Leonard Daniel (@Lmbigule) profile picture

News

Shinyanga, Tanzania
Joined November 2017
Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)Photo by Leonard Daniel (@Lmbigule)
ILI TWENDE VIZURI.Tukubali kuwa watu Wazima.Watu wanaokula Chakula kigumu.Yaani tujue Jema na Baya.Na tukubali kuacha mabaya na tutende yaliyo mema tu .Mabaya kamwe, yasitoke vinywani mwetu.Kwani ni chukizo.Upendo utawale.
84
ILI KUBORESHA NA KUPATA MAENDELEO YETU ZAIDI. ,,.............Tuwe na tafiti shirikishi.Tuangalie tulikotoka.Tulipo.Na tunakotaka kwenda.Tuangalie mbinu muafaka za wakati huu, na kizazi kilichopo.Lakini tuimarishe umoja na mshikamano Kwa maslahi ya Mwananchi.
1
23
HISTORIA.Tumetoka mbali kimaendeleo.Tujivunie Nchi yetu.Huko nyuma ,Bebeo la Mtoto ngozi ya Kondoo,Vazi magome ya miti/Lubega.Godoro nyasi,Nyumba Ngondano ,kikombe Kata,Umeme kijinga cha moto,kusaga unga kwenye jiwe NK. ,Tuelezeni ukweli Tuijenge Nchi yetu.
20
UFAHAMU URAGHBISHI. Mfumo wa kufanya kazi za jamii ndani ya Jamii kupitia wanajamii wenyewe.Unatambua Jamii si Ndoo tupu.Unahitaji.Uwazi,Ushiriki,Uwajibikaji,Usimamizi na Ufuatiliaji.Una matokeo chanya ktk kazi.Mbogwe ya mfano Kwa Uraghbishi.Unaimarisha Uadilifu
14
Leonard Daniel retweeted
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko; 1.Ana nidhamu na adabu kwa Mungu 2.Kwa haraka haraka hana Makandokando 3.Ana nidhamu na adabu kwa watu wa Mungu 4.Hakifanyi cheo chake Kimtofautishe na watu wengine. 5 Anaheshimu kila mtu wenye nacho na wasionacho kwa kifupi ni mtu wa watu kweli kweli.
1
3
27
1,382
Leonard Daniel retweeted
Hongera sana Mhe Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati. Mungu akusimamie katika utekelezaji wa majukumu yako. – at Botswana
Kutoka Ikulu Ndogo, Zanzibar. Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko aapishwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na aapishwa kuwa Waziri wa Nishati.
5
9
81
8,446
Ziara za kubadilishana mbinu na uzoefu Kwa kamati za Wananchi na Viongozi waVijiji vya Mradi wa Uraghbishi Mbogwe, ili Kuwa na matokeo chanya ktk kutekeleza Vipaumbele vya Wananchi.@Twaweza_NiSisi @ortamisemitz
1
39
Leonard Daniel retweeted
Kamati za Wananchi na Viongozi wa Vijiji vya Iboya na Bugalagala Wilayani Mbogwe. Wakiwa kwenye Ziara ya kubadilishana mbinu na uzoefu wa KAZI ktk utekelezaji wa Vipaumbele vya Wananchi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi kupitia Mradi wa Uraghbishi Mbogwe.
1
1
42
Leonard Daniel retweeted
Nampongeza sana Mh.Mbunge Jimbo la Mbogwe, mchango wake Hotumba ya Mh.Waziri Mkuu @majaliwa_kassim .Kweli Mbogwe inahitaji Barabara,Maji,Taa Barabara za Lami masumbwe,Barabara nzuri Kwenye maeneo ya yote ya machimbo.Lakini pia Upauaji Maboma ya Zahanati @SuluhuSamia
1
1
1
Kamati za Wananchi na Viongozi wa Vijiji vya Iboya na Bugalagala Wilayani Mbogwe. Wakiwa kwenye Ziara ya kubadilishana mbinu na uzoefu wa KAZI ktk utekelezaji wa Vipaumbele vya Wananchi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi kupitia Mradi wa Uraghbishi Mbogwe.
1
1
42
Ni Semina ya Waraghbishi Mbogwe, wakijengewa Uwezo kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi zao ktk kuwajengea Wanajamii wa Mbogwe uwezo wa kujitambua na kutambua Nafasi yao ya Ushiriki ktk kujiletea na kuleta maendeleo.Uraghbishi chukua Hatua leta maendeleo
Leonard Daniel retweeted
Uraghbishi ni Falsafa ya utendaji kazi ndani ya Jamii kupitia wanajamii wenyewe. Mbinu hii ina Tija na ni Jawabu la maendeleo shirikishi ndani ya Jamii.Aidha ni mbinu nzuri ya kuhakikisha uwepo wa uzalendo,Uadilifu na Uwajibikaji.@OR_TAMISEMI @Twaweza_NiSisi
1
1
2
Uraghbishi ni Falsafa ya utendaji kazi ndani ya Jamii kupitia wanajamii wenyewe. Mbinu hii ina Tija na ni Jawabu la maendeleo shirikishi ndani ya Jamii.Aidha ni mbinu nzuri ya kuhakikisha uwepo wa uzalendo,Uadilifu na Uwajibikaji.@OR_TAMISEMI @Twaweza_NiSisi
1
1
2
Falsafa muhimu sana ktk kuimarisha Uwazi,Ushuriki na Uwajibikaji.kwa ajili ya Maendeleo Endelevu
1
1
Jitihada hizi za wananchi wa Ilangale Masumbwe wilaya ya Mbogwe za kukinga maji kwa mifuko yenye mchanga, ili yaelekee kwenye mashamba: Ni kuonyesha kuwa mabwawa ya Maji. Yanahitajika kwa ajili ya kilimo Wilayani Mbogwe.@TZWaziriMkuu @maji_mowi @ccm_tanzania
1
1
Mraghbishi ni Mtu mwenye kiu ya Haki na Mpenda maendeleo.Hivyo,Wananchi,Watendaji na Viongozi Ngazi zote.Wakikubali kufanya kazi kwa kutumia mbinu za Uraghbishi ktk Kubaini changamoto, kuweka vipaumbele na kuchukua Hatua za utekelezaji kwa wakati.Tutafanikiwa @OR_TAMISEMI
1
1
1
Mbogwe ni Wilaya ambayo Jamii yake ina mwamko wa ushiriki ktk maendeleo kupitia Uraghibishi.Ina Maboma mengi ya Zahanati na madarasa.Ambayo tunaomba Serikali kukamilisha na inaendelea kutushika mkono.Viongozi hawapati shida ktk ushiriki wa Jamii.@ccm_tanzania @ummymwalimu
1
"Nchi haiwezi kuendelea bila tafiti na takwimu sahihi. Ni muhimu kwa wananchi wote kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa linaloendelea nchi nzima kwani hakuna maendeleo bila takwimu" - @annarugaba #TakwimuHuru #SautiZaWananchi
Changamoto za Jamii wanazifahamu wanajamii wenyewe.Waraghbishi Mbogwe,tunafanya kazi kupitia makundi ya kijamii na kupata uhalisia.Viongozi kukutana na jamii ktk Vijiji ni njia muafaka ktk kuona namna ya kutatua Changamoto za jamii @ortamisemitz @Twaweza_NiSisi
Mimi na Familia yangu tumekuwa wa pili kuhesabiwa ktk Kitongoji chetu cha Kibondo'B' Masumbwe Mbogwe Geita.Tujitokeze Kuhesabiwa.