Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN) profile picture

Mimi Ni mraghabishi kutoka #kibondo #chukuahatua

Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)Photo by Jòsephlna Ntimba (@JosephlnaN)
Jòsephlna Ntimba retweeted
Kuna mbunge mmoja kanifurahisha leo ety kaja na mjadala wa 2020 tusifanye chaguzi ya Raisi bali ifanyike ya wabunge na madiwani rais abakie kuwa @MagufuliJP ili tuokoe pesa ya kampeni kwan hana mpinzani na aliekuwepo yupo nae chaman😁😁😁 Toa maoni yako na wewe – at Kigoma, Tanzania
2
6
Je? ni halali mwananchi kupigwa/kupewa azabu wakati anapo kuwa ameenda kujiandikisha kupata kitambulisho cha #Taifa kwenye vituo maalumu vilivyotegwa? @NIDA_Tanzania @Kajuli_JSK @billmarwa @TZMsemajiMkuu @selemani_jafo @MagufuliJP @AlkadoAlphonce #Chukuahatua #ukatiliwakijinsia
2
5
2
12
Jòsephlna Ntimba retweeted
#maji #Kibondo imepofikia ni pabaya kwa hali hii hivyo basi @maji_mowi @wizara_afyatz hali hii muingalie kwa jicho pana katibu wizara ya maji mh @kitilam na mr @MbarawaM hili hamjaliona? – at Kigoma, Tanzania
3
7
2
15
Karibuni sana! Kwa maoni, ushauri pamoja na maswali kuhusu barabara zetu za vijijini na mijini. Karibuni.
Wakala wa Barabara Vijijini & Mijini wako hapa usisite kuuliza au kuwasilisha changamoto ya ujenzi wa barabara
9
12
2
64
Hili jambo la ujambazi lishugulikiwe#chukuahatua @JumanneRois @Kajuli_JSK @AGwandiko @EntasaEnock @bllimalwa
1
Jòsephlna Ntimba retweeted
Ktk maeneo ya kijiji cha #Bitare wilayani #Kibondokigoma majambazi wameua mwananchi wa kijiji hicho kwa kuvamiwa nyumbani kwake. Ni lini ujambazi #Kibondokigoma utakomeshwa? #Chukuahatua @JamiiForums @tanpol @kangi_lugola @MagufuliJP @TZMsemajiMkuu @atashasta
2
5
6
Jòsephlna Ntimba retweeted
“Tunaendelea kufanya uhakiki na mpaka jana tumeongezewa bil.100 ambazo zinafanya jumla ya bil.500 za kulipa, tutahakikisha hadi tarehe 15 mwezi huu tutakuwa tumewalipa wakulima kwa kiasi kikubwa”-Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
1
2
1
8
Jòsephlna Ntimba retweeted
Nimetembelea hospitali ya ligula mkoani mtwara ktk maeneo ya maabara choo sehemu ya wanaume kuna tundu 2 tu na1 bovu hali ambayo inaleta foleni kwa wagonjwa na wauguzi waendapo kujisaidia. Wizara ya AFYA ituekebishie @kais @billmarwa @kefarmbogela @mohamed_mkulima @zahratunda – at Mtwara, Tanzania
2
6
15
Jòsephlna Ntimba retweeted
“Malengo ya Serikali ni kuhakikisha vijiji vyote vilivyopo kwenye mpango wa kupata umeme wa REA vipate umeme huo kwa kadri ilivyopangwa”-Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
4
14
2
39
Inatosha #ukeketwaji zaidi ya wanawake#chukua
1
Hapa kazi tu bila kilimo hatuwezi kuishi nimbe tusichangue kazi ajila mojawapo ni kilimo kwanza#chukuahatua mwanachi
6
7
“Kama nisingeenda kliniki nisingejua nina watoto mapacha. Kwenda kliniki mapema kumenisaidia kutunza ujauzito kwa kipindi chote na leo nimejifungua salama.” - Rahma Ibrahim alijifungua watoto mapacha siku ya mwaka mpya 2019. #JiongezeTuwavusheSalama #ForEveryChild
16
67
238
Huo ni unyanyasiji walimu tuache tabia hiyò#chukuahatua
#CHIKUAHATUA huyu Mwanafuzi wa sekondali ya NANGURUWE KATA YA NANGURUWE MKOA MTWARA V . baada ya kukosa kutumia fimbo mwalimu ametumia kumpiga kwa KICHWA hili kosa la tatu kwa mwalimu huyo #HAKIELIMU @ Magufulijp @MOHAMEDMKULIMA @Msoapomtwara @Joycendalichako
2
2
Tuombe serikali kuweza kuongoza nguvu juu ya ujenz wa secondary ya kata #kitahana kwani watoto bado hawajaenda kusoma kwa sbb ya uhaba wa madarasa kumalizika kwani hapa ilipofikia ni kwa nguvu za wananchi #chukuahatua @TAMISEMI3 @TZMsemajiMkuu @MagufuliJP @Josephinatomasi
4
6
Tuombe serikali kuweza kutusaidia juu ukamilishaji wa visima ambavyo vilichibwa na @TASAFIII tangu mwaka jana mpaka sasa hivi, hakuna tunachoona. ili kuepukana na uhaba wa maji #Chukuahatua @MbarawaM @MagufuliJP @billmarwa @Kajuli_JSK @AlkadoAlphonce @ChukuaHatua @OxfamTz
9
1
14
Tunashukuru mashilika yanayo hudumia wakimbizi kwa kuwagawia wazee, na walemavu hasa Nguo, ndoo, besen nk tuombe wasiishie hapo ktk utoaji wa huduma mbali mbali ktk vijiji vinavyo zunguuka kambi #chukuahatua @UNHCRTanzania @EzraKagungu @KhadijaMkoto @EzeraAndurew @MagufuliJP
1
6
1
15
Jòsephlna Ntimba retweeted
Zana ya Uraghabishi baazi ya wajumbe muono wao udai tunaharibu Maendeleo kwa kuwa warisha zoea kuandikia vibaya mapato ya kijiji. Walio tuelewa wamegindua kumbe tunachochea Maendeleo ya kijiji NAMAHYAKATA B @BIImarwa @Mohamedmkulima @Msoapomtwara
7
7
Jòsephlna Ntimba retweeted
Replying to @Mohamed57427222
Ushirikiano ni kitu bora zaidi.Tukiendelea kushirikiana tutasonga mbele zaidi ya kata zingine niwaombe waraghabishi wenzangu changemarker na wanamaendeleo wote tusirudi nyuma.#CHUKUAHATUA @WDC @billmarwa @KefarMbogela @mohamed_mkulima @msoapomtwara @BabuAllySalumu @JosephlnaN .
4
9
Jòsephlna Ntimba retweeted
Kwa kushirikiana #OxfamTz tuliwasafirisha #Waraghabishi 20 #Mtwara kwenda #Kigoma kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzowefu na #Waraghabishi #Kigoma namna gani ya kukabiliana na changamoto,pamoja na kuleta maendeleo chanya ktk sehemu zao wanazoishi #TokomezaUmasikiniMtwara
6
21
40
Jòsephlna Ntimba retweeted
Tutaona ni neema inayo shuka juu kwa mwenyez mungu amani ikiimalika tukaenda mashambani bila shida atakua ametenda maajabu
7
1
11