Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda) profile picture
Joined October 2012
Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)Photo by Kisuma Mapunda (@KisumaMapunda)
Ni jukumu letu sote kuzuia ndoa za utotoni. Utakubali binti yako aolewe akiwa na miaka 14?
Replying to @EndCEFM
"Mahakama ya Rufaa imetoa muda wa mwaka mmoja kufanya marekebisho ya vifungu no. 13 na 17 vya Sheria ya Ndoa kwa Serikali, hivyo basi tunaamini Serikali yetu itafanya mabadiliko kwa ajili ya kumlinda mtoto wa kike." @TawlaTZ
1
2
3
Kisuma Mapunda retweeted
Oxfam through UCRT provided four sunflower processing machines to women and youth groups in Hanang district to improve the quality of their sunflower produce and increase their income. Thanks to @oxfamhongkong for funding this project.
3
10
23
Kisuma Mapunda retweeted
Matumizi ya teknolojia ni muhimu katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa wakulima wadogo. Asante Mhe. Dr. @HKigwangalla kutembelea na kuzungumza na wakulima katika maonyesho ya NaneNane2019, Nyakabindi, Simiyu. @TzRedeso
15
32
Keeping it real @common 4 the love of hip hop culture
This. Is. Hip. Hop.
3
Kisuma Mapunda retweeted
Smallholder agriculture remains vital in efforts to achieve poverty and hunger eradication. We are committed to engaging with GoT to ensure that issues of women small scale producers are reflected in the national budget and ultimately improve their access to land,water,seeds, etc
1
15
17
Kisuma Mapunda retweeted
We are joined by our partners #RUDI, #LANGO, #UCRT, @policy_F, @forumcctz, @ANSAFForum, @TzRedeso, @ActionAidT, @msoapomtwara and @PINGOsForum on this critical meeting to better inform our engagement on the agriculture budget processes.
1
13
17
Kisuma Mapunda retweeted
@OxfamTz and Partners are committed to engaging with GoT through Min.of Agriculture to achieve 10% of the national budget in line with the #MaputoProtocol. We are reflecting, learning and strategizing with other Agriculture Coalition Members and key GoT officials in #Dodoma today
1
23
1
21
Kisuma Mapunda retweeted
"The solution to #inequality will come from ordinary people, who are feeling the pain of this rigged economy, demanding justice." - @Winnie_Byanyima with @AnandWrites on how to #FightInequality & #BeatPoverty
1
29
3
42
Imebainika katika kililmo wanaume wanashughulika zaidi na kusafisha shamba shughuli za kulima, kupanda, na kupapalia zinafanywa na wanawake na vijana #ClimateSymposium
1
2
11
"Joto limeongezeka kwa kiwango cha juu, mahindi tuliyolima yamekauka shambani. Viongozi wetu waje kututembelea kama wanavyofanya wakati wa kupiga kura ili kujionea changamoto tunazokutana nazo. Akina mama tumezidiwa Zaidi," Anna Loshoru, @MamaShujaaTz #ClimateSymposium
4
7
Ni lazima tuwajengee uwezo wananchi wetu katika kutambua madhara ya mabadiliko ya tabia nchi. Tuwatambue viongozi wetu wa kimila kwani wana ufahamu mkubwa wa changamoto za tabia nchi na wamekuwa wakitio ushauri mzuri. #ClimateSymposium @OxfamTz
2
6
Kisuma Mapunda retweeted
"Women should be at the centre as we are discussing the effects of climate change today. They are the ones who are more affected by the effects of climate change," Hon. Upendo Peneza, MP addressing #ClimateSymposium @OxfamPanAfrica
13
26
Kisuma Mapunda retweeted
Development policies are meant to transform citizens' livelihood as such they have to know and participate in formulation of these policies. It is high time for them to know these policies including climate change policies. #ClimateSymposium
Tusidhani kwamba bajeti kubwa za mazingira zitaleta mvua ni jukumu letu kwa pamoja kutumia chochote kilicho ndani ya uwezo wetu kukabiliana na athari za tabia nchi #ClimateSymposium @OxfamTz @forumcctz youtube.com/watch?v=Onxxe3RU…
1
3
7
Sasa tuna wakimbizi wanaotokana na mabadiliko ya tabia nchi. Watu wanakimbia maeneo yao ambayo yamekuwa makame sana na yanatishia uhai wa mifugo yao ~ Mh. @JMakamba
8
1
32
Uhaba wa nishati mbadala Kama gesi kusambazwa sehemu kubwa ya nchi yetu imekuwa changamoto kwa wakina mama na kuendelea kukata kuni ambapo athari zake ni kubwa katika tabia nchi ~ | @Jovie65 kutoka @OxfamTz #ClimateSymposium
10
9
Mvua ikichelewa kwa siku 10 tu kwa anayelima mahindi uzalishaji wake unapungua kwa 15%: Mh. @JMakamba kwenye #ClimateSymposium @OxfamTz @forumcctz
1
5
1
10
Kisuma Mapunda retweeted
Mabadiliko ya tabia nchi yanachukua muda kuonekana, wakati mwingine hata vizazi. Tunayoyaona leo yalisababishwa miaka mingi ilopita~Hon @JMakamba #ClimateSymposium
7
11