MtwaraDc (@MtwaraD) profile picture

Mtwara Dc is the perfect area for Investment due to the availability of Percurial Land, Natural gas and Raw Materials

Joined January 2019
Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)Photo by MtwaraDc (@MtwaraD)
#UkaguziUjenziOPDNanguruwe Katibu wa CCM Mkoa Mtwara Alhaji. Saad Kusilawe akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Jengo la OPD katika Kituo cha Afya Nanguruwe, Ziara hiyo imefanyika leo Tarehe 14 Februari, 2019 ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa kukagua Utekelezaji wa Ilani.
4
7
#OPDKituoChaAfyaNanguruwe Muonekano wa Jengo la #OPD kituo cha Afya Nanguruwe ambalo limeundwa na vitengo mbalimbali hadi kumalizika kwake litaongeza Huduma katika kata zaidi ya Nne. #TunaboreshaAfya
1
5
11
#DihimbaKunicha Wananchi Kijiji cha #Dihimba wakiongozwa na Viongozi wabo wakiendelea na Ujenzi wa Chumba cha Darasa Shule ya Msingi Dihimba. Viongozi wa Serikali, Wananchi na Wataalamu wako kazibi kujenga Nchi. #MtwaraDc
1
3
6
Wananchi wa Kata ya Tangazo wakiendelea kujenga Shule ya Sekondari Juhudi Zao zimeungwa mkono na Serikali, Mhe. Hawa Ghasia na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mtwara. #UjenziSekondariTangazo
1
4
#StrongesTeamEver Mtwara Dc yapokea milioni 410 za #P4R kwaajili ya Ujenzi wa Mabweni na madarasa Shule ya Msingi Mitambo, Dihimba na Sekondari ya Kisiwa na Libobe. #ElimuNiUhai @AbdallahChikot1 @hpolepole @INannila @jokateM @sankwa_selemani @JamiiForums @TAMISEMI3
1
3
Kikao cha Baraza la Madiwani Mtwara Dc kikiendelea kwa ajenda ya Kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 Kiasi kilichokadiriwa ni Tzs. 25,410,648,500/=
1
1
Wananchi Msangamkuu waipongeza Serikali kwa kuwapa Huduma ya MajiSafi na Salama #MajiNiUhai
#UmojaNiNguvu Wananchi wa Kata ya Tangazo Mtwara Vijijini wakishirikiana katika Ujenzi wa Sekondari ya Kata, had sasa wamefanikiwa kujenga chumba kimoja cha Sara's... Serikali imeendelea kuwaunga mkono @INannila @AbdallahChikot1
1
1
Shirika la Maendeleo la Patrol Tanzania (TPDC) leo limekabidhi hundi ya Tzs. 13.2 kwa Halmashauri ya Wilaya Mtwara kwaajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu
1
2
5