
Mimi nimragabishi kutoka #Kibondo #ChukuaHatua
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets573
- Following89
- Followers355
- Likes711
Pamphilius Petro retweeted
Nikiongea na vijana wa Kisarawe na waliotoka nje ya Kisarawe kwa lengo la kushiriki kwenye kilimo na maeneo tumewapatia nini kilinisukuma kufanya hii ziara ya siku nzima na vijana hawa. Natarajia kupata kizazi cha vijana wa Kisarawe wanaoshiriki kikamilifu kwenye kujenga uchumi!!
Hiini Barabara toka Nyakanazi to Kigoma tunaomba serikali yaawanu ya tano ikomakinisana hii Barabara ikamilike kwa wakati.@atashasta @MagufuliJP @majaliwa_kassim#chukua hatua.
Serikali ya Awamu ya Tano ni makini sana Tunaomba na sisi Wananchi wa kikjiji cha #Biturana #Kibondo Tuletewe umeme wa (REA).maana tumesahaulika sana @atashasta @MagufuliJP @tanescoyetu #chukua hatua.
Tunaishukuru serekali kwa ukarabati wa Barabara kutoka kijiji cha #Kumwambu hadi sekondari #Biturana.@atashasta @TaruraTz @majaliwa_kassim @MagufuliJP .
Kweli kabisa.
Ni hali ya kuigwa kwa kanisa la #AsemblesofGod(AGT) #Biturana #Kibondokigoma wakisaidia kufanya usafi kwny zahanati iliyopo hapo. Tuombe makanisa na taasisi nyingine ziunge mkono ktk kuboresha penye huduma km hizo. #Chukuahatua @umwalimu @Kajuli_JSK @JamiiForums
Pamphilius Petro retweeted
Uwajibikaji wa vijana ktk mikutano ya hadhara ni muhimu ili kufuatilia suala la kifedha inayokuwa ikisomwa kwny mikutano kama ilivyo #Biturana #Kibondokigoma @JamiiForums @billmarwa @OxfamTz @SuluhuSamia @Kajuli_JSK @MagufuliJP
Leo Tarehe 23.4.2019 waraghabishi wa kijiji cha #Biturana tume tembelea zahanati yetu Dr. Akasema changamoto upungufu wawa hudumu tuna wahudumu wawili tu na zahnati yetu ni ndogo wagonjwa wengi sana tunaomba serikali mtu ongezee wa tumishi.@umwalimu
Leo Tarehe 5.4.2019 tulikuwa na mkutano wa Hadhara kijiji cha #Biturana na watu wa shikika la DRC mkutano ukliohusu upatikanaji wa maji safi na salama na usafi wa mazingira @atashasta @Kajuli_JSK @JosephlnaN
Hii ni Barabara inayo toka kijiji cha #kumwambu hadi shule ya sekondali #Biturana tuna omba serikali watu wekee mramu maana mvua ikinyesha hapapitiki.@atashasta @Kajuli_JSK @majaliwa_kassim .
Serikali iko makini sana hao majambazi wa tazibitiwa tu .
Kweli nimefarijika sana,ni masaa mawili tu tangia niritweet twitter ya #ruhotola mara mkuu polisi #Ottieno katoa habari ya kuuwawa majambazi watatu huko #Kibondo Hongere Serikali sikivu,#chukuahatua #ruhotola
1
Hapo nikuwa omba wazazi
Na walezi tujitahidi tuchangie wa toto wa pate chakula shuleni tuachane na mazowea #chukua hatua.
Pamphilius Petro retweeted
Ni jambo la kushukuru serikali kwa kututengenezea barabara hiyo ya #Biturana na Rusohoko @JosephKajuli @tarura__ Tz @billmarwa @atashasta
Hii ni barabara inayounganisha kijiji cha #Biturana na #Rusohoko ambayo inatengenezwa na @TaruraTz #Kibondokigoma. Tunashukuru serikali kwa kuendelea kupanua miundo mbinu ya barabara ktk maeneo mbalimbali. @JamiiForums @kwanza_tv @TaruraTz @WizaraUUM @Kajuli_JSK @billmarwa
Pamphilius Petro retweeted
Tunaendelea kupata mafunzo ya haki za binadamu leo tar. 25.3.019 #Kibondokigoma #Chukuahatua @JamiiForums @OxfamTz @zenanakoni1 @LucySamweli @dotto_francis @Lmbigule
Pamphilius Petro retweeted
Picha pamoja kati Viongozi wa mtandao wa waraghbishi wilaya ya Mbogwe na wawezeshaji ktk Semina ya Haki za Binadamu mjini kahama kupitia Oxfam Tanzania.Lengo kuondokana na tabia ya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia na mimba za utotoni #ChukuaHatua @umwalimu
Pamphilius Petro retweeted
Mh. wa nishati ya umeme ktk wilaya ya #Kibondo kuna baadhi ya vijiji hususani #Biturana haimo kwny mpango wa umeme wa REA awamu ya 3. Wahusika wa nishati mnawasaidiaje wananchi hao. #Chukuahatua @JamiiForums @tanescoyetu @LucySamweli @SuluhuSamia @MagufuliJP @majaliwa_kassim
Pamphilius Petro retweeted
Hii ni barabara inayounganisha kijiji cha #Biturana na #Rusohoko ambayo inatengenezwa na @TaruraTz #Kibondokigoma. Tunashukuru serikali kwa kuendelea kupanua miundo mbinu ya barabara ktk maeneo mbalimbali. @JamiiForums @kwanza_tv @TaruraTz @WizaraUUM @Kajuli_JSK @billmarwa
Pamphilius Petro retweeted
Ni shughuli ya watu wa @TANESCOTZ1 @tanescoyetu wakiubganisha umeme kijiji cha #Rugunga ni hatua nzuri sana. Tuombe na vijiji vingine wafanye hivyo maana hitaji zito sana. @MadiniTanzania #chukuaHatua
Pamphilius Petro retweeted
Kutokea kwa zero katika matoke ya elimu sekondari pengine hutokana na:
#ChukuaHatua #HakiElimu – at Kigoma, Tanzania
25%Misingi mibovu (elimu msg
25%Walimu wachache
25%Miundombinu mibovu (sec.)
25%Wazazi kusubiria matokeo
4 votes • Final results























