KISIWA CHA AMANI:
Hata kama kuna Kesi za βUHAINIβ zinaendelea kufunguliwa MAHAKAMANI π, lakini Tanzania bado ni KISIWA CHA AMANI kwa kuwa ipo SALAMA. Kama AFCON na WATALII hawatakuja kwa sababu ya βUHAINIβ, basi huo ni UWOGA wao tu. π₯²π₯²
UKAMATAJI USIOFUATA SHERIA:
Ukamataji Usiofuata SHERIA ni MSIBA katika nchi inayofuata UTAWALA WA SHERIA. Ni muhimu sana ZAKARIA OBADI atendewe HAKI bila kujali ITIKADI yake ya Kisiasa. HAKI HUINUA TAIFA.
ELIMU YA MAADILI YA MAWAKILI:
Chonde, chonde jamani, tarehe 27 Oktoba 2026 MSIKOSE KUFIKA Mahakama ya Rufani ya Tanzania-Dar es Salaam kwa ajili ya kupata ELIMU YA MAADILI YA MAWAKILI. Si WAMEYATAKA WENYEWE?πππ
UAMUZI WA BUSARA:
Huo π unabaki kuwa moja ya UAMUZI WA BUSARA ambao Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amewahi kufanya, kwa kutumia MAMLAKA yake.
BISWALO:
βMheshimiwa Rais, USHAHIDI wote huu hapa, namna PETER MADELEKA na MKE wake WALIVYOTENGENEZA VIZA FEKIβ.πππ
TAARIFA KWA UMMA:
Tarehe 27 Oktoba 2026 nitakuwa MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA- DAR ES SALAAM, kwa ajili ya KUFUNDISHA ELIMU YA MAADILI kwa KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI. Nataka TUHESHIMIANE bila SHURUTI π
KAMATI YA MAADILI KUKAMATWA NA POLISI:
Kuna uwezekano mkubwa wa Kamati ya Maadili ya Mawakili, KUKAMATWA NA POLISI KWA KUDHARAU MAHAKAMA. Kama Kamati HAIJUI hilo, basi, IMUULIZE Peter Madeleka ambaye ANA KESI YA KUDHARAU MAHAKAMA.ππ
INASHANGAZA SANA:
Yaani, Kesi ilipangwa KUSIKILIZWA kwa njia ya MDOMO (Oral Hearing) leo tarehe 19 Oktoba 2026. Upande wa Jamhuri WAMECHELEWA kufika MAHAKAMANI. Baada ya MAWAKILI WA SERIKALI WATATU kufika, Mheshimiwa JAJI akatoa AMRI kwamba; KESI ISIKILIZWE KWA MAANDISHI.ππ
Kesi ilipangwa kuanza SAA MBILI KAMILI. Kesi tayari IMEITWA, jamaa HAWAPO. Mahakama inaendelea KUWASUBIRI.ππ











