Lemey Andrew (@AndrewLemey) header
Lemey Andrew (@AndrewLemey) profile picture
Arusha,Tanzania
Joined October 2017
Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)Photo by Lemey Andrew (@AndrewLemey)
Wananchi mnalalamika mfumuko wa bei za bidhaa. Rais anasema kwamba kila kitu kitapanda bei. Waziri wa fedha anasema ukishindwa kulipa tozo hamia Burundi. Waziri wa mawasiliano anasema gharama za vifurushi zitapanda utake usitake. Mnataka kuelezwa nini muelewe CCM wamechoka?
13
56
2
312
Vp kijana lai uko hewani?
From Gatundu to Bondo: Have Uhuru, Raila managed to heal sins of their fathers? https://xitter.cf/t.co/BoNXsu3PI5
16
37
2
472
Rais wa 🇿🇲 @HHichilema alipoingia madarakani alitangaza msamaha kwa wafungwa/mahabusu wa kisiasa waliotokana na utawala wa dikteta Edgar Lungu. Leo alikuwa 🇹🇿 mgeni wa Rais @SuluhuSamia, naamini amemueleza SSH, awaachie huru wafungwa/mahabusu wa kisiasa wa utawala wa Magufuli.
5
38
290
Lemey Andrew retweeted
Saa 4 kamili imefika wekeni handle zenu sasa mmoja mmoja atainuka leo
51
27
124
Huu usajili wanaoendelea kuufanya Mancity wanataka waje kuomba mechi na Aliens?
22
24
3
318
Mahakama Dodoma imeamua kujishusha sana mbele ya serikali Hata kama ndio kujishusha ndio iwe kwa namna ya ovyo hivi? Yaani serikali haijafika mahakama anayeumia ni @Twaha_Mwaipaya !? Huu upuuzi ukivumiliwa tutakuja umizwa sana huko mbeleni
5
24
2
92
Mimi Ni Mwanachama wa #CHADEMA kwa Sababu ya Mwelekeo wa Chama kisiasa, Kiuchumi na Kijamii [ ITIKADI ]. Mimi Naipenda @ChademaTz kwa Sababu ya Falsafa Yake ya Nguvu na Mamlaka ya Umma [ The People's Power ] Ambayo ni Msingi na Chimbuko la Kuundwa Dola ya Nchi. #M4C_Daima ✌️
30
157
8
1,616
Ninaendelea kuwaletea matamko kutoka vikundi mbalimbali ya kimaasai #Tanzania nzima tuige mfano wao - they make us all proud 👊🏽 Wanasimama na kuhesabiwa pamoja na vitisho vyote TUSIMAME NAO! Hata picha ushindwe kuweka in solidarity!? Hebu twende kazi #IStandWithTheMaasai
14
117
7
583
"Kilichonigusa ni kuwa kumbe waliopo serikali wanatambua kinachoendelea huku, sio kwamba hawajui sasa kama wanajua labda watachukua hatua" - Dkt. Lenny Kasoga - Mchumi #Mjadala
3
6
73
Mpaka sasa hivi kuna wanafunzi wenye miaka 18, nao wana kipato gani cha kuwafanya walipw kodi? – at Mara, Tanzania
"Kwa nchi yetu mtu akiwa na miaka 18 sio productive, ni kipi anacho, tunamtoza kodi kupitia chanzo kipi cha mapato ambacho anaingiza?, tujiulize hii kodi ni ya nini, kipi kinamfanya atozwe kodi?" - @rollymsouth Mdau wa Vijana #Mjadala
Lemey Andrew retweeted
Umetoka zako kibaruani unasema wacha nichkue bajaj niwahi home, ndani ya bajaj unakaa pembeni ya lishangazi linawahi ofa ya bia nimejipulizia marashi linanukia kama shetani, unafika home mkeo anakwambia rudi huko huko kwa malaya zako wanaokuachia mpaka harufu zao 😂😂🙌🏽
33
19
7
194
Lemey Andrew retweeted
Bunge la Tanzania, litueleze wananchi fedha za kujenga zile nyumba za Handeni Tanga Kwa ajili ya Wamasai wa Ngorongoro zilipitishwa lini na fungu gani?Au kuna subsidiary bajeti ambayo ilipelekwa Bungeni?Nani alitoa ufadhili na Kwa Maslahi gani?#KatibaMpyaNiSasa
7
25
2
107
"Sioni kitu special kwa vijana kwa sababu kilichozunguziwa leo ndio kinazungumzwa karibia kila bajeti zilizopita, kikubwa nilichokipenda Waziri amekiri kuna shida" - @rollymsouth Mdau wa Vijana #Mjadala
32
70
3
1,257
Lemey Andrew retweeted
Mwanamke wako akileta mazinguzi na unampenda basi usisite kumpiga Makofi mawili matatu kama kumkanya..... Akilalamika unampiga jua kuna mwanaume anamdanganya kumdekeza, ACHANA NAE
24
19
184
The East African Court of Justice must not allow such atrocities towards our Maasai Brothers in Tanzania. The actions of @SuluhuSamia government make colonial tendencies look more like philanthropic. @jmkikwete please advice your sister. The Maa nation shall not relent.
63
107
2
719
Ulikasirika wale wanawake 19 kuhongwa pesa waingie bungeni, ukasimamisha mshipa na kusema wafukuzwe, ni wasaliti. Kimsingi, tofauti yako na wao haipo. Umehongwa vijipesa rojo-rojo, unajifanya balozi wa mchongo wa wanyama, unawakandia Maasai. Pesa zako ulipokuwa mjengoni ulihonga?
43
69
2
567
Kana maeneo mengi sana ambayo hawajapata hizi kadi, nashauri kuwa kuwa Chadema wameshajiimarisha kidikitali watengeneze mfumo wa kutumiwa na wanachama kupata kadi hizo kuliko kuangaika kuwatafuta wahusika @Liberatus80 @jjmnyika @kigaile1D – at Mara, Tanzania
Kesho, Jumatano, June 15, 2022 nitaungana na viongozi wangu wa Kanda, Mkoa, Jimbo, Kata na wanachama wenzangu kwenye mkutano Mkuu Jimbo la Mbarali. Makamu M’kiti @TunduALissu naye atahutubia LIVE. Kadi za Kidigitali zita-printiwa papo kwa papo. #ChademaDigital