NASSORO M NAMANANI retweeted
Leo nimeshiriki Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji. Nimewataka tufanye kazi kwa kasi, ubunifu na kufanya ufuatiliaji wa katika kazi zetu kila wakati. Kufanya hivi tutafikia malengo tuliyoweka mapema.
NASSORO M NAMANANI retweeted
Waraghabishi kata ya Nanda wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita leo tarehe 23/3/2019 wakiwa kwenye majadiliano ya mafanikio na changamoto za uraghabishi kupitia dijitali #ChukuaHatua @billmarwa @KefarMbogela @OxfamTz
NASSORO M NAMANANI retweeted
Tunasheherekea siku ya maji duniani lakini huku vijijini hali mbaya sana haswa wilaya ya mtwara @billmarwa @mohamed_mkulima #chukuahatua #tokomezaumaskinimtwara
Waraghbishi,viongozi,na wananchi wa kijiji cha mitambo mkoani mtwara.Tunampongeza mwandishi wa kijarida hiki ngd #kisumamapunda kwa kuadaa stori hii kiuwalisia ambayo imejitokeza kijijini kwetu mitambo #tokomezaumasikinimtwara @KisumaMapunda @OxfamTz @billmarwa @mohamed_mkulima
NASSORO M NAMANANI retweeted
Mimi nawakubali sana #Tasaf lakini kinchonitatiza kidogo,niufuatiliaji wa miradi yao baada ya kuwa tayari inakufa na sijui paa kuhoji @MNamanani @TasafTaifa #ChukuaHatua
Ujenzi ukiwa unaendelea wa kisima kifupi cha MAJI mitambo mkoani mtwara.Kinachojengwa na @tassaf kupitia kaya masikini tunawapongeza sana tassaf kwa kutujali. #tokomezaumasikinimtwara @Tassaf @mtwaraDc @billmarwa @kefarmbogela @mohamed_mkulima @zahratunda @BrightonKahili3
Waraghabishi wa kijiji cha mitambo mkoani mtwara.Tukiwa tunatoa mrejesho wa safari ya dodoma kwa wananchi kupitia mkutano wa hadhara juu ya mafunzo ya digitali yaliyofanyika dodoma. #tokomezaumasikinimtwara @MtwaraD @Mawasiliano_tz @billmarwa @kefarmbogela @mohamed_mkulima – at Mtwara, Tanzania
NASSORO M NAMANANI retweeted
Waraghabishi wa kijiji cha Hiyari tukitoa mrejesho kwa wananchi wetu juu ya safari yetu ya dodoma tarehe 08/03/019 #TokomezaUmaskiniMtwara #ChukuaHatua @mohamed_mkulima @ZenaNakoni @KhadijaMkoto @
NASSORO M NAMANANI retweeted
Hongereni sana kwa msaada huo labda na sisi ipo siku neema itashuka katika kijiji cha Nengo maana visima vimekaa bila kujengewa
Ujenzi ukiwa unaendelea wa kisima kifupi cha MAJI mitambo mkoani mtwara.Kinachojengwa na @tassaf kupitia kaya masikini tunawapongeza sana tassaf kwa kutujali. #tokomezaumasikinimtwara @Tassaf @mtwaraDc @billmarwa @kefarmbogela @mohamed_mkulima @zahratunda @BrightonKahili3
NASSORO M NAMANANI retweeted
Replying to @JansonJesca @MNamanani
Pamoja tutokomeze umaskini tulete maendeleo
NASSORO M NAMANANI retweeted
Itasaidia saana maana huku kwetu mtwara kijiji cha majengo kata ya ziwani huwa maji yanatoka ya rangi isiyo ya kawaida @kitilam @MbarawaM #tokomezaumasikinimtwara @mohamed_mkulima @msoapomtwara
NASSORO M NAMANANI retweeted
Mkutano uliofanyika Dodoma wa waraghabishi wa mikoa minne uwe wa faida usiwe wa hasara #Chukuahatua
NASSORO M NAMANANI retweeted
Waraghabishi kijiji cha MNGOJI KATA MADIMBA WILAYA MTWARA wakitoa mrejrsho kwenye mkutano wa kijiji baada yakurudi kwenye mafunzo ya dijitali mkoani Dodoma yalioandaliwa OXFAM @billmarwa @mohamed_mkulima #chukuahatua #tokomezaumaskinimtwara
NASSORO M NAMANANI retweeted
Jamani hivi ukatili utaisha lini? Kibondo leo mwali mu wa shule ya msingi kazilamihunda mkoani kigoma wilaya kibondo amepiga mwanafunzi wa darasa la tatu na kuletwa hosptali ya wilaya kibondo na kufaliki hapohapo jambo la kusikitisha sana
Wananchi wa kijiji cha mitambo mkoani mtwara.Tunaishukuru serikali na tunaipongeza tarura kwa kukamilisha mradi wa makaravati 2 barabara ya s/m mitambo.Yaliyojengwa kwa ubora wa hali ya juu na kwa haraka. #tokomezaumasikinimtwara #tarura @MagufuliJP @billmarwa @mohamed_mkulima – at Mtwara, Tanzania
Tanesco Yetu - Nyumbani | Facebook
m.facebook.com/tanescoyetult… tunawapongezeni viongozi wa Tanesco mtwara kwa kutupatia taarifa wananchi wa MTWARA tumawashukuru sana musichoke kufanya hivyo munapoona inafaa. #tokomezaumasikinimtwara @OxfamTz @tanescoyetu @billmarwa @mohamed_mkulima – at Mtwara, Tanzania
NASSORO M NAMANANI retweeted
Mraghabishi kutoka mitambo akilishauli jeshi la polisi jinsi YA kuwahi pindi wananchi wakitoa taarifa za uhalifu kwenye ukumbi wa warsha ya haki za binadamu mtwara mafunzo yalioendeshwa na msoapo @billmarwa @mohamed_mkulima #chukuahatua #tokomezaumaskinimtwara
NASSORO M NAMANANI retweeted
#tokomezaumaskinimtwara katika kulinda utu wa binadamu ni lazima Jamii wafahamu Haki za binadamu kiundani ndio maana msoapo inajenga uwezo kwa makundi yaliyopo pembezoni au mwaonaje wadau?
NASSORO M NAMANANI retweeted
Tunapaswa kuungana na serikali katika jukumu kubwa la ukatiri wa kijinsia, maana linashamili kila kukicha. @humanrightstz #ChukuaHatua
Waraghabishi MTWARA kukiwa ktk mafunzo ya haki za binadamu kupitia shirika la @msoapomtwara na @OxfamTz.Ninaiomba serikali kuwapa ushirikiano mashirika haya.Ili kufanikisha kudhibiti vitendo vya ukatili dhidi ya binadamu huku mtwara. @humanrightstz @MagufuliJP @kefarmbogela
























