Jamani ninashindwa kuelewa janga hiliambalo linasumbua hata watoto kushindwa kuendelea na masomo kwa Nini vilabu vya pombe baa zinaendelea kulikoni?@ChukuaHatua @TZMsemajiMkuu @umwalimu
Jambo kubwa Bunge oneni umhimu wakujali wanawake walioko kijijini kupata elimu ya kutambua haki zao nasheria ya kuwalida ikaziwe. Nawadau wamashilika ka a Oxfam twawenza tamasha saidieni.hili@Bungetz@oxfamu@chukuahatua@msemajimukuu
Tunapo kuwa kimya bila kusema neno juu ya sheria.itakayo.mlinda mtoto wakike anapolazimizhwa kuolewa bila kulidhia mweyewe.hata akibakwa,..ukweli hauonekani@Msemajimkuu@chukuahatua,@umwalimu @magufulijp
Jukumu.la.kuboleshamazingila yetu.waraghabishi wilayani mbgwe wakishiliki.Nmb benk ofisi ya misitu wLivalia njuga @ChukuaHatua
majengo kama haya wanainchi wamechangia nguvu za wanainchi.mpaka kufikia hapo lilipo shukurani nyingi serikali imetuunga mkono shukulani nyingi.#chukuahatua@Musemajimkuu@oxfam.
Kazi ya kutetea haki za wanawake ,katika kupinga unyanyasaji wa jinsia wilayani mbogwe madiwani viti maalum waupinga kwa hatua za kuelimisha jamii.#chukuahatua@msemaji mkuu.@ElimikaWikiendi @MagufuliJP
Kazi yauragahabishi baada ya wanaichi kutambua kujiwekea maendeleo yao, wamejenga zahanati yao kuanzia chini hadi kupaua kwa nguvu yao.#chukuahatua@oxfamuTz@MsemajiMkuu.
1
3
Madiwani wilayani mbogwe kwenye mbio za mwenge wakifurahia kufunguliwa kwa miradi 10ambayo imejegwa kwa nguvu za wanainchi naserikali tunashukulu,uhusiano huu .kwa pamoja tutafikia maendeleo#chukuahatua@msemajimkuu
utamaduni wa mtanzania unadumishwa,ngoma yakisukuma kwenye mbio za mwenge wilayani mbogwe tarehe 4/5/2019#chukuahatua@oxfamTz
jengo la walimu ambalo litachukua familia sita, kata nyasato leo tarehe4/5/2019
limefunguliwa na mbio za mwenge.#chukuahatua@Msemajimkuù
mbio za mwenge wilayani mbogwe.tarehe 4/5/2019 umekagua miradi 10 ambayo imekamilika Twaipongeza serikali nawanainchi ushilikiano undumu.#chukuahatua @TZMsemajiMkuu
1
kiongozi mbio za mwenge wilayani mbogwe kijana shupavu tekeleza majukumu kama ulivyotumwa .
ukomakini.#chukuahatua @MagufuliJP
uraghabishi umekuwa chachu kubwa kwa maendeleo wanainchi mabenki kama Nmb waraghabishi mbogwe wanashilikishwa kutoa elimu ya ushiliki na ushilikishwaji leo tuko kwenye ufunguzi wabenki hiyo#chukua hatua@msemajimkuu@Bilimalwa @kephamogera
kazi kubwa kuwatoa vijana kwenye mtazamo wa mavazi mafupi na suluali zinazo toa nguo zandani inje .kwaushilikiano wauongozi wakata nyasato mbogwe tumefanikiwa kulipuguza natunaendelea.huo ndio mkutano wahusika tusaidieni, kupunguza aibu hizi#chukuahatua@Musemajimkuu
3
baraza lamadiwani ambaro limekaa tarehe 17/4/2019 mbogwe limekataa upauaji wa jengo la makao makuu ya halimashauli.ramani imebadilishwa siyo waliyo pendekeza.#chukuahatua@msemajimkuu.














