Hapo ni kweli lakini wapo wanao abudiwa ambapo haistahili wamesahau kabisa neno linalosema amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadam kuwa kinga yake
Kila binadamu anahaki ya kuheshimika lakini sio kuabudika. #KSK
1
Hivi Kwanini madaktar walio wengi wana maduka yao pembeni? Mimi naona madaktar wanaofungua maduka ya dawa za binadam wapigwe marufuku kuna udanganyifu ndani yake #CHUKUWAHATUA @Oxfam @TZMSEMAJIMKUU @MagufuliJp @Umwalimu
1
Mungu awe msaada wake
Leo ni siku maalumu; Daktari kijana mwenzetu Anord anafanyiwa upasuaji wa kupandikiza figo (renal transplant) ktk hospitali ya taifa MUHIMBILI. Tunatoa shukrani za dhati kwa wote waliofanikisha hili. Tuzid kumweka ktk maombi @JMakamba @moodewji @HKigwangalla @MwanaFA @umwalimu
1
Tamko la serikali lilikuwa na nguvu sana kufikia mwezi wa kumi 2018 kila kijiji kiwe na zahanati mwitikio wa wananchi ndio huo majengo yamesubili kupauliwa tunaomba ilione hili huduma ipatikane kalibu #CHUKUWAHATUA @Oxfam @Umwalimu @TZMSEMAJIMKUU @MagufuliJp
wanachi kuwa namwitikio wamkutano tarehe 16/1/2019isungabula mbogwe Geita wakitaka kujua mwisho wa majengo yao kupauliwa lini? kwani kila kijiji zahanati wamejenga kilio yapauliwe #chkuaHatua @TZMsemajiMkuu
2
Azabu za namna hii hazistahili naomba walimu wanao towa azabu kali namna hii wawewanachunguzwa yawezekana hata bangi wanatumia na akibainika niheli atumbuliwe ataumiza watoto #CHUKUWAHATUA @Oxfam @JoyceNdalichako @billmarwa @KefarMbogela
Mh:@JoyceNdalichako hii ni sheria kweli mwanafunzi anapigwa na mwalimu mpaka anavimbishwa jicho na kumkosesha masomo yake #ChukuaHatua juu ya changomoto hii, huyu ni mwanafunzi wa s/sekondari nanguruwe mtwara(v) @majaliwa_kassim @HakiElimu @mohamed_mkulima @MagufuliJP
Kwapamoja uraghabishi umekuwa ni kioo kwa jamii tuendelee kupaza sauti kuijengea uwezo jamii yetu #CHUKUWAHATUA @Oxfam @billmarwa @KefarMbogela
MBODANET Tumekuwa na kikoa cha Waraghbishi wote tunaotekeleza Mradi wa Digitali Mbogwe. Kujadili changamoto na Mafanikio ya Jamii.kazi ni nzuri na yapo mabadiliko chanya ktk Maendeleo ya Jamii #ChukuaHatua @OxfamTz @MabalaMakengeza @TZMsemajiMkuu
Huduma hiyo ni yamhimu kwa maswala ya afya tunaomba utekelezaji #CHUKUWAHATUA @Oxfam @umwalimu
#chukuahatua nilienda hospitari ya mkoa #ligula upande wa wazazi wanaoenda kujifungua,kuhusu wauguzi kunachangamoto nyingi ikiwemo la vyoo cha wauguzi, daaah #inasikitisha tunaomba mtujengee choo jamani @umwalimu @TZMsemajiMkuu @mohamed_mkulima @billmarwa
Jeshi la ulinzi linatakiwa kuongeza kasi
Jamii wilayani #kibondo mkowa #kigoma kwasasa amani imetoweka kwaajili ya #ujambazi umekidhili inapelekea mpaka tunashindwa kufika kwenye shuguli za shamba vijiji vyote vinavyo zungukwa na kambi ya #Nduta hakuna amani @kangilugola @TZMsemajiMkuu @MagufuliJP #chukuahatua
Mbogwe mkoa wa geita swala la Afya limepewa kipaombele mwananchi kahamasika sana kujenga zahanati naomba serikali iwape sapoti wananchi mapema juu ya kupauwa majengo hayo #ChukuwaHatua @Oxfam @Umwalimu @KefarMbogela @billmarwa @MagufuliJP @majaliwa_kassim
Ni baazi ya kinamama wa kijiji cha kisumo kata ya nanda mbogwe geita wanaunga mkono swala la kupiga vita mfumo dume unyanyasaji wa kijinsia kwani mfumo huo uliwafanya kukosa amani #CHUKUWAHATUA @Oxfam @KefarMbogela @billmarwa @MagufuliJP @kassim_majaliwa
2
Katika swala hili lazima tuendelee kulipiga vita Imetosha kuona unyanyasaji wa kijinsia #CHUKUWAHATUA @Oxfam
Tuungane kupinga mfumo dume na mila kandamizi. #SemaInatosha kwa ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. #SayEnough
kwa kupitia mfumo wa uraghabishi imewalahisishia sana viongozi wa serikali ktk utendaji kazi pia changamoto nyingi zinazo fanya maendeleo yakwame zinatatuliwa na waraghabishi maendeleo yanasonga mbele #CHUKUWAHATUA @Oxfam @billmarwa @KefarMbogela
Ni Mkuu wa Wilaya ya Mbongwe Akiingia kwenye ukumbi wa mkutano ulioandaliwa na Waraghbishi Mbogwe.kuhusu maendeleo ya Jamii.umehusisha Viongozi ngazi mbalimbali na wananchi ktk kuunganisha nguvu ktk kuleta maendeleo kuwa kuzingatia kuwa Umoja ni nguvu
Inashangaza shule zinapo funguliwa walimu wengine wanaongezea muda wao wa kulipoti shuleni hatuoni huo ni upotevu wa vipindi hiyo hali haitufurahishi jamii kwa ujumla tubadilike watumishi #CHUKUWAHATUA @Oxfam @JoyceNdalichako @billmarwa @KefarMbogela
1
Naungana nawewe kweli tunaona kazi yake alivyo sema hapa kazi tu ni kweli mungu azidi kumjalia katika uongozi wake
Uthubutu wa Rais Magufuli ni wa dunia nyingine. Utake usitake, umpende umchukie, kazi yake utaikubali tu! Tulihitaji Rais wa aina hii kwa wakati huu, Mungu ametupa! Alhamdulillah 🙏🏿. Unaweza ukasema Kigwangalla Waziri anajikomba, sawa tu! Povu ruksa! 😂#TanzaniaUnforgettable
wanafunzi wengi wanashindwa kuendelea na masomo kwa kutazamia waliomaliza shule wengine hawajaajiliwa naomba unaposoma neno ajila lisikusumbuwe soma kwa bidii ajila ikipatikana sawa ispopatikana unajiajili elimu unayo #CHUKUWAHATUA @Oxfam @JoyceNdalichako
Na sisi huku mbogwe tunaomba vifaa hivyo vitufikie hadi shule ya msingi kisumo
Vifaa vya shule vilivyotewa kwa Mwaka 2019, watoto 284 wa Shule ya Msingi Msinune kila mmoja kapata begi la shule, kalamu za wino 50 , kalamu za risasi 50 na vifutio vitakidhi mahitaji yao kielimu kwa mwaka huku wazazi wakitimiza mahitaji mengine yaliyobaki.
#FMFBackToSchool2019
Nitatizo kubwa kweli inatakiwa usalama uwepo ili kuzibiti hali ya ujambazi huo ili raia waishi kwa amani jeshi la ulinzi lipo nijukumu lao kuhakikisha usalama upo
Swara la #ujambazi ktk vijiji vinavyo zungukwa na kambi ya #Nduta #Kibondo #kigoma viongoz mliangalie kwa jicho la tatu lasivyo wananchi rutaendelea kubakwa tukienda mashambani na kukatwa mapanga kila kukicha @atashasta @TZMsemajiMkuu @MagufuliJP @zittokabwe #chukuahatua



























