William Msangi retweeted
2/2: Thanks to a project funded by @Irish_Aid through @OxfamIreland that supports women in marginalized areas to obtain land ownership certificates. #SayEnough to violence against women and girls. #SemaInatosha
William Msangi retweeted
Kwa kushirikiana #OxfamTz tuliwasafirisha #Waraghabishi 20 #Mtwara kwenda #Kigoma kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzowefu na #Waraghabishi #Kigoma namna gani ya kukabiliana na changamoto,pamoja na kuleta maendeleo chanya ktk sehemu zao wanazoishi
#TokomezaUmasikiniMtwara
William Msangi retweeted
Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Geita. Akifugua mkutano wa mrejesho wa waraghbishi ngazi ya Wilaya.Apongeza sana kazi nzuri za Waraghbishi ktk kuongeza kasi ya maendeleo ya jamii na kufanya kazi ya viongozi kuwa nyepesi kwa vile jamii imejengewa uwezo ktk maendeleo@OxfamTz
William Msangi retweeted
Ujenzi wa jamii mpya ni sisi wote tukubali mabadiliko tujenge jamii inayoheshimu makundi yote ukatili wa kijinsia tuseme inatosha @oxfam #chukuaHatua – at Shinyanga, Tanzania
William Msangi retweeted
FURSA YA RUZUKU KWA AZAKI
OPPORTUNITY FOR FUNDING
thefoundation.or.tz
William Msangi retweeted
mpango wa uchagiaji wa mfuko wa afya (CHF)iliyoboreshwa ni mnzuri sana,kwa @kaya yenye watu sita kiasi cha tsh 30000 kwkwa mwaka,je,katika watumishi wa zahanati za vijijini kuandikiwa kipimo tu,dawa needa dukani kanunueserikali hamlioni hilo?#ChukuaHatua @TZMsemajiMkuu @OxfamTz
William Msangi retweeted
Changamoto ya maji safi katika jamii ni kubwa katika wilaya mbogwe mkoa geita haya ni maji ya kunywa #chukuahatua – at Dar es Salaam, Tanzania
William Msangi retweeted
Huo ni mradi wa miti aina ya mikalibea iliyopandwa na wanufaikaji wa TASAF katika kijiji cha Nsango wilaya @OxfamTz
William Msangi retweeted
Wananchi Kijiji cha Kabanga kata ya Nhomolwa Mkoani GEITA Wanalazimika kutembea Zaidi ya 16 Km Kwenda Kupata Matibabu, ZAHANATI iliyoanzishwa kwa Nguvu za Wananchi haijakamilika Tangu 2013 Wizara na Serikali Wajibikeni kutatua kero hii Wanawake na Watoto wanateseka #ChukuaHatua
William Msangi retweeted
Natambua na kupongeza kazi inayofanywa na serikali katika kuboresha Afya. Lakin tatizo la ukosefu wa dawa katika vituo vya Afya litaisha lin?Mfano hospitali ya wilaya ya Mbogwe Geita, swala la kuambiwa hakuna dawa ukienda kupata matibabu ni kitu cha kawaida sana. #ChukuaHatua
William Msangi retweeted
My week on Twitter 🎉: 593 Mentions, 123K Mention Reach, 3.65K Likes, 371 Retweets, 520 New Followers. See yours with sumall.com/performancetweet?…
William Msangi retweeted
Kikao cha mradi wa maji shenda masumbwe juu yauendeshaji mtendaji wa kata ya masumbwe pamoja na maijinia wa maji wilaya mbogwe wakiweka utaratibu wa kuendesha mradi huu kilakitakashofanyika kipitie kwa mtendaji wa kata vikao kufuta pesa beck nauendeshaji mzima chukua hatua oxfam – at Shinyanga, Tanzania
William Msangi retweeted
Ukifanya kazi lazima uwe na malengo leo tarehe 11/12/2018 waraghabishi wa kijiji cha mngoji wakiwa na viongozi wao kutoka @OXFAM kwa maana ya kuja kufanya tadhimini na kujua maendeleo yaliyo fanyika kwa mwaka./2018/19 @billmarwa @KefarMbogela @Mkamitimgawe @mohamed_mkulima
William Msangi retweeted
"Kumekuwepo na tatizo la kubambikizia watu kodi kupitia mfumo wa kukadiria kodi. Mtu ana biashara ndogo, anakadiriwa kodi kubwa, mwisho wa siku mtu anafunga biashara yake, sasa hapo TRA mmepata faida au hasara? Wengine hufunga biashara na kwenda kufungua upya."- Rais Dkt Magufuli


























