa
1
Waraghabishi wa mkoa wa #Kibondo #Kigoma wote kwa Pamoja wameungana kuiomba Serkali iwasadie kuweka #Umeme kwenye kituo cha #Afyaa #Kifura #Kibondo ambavyo umeme nichangamoto kubwa.@Kajuli_JSK @billmarwa @umwalimu @majaliwa_kassim @kwanza_tv @OxfamTz @chukuahatua_
1
3
8