Wazazi wa shule ya msingi Buzigula wilaya ya mbogwe wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kikao cha uboreshaji wa taaluma @billmarwa
Muluri Wanjara retweeted
Eti wazee wapige kura, vijana mlale tu na kujirusha, halafu wapate mamlaka kutoka wapi ?
Replying to @MabalaMakengeza
"The new world cant emerge with old votes" asante Mwalimu, vijana mmesikia? Mnapotaka dunia yenu ni lazima kupigania, go vote and you will have powers to hold your governments to account!
Muluri Wanjara retweeted
Mkuu wa mkoa Geita ktk ziara ya kuweka Jiwe la msingi ktk kijiji cha Shenda.Hatua ya kwanza kuingia watu wote kunawa mikono kwa kwa maji Tiririka ili kujikinga na Corona.Fundisho kwa watu wote kuchukua Hatua @wizara_afyatz @umwalimu
Mraghabishi muluri Wanjara akiwa kwenye shamba lake la mpunga kwa ajili ya maandalizi ya uvunaji wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita @billmarwa @KefarMbogela @kazikwanza #ChukuaHatua
Mkuu wa wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita akiwa kwenye mgodi wa wachimbaji wadogo wadogo nyakafulu akitoa Elimu juu ya kujikinga na ugonjwa wa corona @billmarwa @KefarMbogela #ChukuaHatua
1
1
Muluri Wanjara retweeted
🏴🇸🇪🇩🇰🇮🇪🏴🏴🇬🇧🇵🇱🇨🇦🇫🇷🇷🇺🇲🇸🇳🇴🇯🇲🇳🇱🇮🇱🇨🇿🇹🇹🇿🇼🇺🇸🇮🇸🇭🇺🇪🇸🇦🇺🇰🇳🇲🇰🇧🇬🇩🇪🇳🇬🇲🇹🇨🇾🇿🇦🇷🇴🇨🇭🇧🇪🇬🇭🇺🇾🇿🇲🇳🇿🇷🇸🇫🇮🇬🇪🇧🇷🇧🇴🇮🇹🇧🇧🇵🇹🇨🇴🇭🇷🇬🇷🇹🇷🇸🇳🇺🇦🇸🇰🇨🇷🇪🇪🇬🇾🇧🇲🇸🇮🇱🇷🇦🇹🇩🇿🇬🇮🇦🇷🇵🇪🇨🇱🇨🇮🇲🇦🇨🇲🇬🇳🇧🇦🇱🇻🇨🇩🇵🇾🇲🇱🇭🇳🇮🇷🇱🇹🇸🇨🇪🇨🇨🇳🇯🇵🇬🇩🇹🇬🇵🇰🇹🇳🇦🇬🇪🇬🇰🇷🇧🇾🇲🇽🇸🇱🇨🇬🇬🇵🇴🇲🇬🇦🇦🇴🇨🇻🇨🇼🇦🇱🇨🇫🇫🇴🇧🇯🇲🇪🇧🇮🇰🇪🇻🇪🇬🇼🇲🇶🇬🇲🇬🇶🇧🇫🇽🇰🇦🇲🇵🇭🇨🇺
Up next, Tanzania: preml.ge/vvrck #PL
Muluri Wanjara retweeted
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kamila Labani (anayezungumza) akiambatana na askari wa Jeshi hilo, wamefanikiwa kuifikisha bendera ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro katika kusheherekea Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri. – at Dodoma, Tanzania
Muluri Wanjara retweeted
Kwauamuzi huu wanna.mbogwe.hongereni Sana namuomba waziri mwenye.dhamana.akione.kikundi .hiki waraghabishi kuwasaitia miti kwaajili yaupandaji@chukuahatua@chwenegbs@bilimalwa.
Vyumba viwili vya madarasa shule ya msingi Buzigula kata ya Ushirika wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita vimeisha kamilika vitaanza kutumika januari 2020 @billmarwa @KefarMbogela @JoyceNdalichako @ndalichakojoyce #ChukuaHatua
Muluri Wanjara retweeted
Ujenzi wa vivuko viwili vilivyogharimu shilingi za Kitanzania Bilioni 7.3 vitakavyotoa huduma kati ya Bugorola-Ukara na Chato Mharamba-Nkome Umefikia hatua nzuri.
Vitakamilika #Feb2020 .
#tumeamua🇹🇿 #2020 #Tunatekeleza2019
#kwaheritunatekeleza2019
Muluri Wanjara retweeted
Shirika la LANGO limesaidia kutoa Mbuzi kwa vikundi saba vya wanawake na vijana vilivyopo katika kata ya Mbanja na Mchinga ambavyo vipo kwenye mradi wa "Kuimarisha Usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake na Vijana Kiuchumi" @AdellaAm @JacqueMlay
Muluri Wanjara retweeted
Mlima Kilimanjaro, 5,895M - Paa la Afrika.. #KwetuPazuri
Wanafunzi wa masumbwe shule ya msingi wakishirikiana na waraghbishi na uongozi wa wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita kwa ajili ya upandaji wa miti @billmarwa @chawenegbs #ChukuaHatua @KefarMbogela @MagufuliJP @OxfamTz lengo kwenda na kasi ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
2
Zoezi la upandaji wa miti limefanyika masumbwe shule ya msingi wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita na wadau wa mazingira ambao ni waraghbishi @billmarwa @KefarMbogela @chawenegbs #ChukuaHatua @OxfamTz
2
Uzinduzi wa upandaji wa miti uliofanywa na waraghbishi wa wilaya ya mbogwe kwa kushirikiana na mkurugenzi wa wilaya, mbunge wa Jimbo la mbogwe pamoja na manager wa NMB mbogwe.Lengo ni kuepuka mabadiliko ya tabia ya nchi @billmarwa @chawenegbs #ChukuaHatua.
Wahusika wachukue hatua
Hii ni hali ya #Dampo ambalo lipo ktk kijiji cha #kitahana w #kibondo kwa asilimia 80% ni uchafu mtupu, tuombe wahusika, mabwana Afya wa kata, na wilaya muweze kuliona hili ili kusafisha mazingira #chukuahatua @HudumaZaAfya @wizara_afyatz @ruhotola @kitilam #mazingirasafi
Ukamilishaji wa vyumba viwili vya madarasa shule ya msingi Buzigula kata ya Ushirika wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita zoezi linaendelea @billmarwa @kefarMbogela #ChukuaHatua



























