#ChangeTanzania (@ChangeTanzania) header
#ChangeTanzania (@ChangeTanzania) profile picture

This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337

Tanzania
Joined January 2012
Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)Photo by #ChangeTanzania (@ChangeTanzania)
Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima Wakasema vimetoka mikoa ya Dar. 182 Mwanza 90 Mbeya. 80 Arusha. 53 Jumla 405 Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518 Maiti zilizotambulika. 485 Ambazo hazikutambulika. 9 Jumla. 494 Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24 Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
66
152
14
456
48,770
‼️🚨 Gaidi Mwandamizi Namba 101 Mtanganyika - Jaji Shaban Ally Lila‼️ Tunamleta kwenu Gaidi Shaban Ally Lila (Mtanganyika) ambaye ni Jaji na Mwenyekiti wa tume HARAMU iliyoundwa na Gaidi Kiongozi Samia Suluhu Hassan mnamo Mei 2026. Gaidi Lila amezaliwa mwaka 1960.
Ikumbukwe kwamba raia wa Tanganyika wapatao 10,000 wasio na hatia waliuliwa kabla, wakati na baada ya Oktoba 2025. Mauaji haya yamefanywa na familia katili kutoka Zanzibar ya Gaidi Mkuu Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na familia yake Gaidi Shaban Ally Lila anatuhumiwa pamoja na ukatili mwingine wa kisheria ambao amekuwa anaufanya, ana tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya alipokuwa kwenye majukumu katika mahakama za Tanzania. Tuhuma hizi zilizoletwa kwetu na wazalendo ndani ya vyombo hazijawahi kukanushwa wala kupingwa. Hivyo uteuzi wake kuongoza tume haramu ya kuinajisi Tanganyika na watu wake unatokana na uzoefu wake wa kupindisha sheria na taratibu kwa malipo ya fedha. Kwa sasa Gaidi Shaban Ally Lila anaendelea na kazi ya kuchunguza chanzo, wahusika, na waliopanga au kufadhili matukio ya ghasia, vifo na uvunjifu wa amani. Kazi yake kubwa sasa hivi ni kukusanya kila takataka ya taarifa ili atimize lengo la kuwaumiza Watanganyika kwa kesi FEKI za uhaini na ugaidi. Kazi kubwa anayoikamilisha ni kuhakikisha baadhi ya viongozi wa CCM wasiopendwa na Gaidi Kiongozi Samia na familia yake, wanaharakati, wanasiasa hasa wa chama kikuu cha siasa Chadema, viongozi wa dini hasa TEC na baadhi ya KKKT ambao wanasimamia HAKI wanafunguliwa mashitaka ili kuzima harakati zote za kuikomboa Tanganyika dhidi ya uvamizi wa magaidi kutoka Zanzibar. Ndugu Mtangayika, simama kutetea nchi yako. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapomuona au kupata taarifa za Gaidi Shaban Ally Lila. Kutoa kwako taarifa ikiambatana na picha au sauti itasaidia kuweka kumbukumbu zitakazowezesha kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria. Tusiogope! Tutashinda! A luta continua, vitória é certa! Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika! #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
4
13
361
#ChangeTanzania retweeted
TANZANIA | The new vice-president, Deogratius John Ndejembi, does not have the same political support as his predecessor. This is a reality that cannot be ignored for President Hassan, as other heavyweights in the ruling party were vying for the position. ➡️ l.africaintelligence.fr/M28
3
71
2
145
7,421
Susia bidhaa za washirika wa CCM na Samia Acha kuwezesha ukatili
5
33
2
83
3,160
#ChangeTanzania retweeted
‼️Tetemeko la ardhi #Tanzania ‼️ Leo alfajiri kulikuwa na tetemeko la ardhi Kilimatinde huko Manyoni, Singida Na inaonekana si moja yaani ndani ya mwezi tetemeko la ardhi 6! Makubwa! Kuna kitu tunaambiwa! Sijaelewa bado ujumbe ni nini ila si ya kupuuza! 6 earthquakes in 30 days?!
24
67
2
396
28,320
#ChangeTanzania retweeted
Leo #MariaSpaces tunajadili: A luta Continua Kataa Uonevu #FreeTunduLissu Mapambano yanaendelea ila muhimu kusimama imara na kukataa uonevu wa serikali haramu na ya kidhalimu! Kususa nayo ni maandamano! Tutumie mbinu zote Leo saa 2 uck
1
47
1
144
5,905
WHY THE PROPOSED RECONCILIATION PROCESS IN TANZANIA LACKS CREDIBILITY The current reconciliation framework proposed by the Tanzanian government is fundamentally flawed, lacks practical viability, and serves as a barrier to genuine justice and accountability. More than a year after the deadly state crackdown following the contested October 29, 2025 general election—which left over 500 citizens dead according to official figures and hundreds more facing politically motivated treason charges—the administration’s push for a state-led reconciliation commission attempts to bypass accountability rather than deliver it. A CRITICAL ASSESSMENT Reconciliation Without Accountability Is Unviable. Genuine transitional justice requires an independent break from the structures responsible for state violence. Historical benchmarks show that credible reconciliation succeeds only after a fundamental political transition, not while the implicated administration retains unchecked control. Persistent Impunity for October 29, 2025. Over a year later, not a single security official has been prosecuted for the unlawful killings, enforced disappearances, or torture documented by Human Rights Watch and Amnesty International. You cannot credibly preach national healing while key opposition leaders like Tundu Lissu remain criminalized and families are barred from holding public memorials. Elite Co-optation Over Substantive Reform. Closed-door consultations with select political figures—often reduced to meeting allowances and rubber-stamped endorsements—lack substantive debate and cannot replace structural constitutional reform. Exclusion of Victims and the Public. Any process designed from the top down without the direct participation of victims' families, civil society, and ordinary citizens lacks public legitimacy. A Compromised Electoral Environment. Meaningful constitutional referendums or democratic transitions are impossible under an electoral framework that disqualified major opposition candidates in 2025 and continues to restrict political freedoms. Reversing the Burden of Justice. True reconciliation demands state acknowledgment, truth-telling, reparations, and institutional reform. Forcing aggrieved citizens to solicit apologies from perpetrators while state repression continues violates every global standard of justice. HOW GENUINE RECONCILIATION WORKS: 10 HISTORICAL EXAMPLES According to the International Center for Transitional Justice (ICTJ), trusted reconciliation protocols rely on four pillars: Truth-Seeking, Criminal Accountability, Reparations, and Institutional Reform Across history, these 10 countries achieved broad citizen trust and international credibility: 1. South Africa (1996–1998) Mechanism: Truth and Reconciliation Commission (TRC) Why It Gained Trust: Followed the end of Apartheid; featured televised public hearings, conditional amnesty only in exchange for full public truth, and deep moral credibility led by Archbishop Desmond Tutu. 2. Rwanda (1994–2012) Mechanism: Gacaca Courts & ICTR Why It Gained Trust: Combined international prosecutions of top genocide architects with community-level restorative courts that prioritized truth-telling and rebuilding social cohesion after regime change. 3. Argentina (1983–1984) Mechanism: CONADEP (National Commission on the Disappearance of Persons) Why It Gained Trust: Established immediately after the fall of the military junta; its landmark Nunca Más ("Never Again") report led directly to the historic trial and conviction of top military commanders. 4. Chile (1990–2004) Mechanism: Rettig & Valech Commissions Why It Gained Trust: Conducted after Augusto Pinochet stepped down; documented thousands of killings and torture cases, leading to lifelong state pensions for survivors and eventual prosecutions of military officers. 5. Sierra Leone (2002–2004) Mechanism: Truth and Reconciliation Commission & Special Court Why It Gained Trust: Operated alongside a UN-backed war crimes court, ensuring that while community reconciliation took place, top warlords faced strict international justice. 6. Timor-Leste (2002–2005) Mechanism: CAVR (Commission for Reception, Truth and Reconciliation) Why It Gained Trust: Formed after independence from Indonesian occupation; combined grassroots community reconciliation agreements with a rigorous, internationally praised truth report. 7. Peru (2001–2003) Mechanism: Truth and Reconciliation Commission (CVR) Why It Gained Trust: Established after the collapse of Alberto Fujimori’s authoritarian regime; held public hearings across rural regions and laid the groundwork for Fujimori’s conviction for human rights abuses. 8. Germany (1945–1990s) Mechanism: Nuremberg Trials & Post-1989 Stasi Archives Why It Gained Trust: Built global standards for accountability through criminal trials, massive financial reparations, mandatory historical education, and opening secret police files to citizens after the fall of the Berlin Wall. 9. Colombia (2016–Present) Mechanism: Special Jurisdiction for Peace (JEP) & Truth Commission Why It Gained Trust: Created through an internationally verified peace accord; requires perpetrators from both state forces and rebel groups to confess crimes directly to victims to avoid prison sentences. 10. The Gambia (2018–2021) Mechanism: Truth, Reconciliation and Reparations Commission (TRRC) Why It Gained Trust: Launched after the ouster of longtime dictator Yahya Jammeh; broadcast live hearings that exposed state death squads and led to concrete government commitments to prosecute perpetrators. CONCLUSION In every single case, credible reconciliation happened after an authoritarian regime fell, a peace treaty stripped perpetrators of unchecked power, or an independent international body guaranteed protection for victims. Until the Tanzanian administration ends political prosecutions, holds perpetrators of the October 29 violence accountable, and guarantees independent constitutional reform, this strategy represents a grave lapse in judgment and warrants unified public opposition.
🤖 Made with AI
6
7
428
#ChangeTanzania retweeted
‼️HUU NDO MPANGO WA NDULI IDD AMIN MAMA KUPITIA MARIDHIANO FEKI‼️ Nduli Idd Amin Mama na wasaidizi wake ni kama wote wamechanganyikiwa maana kuna upuuzi wanafanya mtu mwenye akili timamu hawezi kuthubutu kufanya. Iko hivi jana kwenye kikao chake cha Maridhiano na tuvyama twa Siasa twa kwenye Briefcase walikubaliana kwamba wataunda Timu ya Maridhiano ambayo itakuwa na watu kuanzia 45. Wamekubaliana kwamba tuvyama tunne ambato wao wanasema ndo tukubwa kidogo tutatoa wajumbe watatu, watatu, halafu tule tudogo tumeambiwa twenyewe tutawakilishwa na Baraza la vyama vya Siasa ambalo litatoa watu 2 ambao wataingia kwenye Team ya Maridhiano, wengine watawatoa kwenye NGO’s, Taasisi mbalimbali ikiwemo za dini ambapo huku kote Nduli atachagua machawa wake na kuwaingiza kwenye hiyo Team ya Maridhiano. Mwisho wa siku hiyo Team ambayo inaitwa ya Maridhiano itakuwa na watu 99.5% ambao wanamuunga mkono Nduli na maujinga yote. Hiyo Team ya Maridhiano kazi kubwa ambayo inaenda kufanya ni kumtengenezea mazingira Nduli Idd Amin Mama ili arudi madarakani kwenye Uchaguzi ujao bila kukutana na kizuizi chochote maana bado anataka aendelee kuwa Rais so kupitia hiyo Team ya Maridhiano anaenda kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu vya Katiba iliyopo maana jana Nduli aliwambia live kwamba yeye hana mpango wa kuleta mchakato wa Katiba Mpya. Nduli anataka kuondoka vifungu vyote ambavyo havitaki kwenye Katiba iliyopo then wataweka vile ambavyo anataka yeye na moja ya kifungu ambacho anataka kuondoa ni kifungu ambacho kinasema kwamba Rais akifa, Makam wa Rais anachukua mikoba na kuendeleza gurudumu. Nduli anahofu sana, muda wote anahisi atauwawa kwasababu yeye keshazoea kuuwa wenzake so anadhan kila mtu ni muuaji kama yeye. Hata kitendo cha kumuondoa Emmanuel Nchimbi, ukiachilia mbali sababu zote tajwa sababu nyingine ni kwamba machawa walimjaza Nduli hofu kwamba Nchimbi anaweza kumuua ili arithi kiti cha uRais haram. Halafu jambo jingine kwenye kikao chao cha jana waliunda Team ya Wazee Wastaafu (machawa wa Nduli) ambao wamewabatiza jina la ‘Reference Group’ ambapo kwenye hili kundi yupo 1. FREEMAN MBOWE 2. Jakaya Kikwete 3. Mzee Karume 4. Hamad Rashid Mohamed 5. Juma Duni Haji 6. Wazee wa CCM wale machawa pro wa Nduli 7. Wengine watatu wataongezwa kulingana na uhitaji Wamekubaliana hao Wazee ndo wasuluhishi yani mfano ikitokea kwenye hiyo Team yao ya Maridhiano kama kukiwa na mgogoro au mkwamo basi watakuwa wanawaita akina Mbowe ili wawakwamue. Wakati hayo yakiendelea Abdul na vibaraka wake wanaendelea kuwapa pesa maccm na tuvyama twa kwenye Briefcase kwenye kila Mkoa ili waendelee kwenda kutoa maoni kwenye Tume ya Jaji Lila na kusema kwamba waliosababisha mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29, 2025 ni Viongozi wa CHADEMA na baadhi ya Wanaharakati.
55
161
8
781
95,970
#ChangeTanzania retweeted
‼️ALERT ‼️ Wiki mbili zilizopita Colletha Ntidyicha alifikishwa Mahakamani na kusomewa kesi ya Ugaidi akiwa pekee yake. Leo kafikishishwa Mahakamani kaunganishwa na watu ambao hata yeye hawajui ni wazi kwamba wapikaji wa hii kesi kuna kitu kinapika na sitashangaa hao watuhumiwa wengine wakiact kama wale mashahidi wa kificho kwenye kesi ya Mhe. Lissu. #FreeCollethaNtidyicha
16
122
2
505
37,867
THE 2 DEVILS WHO ARE DESTROYING TANZANIA BECAUSE OF GREED!!!!!!!!
24
282
3
1,980
43,722
#ChangeTanzania retweeted
KIJANA WA CHADEMA AMJIBU VIKALI CHALAMILA SAKATA LA UWINGI WA MAKANISA, "KUTEKA WATU SI UCHAFU?, KUWABAMBIKIA WATU KESI ZA UHAINI NA UGAIDI NI UCHAFU SI UCHAFU?": youtu.be/eDnBC0DckzU
10
18
1,067
MARIDHIANO AU UPATANISHO HAVIWEZI KUFANIKIWA BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI! Maridhiano au upatanisho wa kweli na wa kudumu hauwezi kufanyika bila kwanza kuwepo kwa Tume Huru, Jumuishi na Yenye Kuaminika ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI. Tume hiyo lazima ijumuishwe na wataalamu wenye uwezo na uadilifu kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na uwakilishi wa wahanga wenyewe, ili ukweli wote kuhusu yaliyotokea uweze kubainika, haki itendeke na uwajibikaji uweze kupatikana. Hatuwezi kwa dhati kufikiria kukaa kwenye meza ya mazungumzo huku wanaharakati, watetezi wa haki za binadamu na wanasiasa wanaosimamia misingi ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI wakiendelea kuwindwa, kutishwa, kuwekwa kizuizini au kubambikiwa makosa yasiyo na dhamana kwa hila bila aibu halafu hao hao wanaofanya unyama huo wanahubiri Nuru katikati ya Giza. Hali inakuwa ya kusikitisha zaidi pale ambapo kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani ndugu Tundu Antipas Lissu kwa Uonevu na ukatili usiomitjilika  anapokuwa gerezani katika mazingira ambayo uhalali na uadilifu wake wa kisheria vinazua maswali mazito. Ni muhimu tuelewe jambo moja na Tuliseme bila kupepesa macho: Mgogoro huu si mgogoro wa vyama vya siasa; ni mgogoro unaohusu haki, utu, usalama na uhai wa RAIA. Kwa hiyo, tuache kujidanganya, kujilisha upepo au kubeza na kupuuza madhila ya wahanga, hususan vifo na mauaji yanayodaiwa kufanyika dhidi ya raia wasio na hatia kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Maumivu ya wahanga hayawezi kufutwa kwa matamko ya kisiasa, wala ukweli hauwezi kufunikwa kwa kauli za maridhiano. Maridhiano si njia ya kufuta makosa, kuficha ukweli, kusamehe bila kujua kilichotokea au kuwapa kinga wale wanaopaswa kuwajibika. Maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya kukiri ukweli, kutambua madhara, kutenda haki, kurejesha utu na kuhakikisha uwajibikaji. Huwezi kujenga amani ya kudumu juu ya misingi ya dhuluma, ukimya na kutokuwajibika UKWELI ndio mwanzo. HAKI ndiyo msingi. UWAJIBIKAJI ndiyo daraja. MARIDHIANO ndiyo matokeo. Kufanya kinyume na utaratibu huu si kujenga maridhiano; ni kudhihaki ufahamu wetu, kupuuza maumivu ya wahanga na kuahirisha mgogoro ambao hatimaye utahitaji kutatuliwa. BAK MWABUKUSI UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA
41
324
3
959
15,138
KWA NINI MCHAKATO WA MARIDHIANO UNAOPENDEKEZWA TANZANIA HAUNA UHALALI Pendekezo la sasa la maridhiano linaloongozwa na serikali ya Tanzania lina kasoro za kimsingi, halitekelezeki kivitendo, na linatumika kama kizuizi cha haki ya kweli na uwajibikaji. Zaidi ya mwaka mmoja baada ya ukandamizaji wa kikatili uliofuatia uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 29, 2025—ambao ulisababisha vifo vya zaidi ya raia 500 kwa mujibu wa takwimu rasmi na mamia wengine kufunguliwa mashtaka ya kisiasa ya uhaini—hatua ya utawala wa sasa kuunda tume ya maridhiano inalenga kukwepa uwajibikaji badala ya kuuleta. TATHMINI YA KINA Maridhiano Bila Uwajibikaji Hayawezekani. Haki ya mpito ya kweli inahitaji kujitenga kisheria na kimuundo na mifumo iliyohusika na ukatili wa dola. Historia inaonyesha kuwa maridhiano yenye kuaminika hufanikiwa baada ya mabadiliko ya kisiasa au kikatiba, si wakati utawala unaotuhumiwa ukiwa bado na mamlaka yasiyodhibitiwa. Kukosekana kwa Uwajibikaji kwa Matukio ya Oktoba 29, 2025. Zaidi ya mwaka mmoja umepita bila ofisa yeyote wa vyombo vya usalama kufikishwa mahakamani kwa mauaji, utekaji nyara, na mateso yaliyoripotiwa na Human Rights Watch na Amnesty International. Huwezi kuhubiri uponyaji wa kitaifa huku viongozi wakuu wa upinzani kama Tundu Lissu wakiendelea kuandamwa na kesi za kisiasa na familia zikizuiwa kufanya kumbukumbu za wapendwa wao. Mazungumzo ya Wateule Wachache Badala ya Mageuzi ya Kweli. Mikutano ya faragha na wanasiasa wachache—ambayo mara nyingi hugubikwa na posho za vikao na maazimio yaliyoandaliwa tayari—haina mijadala huru na haiwezi kuchukua nafasi ya Katiba Mpya. Kuwaweka Kando Wahanga na Wananchi. Mchakato wowote unaopangwa kutoka juu bila ushiriki wa moja kwa moja wa familia za wahanga, asasi za kiraia, na wananchi wa kawaida unakosa uhalali wa umma. Mazingira Mabovu ya Uchaguzi. Kura ya maoni ya haki au mabadiliko ya kidemokrasia hayawezekani chini ya mfumo wa uchaguzi uliowaengua wagombea wakuu wa upinzani mwaka 2025 na unaoendelea kuminya uhuru wa kisiasa. Kupindua Misingi ya Haki. Maridhiano ya kweli yanahitaji serikali kukiri makosa, kusema ukweli, kutoa fidia, na kufanya mageuzi ya kitaasisi. Kuwalazimisha wahanga waombe msamaha kutoka kwa watesi wao huku ukandamizaji ukiendelea ni kinyume na viwango vyote vya kimataifa vya haki. JINSI MARIDHIANO YA KWELI YANAVYOFANYIKA: MIFANO 10 YA KIHISTORIA Kwa mujibu wa Kituo cha Kimataifa cha Haki ya Mpito (ICTJ), michakato ya maridhiano inayoaminika hutegemea nguzo nne: Kutafuta Ukweli, Uwajibikaji wa Kisheria, Fidia, na Mageuzi ya Taasisi. Kihistoria, nchi hizi 10 zilifanikiwa kupata imani ya wananchi na jumuiya ya kimataifa: 1. Afrika Kusini (1996–1998) Mfumo: Tume ya Ukweli na Maridhiano (TRC) Kwa Nini Iliaminika: Iliundwa baada ya kuanguka kwa utawala wa ubaguzi wa rangi (Apartheid); ilifanya vikao vya wazi vilivyorushwa moja kwa moja kwenye runinga, ilitoa msamaha kwa sharti la kusema ukweli wote hadharani, na iliongozwa na Askofu Mkuu Desmond Tutu aliyekuwa na uadilifu mkubwa. 2. Rwanda (1994–2012) Mfumo: Mahakama za Gacaca na Mahakama ya Kimataifa (ICTR) Kwa Nini Iliaminika: Iliunganisha mashtaka ya kimataifa dhidi ya viongozi wakuu wa mauaji ya kimbari na mahakama za kijamii (Gacaca) zilizolenga ukweli na kujenga upya mshikamano wa jamii baada ya mabadiliko ya utawala. 3. Argentina (1983–1984) Mfumo: Tume ya Kitaifa ya Watu Waliopotezwa (CONADEP) Kwa Nini Iliaminika: Iliundwa mara tu baada ya kuanguka kwa utawala wa kijeshi; ripoti yake maarufu ya Nunca Más ("Kamwe Tena") ilipelekea kufunguliwa mashtaka na kufungwa kwa makamanda wakuu wa jeshi. 4. Chile (1990–2004) Mfumo: Tume za Rettig na Valech Kwa Nini Iliaminika: Ziliundwa baada ya dikteta Augusto Pinochet kuondoka madarakani; ziliweka wazi maelfu ya visa vya mauaji na mateso, na kupelekea manusura kulipwa pensheni ya maisha na maofisa wa jeshi kushtakiwa. 5. Sierra Leone (2002–2004) Mfumo: Tume ya Ukweli na Maridhiano na Mahakama Maalum Kwa Nini Iliaminika: Ilifanya kazi sambamba na mahakama ya uhalifu wa kivita iliyoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, kuhakikisha kuwa wakati maridhiano ya kijamii yakifanyika, wababe wa kivita wanakabiliwa na mkono wa sheria. 6. Timor-Leste (2002–2005) Mfumo: Tume ya Mapokezi, Ukweli na Maridhiano (CAVR) Kwa Nini Iliaminika: Iliundwa baada ya nchi kupata uhuru; iliunganisha makubaliano ya maridhiano katika ngazi ya vijiji na ripoti madhubuti ya ukweli iliyosifiwa kimataifa. 7. Peru (2001–2003) Mfumo: Tume ya Ukweli na Maridhiano (CVR) Kwa Nini Iliaminika: Iliundwa baada ya kuanguka kwa utawala wa kimabavu wa Alberto Fujimori; ilisikiliza ushuhuda wa wananchi vijijini na kuweka msingi uliopelekea Fujimori kuhukumiwa kifungo kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. 8. Ujerumani (1945–Miaka ya 1990) Mfumo: Mahakama za Nuremberg na Kufunguliwa kwa Nyaraka za Stasi Kwa Nini Iliaminika: Iliunda viwango vya kimataifa vya uwajibikaji kupitia kesi za jinai, malipo makubwa ya fidia, elimu ya lazima ya historia, na kufungua mafaili ya polisi wa siri kwa wananchi baada ya kuanguka kwa Ukuta wa Berlin. 9. Colombia (2016–Sasa) Mfumo: Mahakama Maalum ya Amani (JEP) na Tume ya Ukweli Kwa Nini Iliaminika: Iliundwa kupitia mkataba wa amani uliosimamiwa kimataifa; inawalazimu wahusika kutoka vyombo vya dola na waasi kukiri makosa yao moja kwa moja mbele ya wahanga ili kuepuka vifungo virefu. 10. Gambia (2018–2021) Mfumo: Tume ya Ukweli, Maridhiano na Fidia (TRRC) Kwa Nini Iliaminika: Ilianzishwa baada ya kuondolewa madarakani kwa dikteta Yahya Jammeh; ilirusha mubashara ushuhuda uliofichua vikosi vya mauaji vya serikali na kupelekea serikali kuahidi kuwashtaki wahusika wote. HITIMISHO Katika kila mfano kati ya hizi 10, maridhiano yenye kuaminika yalifanyika baada ya utawala wa kimabavu kuanguka, mkataba wa amani kupunguza nguvu za watesi, au chombo huru cha kimataifa kudhamini usalama wa wahanga. Hadi serikali ya Tanzania itakapofuta kesi za kisiasa, kuwawajibisha waliohusika na mauaji ya Oktoba 29, na kuruhusu mchakato huru wa Katiba Mpya, mkakati huu ni kosa kubwa la kiuongozi na unapaswa kupingwa na wananchi wote.
🤖 Made with AI
8
12
745
#ChangeTanzania retweeted
Transnational repression is a crime against humanity All those responsible must be held accountable #FreeTwahaMwaipaya
5
86
1
201
10,204
#ChangeTanzania retweeted
Hawa wote watakuja kulipa na kuwajibishwa! Mi hata kuzimu nitaendelea kuwapelekea moto hadi haki ipatikane!✊🏽 Hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma! A luta continua!
Mimi SATIVA ikija kutokea NIMETEKWA KENYA wahusika wakuu ni JESHI LA POLISI LA TANZANIA. Hii Email nilitumiwa mwaka jana 9/11/2025 na dawati maalumu la "Doria mtandaoni" (Crime Desk). Na alietuma Email hii ni AFANDE "ASP JOHN KAAYA" alikuwa shahidi namba 4 kwenye Kesi ya UHAINI YA MH LISSU. Hii taarifa itunzwe kwa wivu mkubwa sana, najua hii nchi itakuja kukombolewa hata kama sitaona ukombozi wake ila hawa watu wanaotupoteza lazima wapate HAKI YAO. CASE CLOSSED.
7
61
302
15,152
#ChangeTanzania retweeted
‼️🚨Gaidi Mwandamizi Namba 10 Mzanzibari "Abdul Halim Hafidh Ameir"‼️ Tunamleta kwenu Abdul Halim Hafidh Ameir (Mzanzibari), Gaidi Mwandamizi Namba 10 na mtoto katili na fedhuli sana wa Gaidi Mkuu Samia Suluhu Hassan. Abdul ni mtu ambaye jina lake limekuwa sawa na hofu, ufisadi, ufiraji na kutokujali. Amekuwa akihusishwa mara kwa mara katika kila kashfa za kutindinganya rasilimali za Tanganyika, ikiwa ni pamoja na mkataba wa kuuza Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World, uchimbaji haramu wa uranium kwa kushirikiana na makampuni ya Urusi, utakatishaji fedha, biashara za mafuta na kula njama na wakala wa Iran Rostam Aziz kwenye kutekeleza maangamizi ya raia. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba, balozi wa zamani wa Tanzania chini Cuba Ndugu Humphrey Polepole aliyetekwa na kupotezwa Oktoba 2025, alimtaja hadharani Abdul kama kiongozi mkuu wa kikosi cha utekaji nyara na mateso ngono cha watawala. Maelfu wakiwepo raia wa nchi jirani wametekwa nyara na kupotezwa kwa maelekezo yake. Ndani na nje ya Tanganyika. Inatambulika wazi kwamba Gaidi Abdul amepewa RASMI mamlaka ya kudhuru raia na Mkuu wa Idara ya Usalama ya Taifa Suleiman Mombo ambae amempatia kitambulisho cha TISS. Ni kitambulisho hiki ndicho kinachotumika kufanya maovu kwani kwa sasa Abdul analindwa na Idara ya Usalama ya Taifa kama mmoja wa wafanyakazi wake. Ndugu Mtangayika, simama kutetea nchi yako. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapomuona au kupata taarifa ya Gaidi Abdul Halim Hafidh Ameir.
Kutoa kwako taarifa ikiambatana na picha ya eneo aliloonekana itasaidia kuweka kumbukumbu zitakazowezesha kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria. Tunawashukuru wazalendo wote waliomo kwenye mfumo wanaoendelea kuunga mkono juhudi hizi kwa kutupatia taarifa na ushirikiano katika kutimiza azma yetu ya kuwapatia stahiki zao wale wote wanaohusika na ulawiti na unajisi wa taifa letu la Tanganyika. Tunaikumbusha familia ya Gaidi Abdul Halim Hafidh Ameir kwamba kila chozi la Mtanganyika litalipwa na familia yake (wazazi, wenza, wakwe, watoto na wajukuu) kwa uzito sahihi na stahiki na wakati muafaka. Tusiogope! Tutashinda! A luta continua, vitória é certa! Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika! #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
9
123
5
526
42,051
#ChangeTanzania retweeted
Tanzania has become such a lawless country. Criminals roam freely and terrorize citizens. @tanpol Wako busy kuhangaika na politicians huku wakiacha majukumu yao makuu ambayo ni Kulinda raia na mali zao. Sio kulinda wahalifu ndani ya @ccm_tanzania na vikagaragosi vyake
3
4
586
#ChangeTanzania retweeted
It has been three weeks - 21 days and we cannot ignore the URGENCY to find Twaha Mwaipaya safe and sound! He was abducted on Kenyan soil and his family and friends live with the pain and fear every day! We need URGENT ACTION #FreeTwahaMwaipaya
7
174
4
388
11,310
#ChangeTanzania retweeted
#FreeTwahaMwaipaya We need Twaha to be freed! #FreeAllPoliticalPrisonersUg #EnforcedDisappearances are crimes against humanity! All responsible have to be held accountable
21 days now since Tanzanian activist Twaha Mwaipaya was abducted in Nairobi. The Kenyan authorities and security agencies deny knowing his whereabouts. In Uganda, four people have been abducted in this week alone! What a @jumuiya! #EndAbductionsEA
There's a new version of this post
4
34
71
5,027
#ChangeTanzania retweeted
Naona mmefanya kwa siri 😁 Hiki kikao batili kwishbey! Haina impact! Mlichodhamiria muioneshe kimataifa imefeli! Mnajitekenya na kucheka wenyewe #SamiaMustGo
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Baraza la Vyama vya Siasa kwenye kikao kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo.
43
82
1
439
47,388