William Msangi (@WMbogwe) profile picture
Joined December 2018
Photo by William Msangi (@WMbogwe)Photo by William Msangi (@WMbogwe)
William Msangi retweeted
2/2: Thanks to a project funded by @Irish_Aid through @OxfamIreland that supports women in marginalized areas to obtain land ownership certificates. #SayEnough to violence against women and girls. #SemaInatosha
1
17
19
William Msangi retweeted
Kwa kushirikiana #OxfamTz tuliwasafirisha #Waraghabishi 20 #Mtwara kwenda #Kigoma kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzowefu na #Waraghabishi #Kigoma namna gani ya kukabiliana na changamoto,pamoja na kuleta maendeleo chanya ktk sehemu zao wanazoishi #TokomezaUmasikiniMtwara
6
21
40
William Msangi retweeted
Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Geita. Akifugua mkutano wa mrejesho wa waraghbishi ngazi ya Wilaya.Apongeza sana kazi nzuri za Waraghbishi ktk kuongeza kasi ya maendeleo ya jamii na kufanya kazi ya viongozi kuwa nyepesi kwa vile jamii imejengewa uwezo ktk maendeleo@OxfamTz
1
10
10
Ujenzi wa jamii mpya ni sisi wote tukubali mabadiliko tujenge jamii inayoheshimu makundi yote ukatili wa kijinsia tuseme inatosha @oxfam #chukuaHatua – at Shinyanga, Tanzania
10
10
FURSA YA RUZUKU KWA AZAKI OPPORTUNITY FOR FUNDING thefoundation.or.tz
5
16
William Msangi retweeted
mpango wa uchagiaji wa mfuko wa afya (CHF)iliyoboreshwa ni mnzuri sana,kwa @kaya yenye watu sita kiasi cha tsh 30000 kwkwa mwaka,je,katika watumishi wa zahanati za vijijini kuandikiwa kipimo tu,dawa needa dukani kanunueserikali hamlioni hilo?#ChukuaHatua @TZMsemajiMkuu @OxfamTz
3
6
Kweli kabisa,, Elimu ni urithi usionyang'anyika
Ni wajibu wangu kujuwa haki ya mtoto na pia naelewa umuhimu wa elimu kwani najuwa hata mzaz ukiwa na majumba 10 na magar 3 ukifa ukamuachia mtoto bila elimu hayamsaidii kitu kwani ulidhi wa mtoto ni elimu @mohamed_mkulima @msoapomtwara @Kajuli_JSK
2
6
Changamoto ya maji safi katika jamii ni kubwa katika wilaya mbogwe mkoa geita haya ni maji ya kunywa #chukuahatua – at Dar es Salaam, Tanzania
1
13
3
38
Fact!
Replying to @MwanzoTvPlus
Ila ifike sehemu tusimamie ukweli, siasa tuweke pembeni. Ukweli ukisemwa, tusijaji kwa kuangalia umesmwa na nan, anatoka chama gan. Kusimamia jambo kwa kuangalia upande uliopo, kuna madhara makubwa sana.
Tatizo hili la jamii kutonufaika na tozo za minara limekuwa ni sugu wilaya ya mbogwe!!#chukuaHatua #billmarwa #oxfamtanzania
#TIGO TZ huu mnara uko ktk kata iponya wilaya ya mbogwe mkoa Geita haupo mkataba wowote unaoonyesha kuwa kijiji kitanufaika na kipato kinachopatikana na mnara huu@mbarawaM shelia inasemaje kwa vitu kama hivi wazili wa zamana hii@ oxfamTz@billmarwa@ kefarmbogela
2
3
5
Unataka kusema jinsi Me ni kundi lililosahaulika!!
Tunapo zungumzia unyanyasaji wakijinzia hasa jinsia,ke kweli hawana haki.je baazi ya wanaume wapo wananyanyaswa na jinsia ya ke,wao wako upande gani?naomba kusaidiwa.@umwalimu #chukuaHatua@oxfamTz.
1
3
3
Ni jukumu la serikali ya kijiji kwa kushirikiana na wananchi(kamati za wananchi) kuona kwanini umeme umeshindwa kuingia kwenye sekondari yao na wakati moja ya sehemu lengwa ni mashuleni!
Ni Jambo jema kwa TANESCO kuyaangaza Maisha ya Watanzania hususani Masikini hasa Vijijini ila Kunabaadhi ya Taasisi za Serikali Zimekosa huduma hii Mf.Kanegere sekondali iliyopo Mbogwe,Geita licha ya Umeme kupita ktk Kijiji iliyopo Shule hii na Kwenda kata Nyingine @tanescoyetu
3
Hiki ni choo cha majengo ya shule tarajali ya sekondari ya kata ya Isebya,Wilaya ya Mbogwe, Mkoa wa Geita yanayotekea bila juhudi zozote za wenye dhamana kuokoa nguvu hizi za wananchi!! #chukuahatua #oxfamtazania #rmabara
2
4
Ni jukumu la serikali kuunga mkono juhudi za wananchi,, vyooo vya majengo haya vimeota vichuguu na jengo la maabara lipo katika hali mbaya sana!!
Ni miongoni mwa shule za Sekondari 3 ktk wilaya ya Mbogwe ambazo hazijafunguliwa.Lakini wanafunzi wanasomea mbali sana Watoto wakike wanachangamoto ya mimba na kukatishwa masomo.kulingana na mazingira zifunguliwe #ChukuaHatua @JoyceNdalichako
2
2
Safiii sana na hongereni!!
Waraghabishi wa #Kibondo Kutoka Shirika ra #Oxfam kupitia Mradi wa Utawara bora na uwajibikaji Tukiwa tumekusanyika kujadiriana Changamoto Zinazo tukabiri sisi Wenyewe najamii yote Kwapamoja. Shukurani ziende kwa #Oxfam #ChukuaHatua #KwanzaHabari #Oxfam
3
6
Maendeleo ya kweli na ufumbuzi wa kweli wa matatizo ya jamii zetu huletwa na jamii zenyewe, kinachotakiwa ni kuchochea kuni tuu katika moto wa fikra zao!!! xitter.cf/KaseloPetro/status/107…
2
Demokrasia sio vita, Vyama pinzani ni warekebisha na washauri wa serikali kwa mambo yote katika nchi!
Picha bora ya kufungia mwaka. Demokrasia Tanzania LAZIMA IREJESHWE kwa by hooks and crooks.. Tanzania deserves the best democratic air. NO MJADALA. Asanteni Viongozi wetu. Na sisi kwa nafasi zetu tupaze sauti bila woga kwa ajili ya uhai wa Tanzania yetu. Team #KaziNaBata 🔥🔥
2
3
William Msangi retweeted
Huo ni mradi wa miti aina ya mikalibea iliyopandwa na wanufaikaji wa TASAF katika kijiji cha Nsango wilaya @OxfamTz
1
5
10
Dunia iwe sehemu salama kwa binadamu wote,, asili ya dunia ni Edeni hivyo ni jukumu letu kuifanya iwe Edeni kwa jinsi zote,,, tupinge ukatili wa kijinsia kwa vitendo!!
Kila mtu anahaki sawa muda wa unyanyasaji wa kijinsia umetosha sasa ni muda stahiki wa kutokomeza unyanyasaji Mimi nawewe tushirkiane tuungane kwa pamoja kutibu tatizo hili "sasa imetosha" #CHUKUWAHATUA @Oxfam @billmarwa @KefarMbogela @TZMSEMAJIMKUU
2
3
Safiii sana Mraghbishi!! Hayo ndio maendeleo tunayoyataka kutoka kwa wananchi!!
Hilo ni jengo la shule ya msingi isenengeja iliyoko kata ya Ngemo wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita. ambalo limepauliwa leo lenye vyumba vitatu vya madarasa. Mabati,mbao na misumali ilitolewa na Geita Gold mining #ChukuaHatua.GGM hongera vifaa hivyo.
5
8