Mdau angekuwa ni mtu wako wa karibu ungemshauri nini?
Zaidi jamii.app/DodomaNyumba
#JamiiForums #Uchumi
Italia: Polisi wameeleza kuwa wamekamata na kuwashikilia waandamanaji 271 huko Milan, ambapo kati yao, watu 32 walitiwa mbaroni wakiwemo raia 13 wa kigeni.
Fuatilia zaidi jamii.app/MaandamanoMaduka
#JamiiForums #Uwajbikaji #Demokrasia
Mdau, umeshawahi kukutana na changamoto kama hii wakati unafuatilia matokeo yako Chuo?
Fuatilia Zaidi jamii.app/MatokeoCBEDodoma
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Oktoba 20, 2026: Moja ya mjadala unaoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌
Zaidi jamii.app/FinalistsTuzoSakhr…
#JamiiForums #JFMatukio
Mdau, Hapa mbinu gani itumike kijana aache tabia hizi? Mshauri hapa jamii.app/KijanaKununa
#JamiiForums #Maisha
UGANDA: Tovuti ya BBC imeripoti kuwa Askari wa zamani wa ngazi ya juu kwenye Jeshi la Rwanda, Robert Kabera (50) ambaye aligeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame, alitafuta hifadhi Uganda akidai ni kutokana na sababu za mateso ya Kisiasa nchini kwake.
Taarifa hiyo ya BBC imeongeza kuwa Msemaji wa Polisi Uganda, Kituuma Rusoke, Oktoba 19, 2026 amesema kuwa kichwa cha Kabera bado hakijapatikana baada ya mwili wake kukutwa nje kidogo ya Mji wa Kampala mwishoni mwa wiki iliyopita.
Zaidi jamii.app/MkosoajiKagame
#JamiiForums #HakiZaBinadamu
RUVUMA: Wananchi hao wa Vijiji vya Magomeni na Majimaji wamekutana na Mbunge wao wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, Oktoba 18, 2026 kuelezea changamoto wanazopitia ikiwemo kuhusu migogoro kati yao na Wafugaji.
Zaidi jamii.app/WafugajiTunduru
#JamiiForums #UtawalaBora #JFMatukio
UPDATES: Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Everlasting Lyaro amesema Oktoba 17, 2026, mafundi walirekebisha bomba hilo kazi ambayo ilitumia saa kadhaa na kukamilika siku hiyohiyo.
Ikumbukwe, Oktoba 15, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi bomba linavunja mwezi mzima sasa bila maboresho”.
Zaidi jamii.app/BombaKuvujaKimara
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, tembelea Jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ndani ya JamiiForums.com kuchangia mada.
Zaidi jamii.app/TemboLiwale
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
AVA anajibu maswali yote, ni wakati wako wa kufaidika na huduma hii bure.
Zaidi jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Polisi wamesema hadi sasa Watu 167 wamekamatwa huku Askari 132 wakijeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Edi Rama aliyekuwa madarakani tangu Mwaka 2013 amesisitiza kuwa hatajiuzulu.
Shiriki Mjadala jamii.app/AlbaniaMaandamano
#JamiiForums #Accountability #Governance
Moja ya Mjadala unaoendelea ndani ya JamiiForums.com
Zaidi jamii.app/KiwandaGlobal
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
KAGERA: Askari hao waliokuwa doria pori la hifadhi ya Misitu ya Ruiga, wakiwa na silaha aina ya AK 47 tatu waliwashambulia watu waliokuwa wamebeba mkaa kwenye pikipiki zipatazo kumi baada ya watu hao kukataa kukamatwa na kujaribu kuwanyang'anya silaha askari hao na kusababisha vifo vya watu wanne.
Fuatilia zaidi jamii.app/KageraAskariKuua
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #HakiZaBinadamu
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Mambo ya Ndani kusaidia kwa kuzungumza na mamlaka zinazohusika ili kuwawezesha Mabaharia walipoteza kazi kupata Visa za C1/D za miaka miwili kwenye meli za Marekani.
Soma jamii.app/VisaMabaharia
#JamiiForums #JFMdau2026 #Diplomasia
Oktoba 19, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌
Unamshauri nini Mdau? Mwambie hapa jamii.app/KusomaBchlrMusic
#JamiiForums #JFElimu
Mdau, kitu gani kinakamilisha siku yako ya leo? Tuambie kwenye komenti.
Zaidi jamii.app/WikiendiBora
#JamiiForums #Maisha
DODOMA: Operesheni hiyo imeongozwa na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Yusuph Kamotta, Oktoba 18, 2026.
Yapi maoni yako mdau?
Zaidi jamii.app/NauliAbiriaRto
#JamiiForums #Uwajibikaji
ENGLAND: Timu ya #ManchesterUnited imeendelea kuwa na msimu mbaya baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 dhidi ya #LeedsUnited, ikiwa imeshinda mchezo mmoja kati ya 8 iliyopita katika michuano yote.
Matokeo hayo yanazidi kumuweka Kocha United, Michael Carrrick katika hatari ya kufukuzwa, kwani hadi sasa timu yake imezidiwa pointi 14 na Manchester City ambayo inashika nafasi ya kwanza katika Premie League.
Mjadala unaendelea jamii.app/ManULeeds26
#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026








































