seth c illomo (@illomo_seth) header
seth c illomo (@illomo_seth) profile picture

Ableseaman

Rubiri start disaster to bwilu
Joined February 2018
Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)Photo by seth c illomo (@illomo_seth)
Uongozi sio Ubabe, kujiskia,kukomesha, kujisikia, udikiteta, Ufashisti, Kujiona, Kihelere na mambo mengine yanaweza kukwamisha Maendeleo na kupoteza Imani za salio wengine ktk kufikia malengo Mahususi ktk kujenga na kujiletea Maendeleo ya kweli.
Hongera Mjomba Wa mmi uongozi haswa unataka hivyo uwazi,kujituma,kutuma/kuagiza, kuonya,kuwezesha/facilitation,kuelekeza, kusimamia maamuzi na kuwa na Mipango inayopangika. Mungu akutangulie ktk yote ili tufike mbali.@MagufuliJP
1
Napenda sana Huduma inayotolewa na Masoud kipanya na wafadhiri wake Wa choo, ananifundisha (1) kauli mbiu, (2),PETS ktk manunuzi,(3)kujituma.(4),mahusiano na jamii.(5)Heshima na nidhamu ktk kauli yake.(6)ushirikishwaji Nk.
Binafsi siamini ktk kuletewa naamini ktk aina kitu na vigezo vya kupatikana kwake, utapokea vingapi bila maamuzi yako, mbali na maandiko matakatifu ?@LaurenAlloyce @AGwandiko @BrightonKahili2
Good plus the way get a right things @Officialbenato2
1
Siku zote na Imani chaguo lako ndio stahiki yako, ulichagua mtaliii sasa hayupo ssi tunateleza, sio siri ni kura Moja sijapoteza ila hizo nimeingia dhoti babu kubwa? Mjomba tupo pamoja msimshike mkono anaona huyo.
3
2
Hii ni Tz nchi yetu tunaipenda sana, mapungufu madodo madogo km haya kwenye picha yanasababishwa na maamuzi
1
2
Napenda kusikia Simba kushinda siku zote haswa mechi TZ kwani nakosa amani moyoni ikifungwa. Wachezaji wa Simba Tambueni hilo. Tupeni furaha Mashabiki, sijaona Timu za kuwababisha hapa nchini @moodewji @SimbaSCTanzania @abdalla10138286
2
Natamani usemapo SIMBA SC najisikia amani sana. Km shida imepitia na changamoto pia. Hakika haitajirudia chini ya mfadhiri aliopo sasa. Mungu akulinde na kukupa ujasiri wa kufanya simba isonge mbele Daima.@SimbaSCTanzania @teammodewji
1
Natamani kweli viongozi na wananchi tusaidiane tupige vita Mawigi, nywele bandia(laster), monofilament zote,kwa kuwa zinaharibu mazingira tena ngumu kuoza. Zifutwe km mifuko ya lambo/plastic watengeneze mbadara hata katani ikipakwa rangi yatosha.
1
Good governance is generally the key to leading, managing is a system that requires accountability, transparency, monitoring, advice, planing,bugdeting, management and evaluation etc @billmarwa @RehemaSeleman10 @msoapomtwara
1
God is all things to everyone. guard against the rule to be distributed or given to you.
1
Na kumbuka time ya FMT 2012-14 Nyegezi main campus iikuwa tishio kwa chuo kizima. Simba damu
Natamani nisiguswe na yoyote kwani upendo wa kinafiki sipendi,nafsini mwako km humjui Mungu chochote ufanyacho hapa duniani ni kuwafurahisha hao unaotaka wafurahi. Naomba nijisimamie hata kwa nafasi ndogo nilionayo, Mungu ndio kimbilio langu nimuogope nani?
2
2
Kauli ya mwanamke mpumbavu anavunja ndoa yake mwenyewe ni hakika, ila pia mwanamme chagua chagua huokota mbovu. Ila nilikuwa sifahamu kuwa ndoa ni mtihani mgumu kuliko, ktk maendeleo, hekima ,akili,kipaji, nk pia kuwa na Amani. Malezi urithishwa.
Waraghibishi sioni Mambo kwenye mtandao, pigeni kazi tuijenge nchi. Tuwasaidie viongozi wenye maadiri na wasio nayo tuwaboreshe kwa kuwakumbusha wajibu wao kwa jamiii. Tanzania isonge mbele.@msoapomtwara @mafaume @BMbogwe @fatma_karume @mafaume
Mkuu kumbe umewekeza kijijini kwetu kwalukonge magamba msaada wako ktk ajira ni mkubwa . tunahtaji uwepo wako na hata vile vinjia hebu virudishe kka yangu km miaka ile ya miaka ya80-1958 @moodewji
Mbunge Muhambwe #kibondo jifunze kwa #mh. Prof. Sospeter kwa alioyafanya kwa pesa ya mfuko Wa Bunge? Wwe utatupa nni kwa Mfuko Wa Jimbo? Tunaomba tukusikie na wwe na wenzako wanaofanana. Aibu ?@AGwandiko @JosephKajuli @JamiiForums @DokasiJohni
Naweza kupata namba ya IGP ya simu ya mkononi au ofisi naomba niongee nae kwa matatizo nilionayo kabla kuomba ridhaa ya kuonana na Rais nitakuwa sijafuata utaratibu/ngazi asanteni. @tanpol
#Kibondo hakuna Maji safi na salama?ya bomba tunanunua Lita 20 tsh 700/- Tumuombe ancle wetu kutatua Shida ya Maji. Tunahangaika kwa kukosa Huduma ya Maji, ila wakimbizi kambini Nduta wapo vizuri kwa Huduma ya Maji, sijui yanatoka Burundi?@MagufuliJP