Daud Elias (@BitamaDavid) profile picture

Mimi ni mraghabishi kutoka #kibondo #chukuahatua

Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)Photo by Daud Elias (@BitamaDavid)
NAMNA YA KUANZA HOTUBA •Inua kichwa na tabasamu •Toa mzaha mfupi (hakikisha mzaha utachekesha) •Uliza swali la kufikirisha ambalo wote kwenye hadhara wanalo •Toa [relevant] fact au takwimu ya kufikirisha (mf. wanaioshi leo ni wengi kuliko wote waliokufa?) •Toa hadithi fupi
258
567
49
3,098
Young people: you gotta live within your means! Stop spending more than you earn trying to chase what you don’t have! Your motto should be: “live below your means but within your needs”. Only through discipline can you achieve financial peace. – at Dar es Salaam, Tanzania
314
1,062
122
4,652
Naendeleo kuamini uongozi sio kitu cha kukimbilia. Usitamani sana nafasi ya uongozi kuliko kutamani kutumikia ile nafasi kwa upendo mkuu na unyenyekevu. Kwenye kutumikia ndio watu waone unafaa kuwaongoza na Mungu aweke kibali chake na akupe ulinzi na nguvu za kuongoza watu wake.
81
61
7
810
"Akiwa mjamzito, aliamua kupambana sana na kijana aliyekuwa ameingia chumbani kwake kwa ajili ya kumbaka. Aliona bora kujitoa muhanga kuliko kumuacha kijana mdogo vile amdhalilishe. " #Teleza #ChangeTanzania
3
10
Nini kinasababisa barabara kuwa katika hali hiii? Ukipita maeneo ya Chalinze uelekeo wa visezi,mbala vigwaza,Ruvu darajani hadi Mlandizi kuna maeneo yapo hivi sheria inasemaje.@RsaTanzania @ajalinisisi @safiri_salama @tanroad27 @SumatraTZ @Tanganyikan @Sheria_Katiba
18
11
6
68
Mamlaka husika walione hilo tatizo na walishughulikie haraka @MbarawaM @kitilam @mohamed_mkulima @AlkadoAlphonce
3
6
Daud Elias retweeted
Serikali inampango gani kuelimisha wananchi hasa tunapokaribia nyakati za uchaguzi serikali za mitaa, ili kuepusha wagombea wasio na vigezo lakini kuepusha vurugu za kivyama na kisiasa? @TAMISEMI3 #ChukuaHatua
2
1
Wanafunzi wa sekondari na msingi wanapaswa kupatiwa chakula cha mchana kama sehemu ya haki yao ya msingi wanapokuwa shuleni. WanaJamii washiriki kikamilifu zoezi hili wakishirikiana na Uongozi wa Shule na Vijiji husika. SOTE tushiriki kujenga Taifa imara na watoto hodari.
51
62
7
785
Daud Elias retweeted
JARIBIO LA UFAHAMU 2019 Jibu swali lifuatalo kwa usahihi A + B = C Tafuta Thamani ya A, B na C
10
7
28
Change must have strong foundation
2
3
103
“Urafiki unaotokana na biashara zenu ni bora kuliko biashara itakayozaliwa kutokana na urafiki wenu”Billionea wa zamani wa Marekani John D,Rockefeller”
153
590
58
3,066
Reminded of the pain that our ancestors across Africa endured to achieve independence.
2
1
14
Sir Solomon kalushi born 10 July 1956 was South Africa operative of ANC militant wing MK He was convited of murder and hanged in April,6 1979 aged 22 “My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom.Tell my people that I love them.They must continue the fight
9
63
3
233
Ewe Mola wangu Mlezi, kesho tunaingia dimbani kuwavaa TP Mazembe, nakuomba utujaaliye ushindi. Wenzetu hawa uliishawapa kombe hili mara 5, tunaomba iwe zamu yetu. Mungu hujawahi kushindwa; najinyenyekeza kwako, naomba uinyanyue @simbasctanzania na nchi yote. Amina! 🙏🏿 #NguvuMoja – at Dar es Salaam, Tanzania
153
88
17
1,259
Programmes that aim to prevent and treat neglected tropical diseases are a great way to deliver #health services to some of the world's poorest, most marginalised and remote communities. Universal health coverage can be achieved if we can #beatNTDs.
THREAD Kaka @zittokabwe imebidi niirudie hii ecology, wewe uliona mbali sana, na ulitoa somo kubwa sana kwa dk 8 tu. Viwango alivyoweka babu Sitta vinanifanya niamini kuwa BUNGE LA SASA NI DHAIFU MNO RIP Samuel Sitta, Leo naamini uliondoka na bunge lako, umeacha jengo tu babu😭
16
64
4
452
kila Mtanzania ana haki ya kujua Rasilimari zilizopo katika nchi yake anayoishi na kuzielewa rasilimali hizo .@MagufuliJP @MNamanani @jamila_abdalla @abdalla10138286 @msoapomtwara @illomo_seth @JosephKajuli #ChukuaHatua
5
5
Umetuonesha kuwa bado wapo Watanzania wanaojitambua na wanaotambua dhamana walizopewa. Umetuonesha kuwa unasimamia unachokiamini na weledi wa taaluma yako. Umetuonesha kuwa maslahi binafsi kwako si muhimu mbele ya uadilifu wa nafsi. Prof Mussa Asad ni #ShujaaWetu. #IstandWithCAG
22
95
7
885
Hii tweet ni nzuri sana,ila ni vizuri kuwatag wenye mamlaka wachukue hatua tofauti na #Billmarwa na #AlkadoAlphonce nk kwa mf @kangilugola @majaliwa_kassim #chukuahatua @DokasiJohni
Ujambazi umezidi kijiji cha kigendeka kibondo kigoma hasa mashambani mpaka watu wanaogopa kwenda mashambani tunaomba serikali itusaidiye @AlkadoAlphonce @JosephKajuli @billmarwa @TZMsemajiMkuu
5
9
Somo la Piere linatufundisha Wakati wako ukifika hata wakazibe wapi ni Wakati wako hakuna atakayezuia Mafanikio yako.
7
16
147