Zao la Pamba uzalilishaji wake unaweza kushuka sababu wanunuzi wa zao hili wanakaa kupanga bei yachini bila kuangalia gharama anayotumia mkulima
Ni picha ya wajumbe waserikali ya kijiji cha msendamila kata ya llolangulu wilaya mbogwe akieleza changamoto mbalimbali nakuiomba serikali ipauwe jengo la zahanati ili kusogeza huduma ya Afya @Oxfam @umwalimu #chukuaHatua
Korona ni janga la kimataifa wapendwa wote tufuate agizo la Serikali kila mmoja ajisimamie kulinda Afya yake – at Shinyanga, Tanzania
Hapa barabara nyingi zimejaa maji mawasiliano ni changamoto kubwa kwa za mwaka huu – at Shinyanga, Tanzania
Mvua zinazoendelea kunyesha barabara nyingi zimejaa maji mawasiliano ya kijiji na kijiji ni changamoto kubwa
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu barabara hata madaraja hayaonekani hii ni Barabara inayounganisha kijiji cha Nyang'hwale na kata ya nanda wilaya mbogwe mkoa geita – at Shinyanga, Tanzania
Madiliko ya Tabia ya nchi yanaweza kusababisha hata ukame hali hili hujitokeza ktk kjiji cha nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe tunaiomba serikali kutuchimbia kisima kirefu @oxfam @mjallwa #chukuaHatua
Hili ni jengo la vyumba viwili vya madarasa pamoja na ofisi moja ya mwlimu ktk s/msingi Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe ambalo linajengwa kwa nguvu za wananchi ujenzi unaendelea @Oxfam #chukuaHatua – at Shinyanga, Tanzania
Ubaguzi wa kijinsia ni hatua ambazo zinawaathiri wanawake kutokana namfumo Dume ambao umejengeka ktk jamii zetu tunahitaji mabadiliko mwaka 2020 tupige hatua kunga ukatili @Oxfam #chukuaHatua
Waragabishi wa Wilaya ya mbogwe wakiwa pamoja na Viongozi wa Wilaya ya mbogwe baada ya kumaliza kuzindua Upandaji wa miti ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi ya kuharibu mazingira kutokana na shuguli za Binadamu
Panda miti ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi ukataji wa miti holela unaharibu Mazingira na kusababisha ukame na ukame huleta umasikini @Oxfam #chukuaHatua – at Shinyanga, Tanzania
1
Daraja jipya la mbao limejengwa na wananchi kati ya kiseke na kijiji cha kagera Wilaya ya mbogwe baada ya mvua kubomoa madaraja tunaiomba Tarura kuwajengea makarabati @Oxfam #chukuaHatua
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu zao la mahindi Ardhi imepoteza Rutuba mashamba mengi yanahali hili katika kijiji cha Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe Wananchi wachukuwe Tahadhari mapema njaa ipo @Oxfam #chukuaHatua – at Dar es Salaam, Tanzania
1
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu barabara inayounganisha kata ya nanda na kijiji cha Nyang'hwale tunaiomba Tarura kuweka madaraja kwani barabara ni kichocheo cha maendeleo ya miradi ya wananchi @Oxfam #chukuahatua
Tunaupokea mwaka mpya 2020 tuseme inatosha ukatili na unyanyasaji kijinsia ktk jamii tunahitaji mabadiliko Tujenge jamii inayothamini watoto wakike wasome shule
Mw/mkuu wa shule ya Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe wakiwa pamoja na viongozi wa Jumuiya ya wazazi,Nyang'hwale wakijadili changamoto mbalimbali za shule Shule inawanafunzi 619 inawalimu 6 wanaiomba serikali kuongeza Walimu @oxfam @JoyceNdalichako #chukuaHatua
Nikikao cha wakulima wazao la pamba kijiji cha Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe wakilalamika kutonunuliwa pamba yao tangu mwezi wa saba mpaka leo wanaiomba serikali kufuatilia suala hili ili makampuni waje kununua pamba hiyo @Oxfam #chukuaHatua #majaliwa kasim
Nikikao cha wakulima wazao la pamba kijiji cha Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe wanalalamika kutonunuliwa pamba yao tangu mwezi wa saba mpaka leo wanaiomba serikali kufuatilia suala hili ili makampuni waje kununua pamba hiyo @oxfam #chukuaHatua majawa kasim – at Shinyanga, Tanzania













