
Mimi ni Mraghabishi kutoka #Kibondo# ChukuaHatua
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets139
- Following12
- Followers27
- Likes536
Matokeo J Machuza retweeted
Ukiukwaji wa haki za wanawake huanza kwa kuwatenga na kuwabagua wanawake katika utoaji maamuzi. Kwa hiyo miongoni mwa viashirio vya kuheshimu haki za wanawake ni kujumuishwa kwao na kushirikishwa katika mambo ya kitaifa na katika vyombo vya kufanya maamuzi.
Matokeo J Machuza retweeted
Ukosefu wa ajira kwa vijana bado ni changamoto kubwa, ni wakati sahihi sasa tukapata juzi mbalimbali ili kuweza kutatua changamoto hii.
#WYSD
#UjuziEndelevuKwaVijana
@ILO_EASTAFRICA – at Dar es Salaam, Tanzania
Matokeo J Machuza retweeted
#Habari:Naibu Waziri wa Maji, Mhe.Juma Aweso amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, kuwaondoa katika nafasi zao, Mhandisi wa Maji wa H/Wilaya ya Kakonko, Elinathan Elisha na Mhandisi wa Wilaya ya Kasulu,Godfrey Mbuza kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza miradi ya maji.
Matokeo J Machuza retweeted
SIO SIRI MAGUFULI KURUDI TENA KWENYE URAIS.
Akizungumza na Watanzania waishio nchini Misri, Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim amewaambia watanzania hao kuwa hakuna siri kwamba Rais Magufuli atarudi kuomba ridhaa tena kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Matokeo J Machuza retweeted
Unaelewa nini unaposikia neno ukatili wa kijinsia? Kwenye jamii unapoishi umeshashuhudia ukatili gani wa kijinsia?
Njooni tuelezane
@VwalaViola @bajabiri @fredkavishe @MakandoNeema @NeemaMeremo
Matokeo J Machuza retweeted
Kataya #Biturana #kibondo nigiza tororo tunaomba mtukumbuke nasisi mtuletee umeme tufanane na kijiji vingine @tanescoyetu @Nchaliko @atashasta @ChukuaHatua
.
Yajue maeneo ya usitawi wa jamii na bwana Magubiki Masebya(afisa usitawi wa jamii wilaya ya #kibondo)
1. Utatuzi wa migogoro ya ndoa na familia
2. Walemavu na wazee
3. Malekebisho ya tabia ya watoto waliokinzana na waliokutana na sheria
#ChukuaHatua @maendeleoyajami
3
Matokeo J Machuza retweeted
Tukiwa na Hakimu wa mahakama ya mwanzo ambae ni mkazi wa #kifura (Emakulata shuli) uku akielezea haki ambazo anasitahili kupata mwanadamu bila kunyanyaswa na kw kutoangalia kabila la mtu , cheo , wara utajiri. #chukuahatua.
Haki za binadamuni wazo la kuwa kila mtu anastahili hakikadhaa si kwa kutegemea cheo wala taifa, tabaka .....
Matokeo J Machuza retweeted
Rais @MagufuliJP usiku huu ameeleza kufurahishwa na ushindi ambao Timu ya Taifa, Taifa Stars, imeupata dhidi ya Uganda Cranes. Amewapongeza wachezaji kwa kujituma kupata uahindi huo.
Matokeo J Machuza retweeted
Mhe. Rais Magufuli leo Machi 25, 2019 atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, Viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na Bondia Hassan Mwakinyo Ikulu DSM. Atawapongeza na kula nao chakula cha mchana. Tukio litarushwa Live! na Redio, Televisheni na Mitandao kuanzia saa 4:00 asubuhi
Matokeo J Machuza retweeted
Makongamano na mijadala mbalimbali katika jamii ni Muhimu sana katika kujenga uelewa wa pamoja. Viongozi wa ngazi mbalimbali ikiwemo mahakama wanakuwa na mengi ambayo wanatamani watu wajue, shida ni namna ya kukutana na wananchi. @OxfamTz #chukuhatua
Matokeo J Machuza retweeted
Hii ni mojawapo ya kuleta maendeleo ktk kijiji cha #kigendeka tukiwa tumekusanyika kwenye mkutano wa kijiji kujadili hoja za msingi zenye kuweza kutukwamua kiuchumi wananchi @mbaruku_afifa @BabuAllySalumu @AllyWayembenao @BitamaDavid @zenanakoni1
Matokeo J Machuza retweeted
Leo Jijini Dodoma nimekutana na Makatibu Tawala wa Mikoa -Bara pamoja na wataalamu wa Wizara ya Maji na Ofisi ya Rais TAMISEMI kujadili Wakala ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) pamoja na huduma ya maji nchini kwa ujumla.
Matokeo J Machuza retweeted
Hatua ya ujenzi iko inaanza ofisi ya walimu pamoja na chumba cha darasa kimoja s/msingi Kanyinya wilaya #Kibondo walimu amekuwa wakihangaika kutumia ofisi hiyo ya nyasi kwa mda mulefu hongera @save_children #chukuahatua waziri wa Elimu joyce Ndarichako
@MagufuliJP
Matokeo J Machuza retweeted
#Habari:Watu watatu wilayani Muleba,mkoani Kagera akiwemo mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Rutoro katika kata ya Ngenge, wamekutwa wakitengeneza vitambulisho bandia vinavyofanana na vile vinavyotolewa na serikali vya kuwatambua wafanyabiashara wadogo.
Matokeo J Machuza retweeted
#Habari:Wataalamu wa nyuki Tanzania wamesema nyuki wachavushaji wa mimea wako hatarini kutoweka hapa nchini kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi na wakulima kutumia kemikali za viwandani msimu wa kilimo.
































