
Mimi ni mraghabishi kutoka #kibondo #chukuahatua
Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
- Tweets1.1K
- Following340
- Followers133
- Likes3.7K
Tunaishukuru @maji_mowi na idara ya maji #kibondo kwa kuleta mradi wa maji mtaa wa kumwai. Lakini haijapita hata miezi 2 tangu mradi uzinduliwe mabomba yashaanza kupasuka na maji yanamwagika ovyo. Kulikoni? Tusaidieni. @kitilam #Chukuahatua – at Kigoma, Tanzania
Shukrani kwa serikali kuliona hili, wakulima walikua wanaibiwa sana kupitia makopo, lakini pia tunaomba mizani itakayotumika iwe inakaguliwa mara kwa mara. Pia kuwepo na ufatiliaji wa kina juu ya hili katika maeneo yote nchini. #Chukuahatua @tzagriculture – at Kigoma, Tanzania
Nimefika S/sekondari Rubanga iliyopo Kibondo #kigoma wanafunzi wakaniambia kua wanakaa saa moja hadi saa nane na dakka 40 bila hata kunywa uji na baada ya hapo hurudi makwao. Tupeane uzoefu huko kwenu pakoje? #Chukuahatua @akwilapo @HakiElimu @humanrightstz @ten_met – at Kigoma, Tanzania
Sheria inabainisha kua mtu chini ya miaka 17 hana mamlaka juu ya mwili wake. Mtu akifanya nae mapenzi au kuoana nae anashitakiwa kwa kosa la ubakaji. Godrian mwanasheria kutoka shirika la WLAC KIBONDO. #chukuahatua – at Kigoma, Tanzania
Sheria ya ubakaji inasema mwanamke hana uwezo wa kumbaka mwanamke bali mwanaume ndo anaweza kumbaka mwanamke. Kama mwanamke akijaribu kumtaka mwanaume kingono atashitakiwa kwa makosa mengine si ubakaji. IMMACULATE SHULI hakimu mkazi wa mahakama ya mwanzo kifura. #Chukuahatua – at Kigoma, Tanzania
Kesi ya ubakaji ina dhamana dhamana endapo mtuhumiwa atakidhi vigezo vya dhamana. IMMACULATE SHULI hakimu mkazi wa mahakama ya mwanzo kifura. #Chukuahatua – at Kigoma, Tanzania
Haki za binadamu ni vitu vyote vya msingi ambavyo mtu anazaliwa navyo na anapaswa kuvipata. IMMACULATE SHULI Hakimu mkazi wa mahakama ya mwanzo kifura. #chukuahatua @humanrightstz @Sheria_Katiba – at Kigoma, Tanzania
Lengo kubwa la mradi wa kuwezesha utawala bora na uwajibikaji #Chukuahatua ni kujenga uelewa wa wananchi juu ya matatizo yaliyo katika jamii zao na kushiriki ipasavyo katika utatuzi. @Kajuli_JSK Afsa mradi kutoka OXFAM KIBONDO. – at Kigoma, Tanzania
Kupitia mradi wa kuwezesha utawala bora na uwajibikaji #Chukuahatua @OxfamTz imewezesha wananchi wa kawaida kushiriki katika maswala ya kuondoa umaskini na kuleta maendeleo. @JosephKajuli Afsa mradi kutoka OXFAM KIBONDO. – at Kigoma, Tanzania












