Manzese kwa Mfuga Mbwa
Joined June 2026
Watanzania hali ni tete. Pole sana @TunduALissu
232
573
26
3,048
203,379
Leo ndio nimeamini UVCCM ni mazero brain. Why kwenye majibu yao waruke hili la frem za Mbagala (Video ya frem nimeambatanisha kwenye hii clip).
36
189
2
1,401
84,034
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Sema ni nyege na uvivu wa kufua na kupika ila wanawake wa sasa hawapaswi kuolewa
19
37
4
273
12,205
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Asante sana @EPPGroup Tundu Lissu anastahili hii Sakharov Prize 🙏🏽 #FreeTunduLissu REPOST 200.
4
241
1
844
10,992
Nyarugabo Byangamuro retweeted
This Mentality is Everythiiiiiiiiiiiiiiiing.
219
5,086
144
45,478
579,131
Nyarugabo Byangamuro retweeted
MAKONDA NA SAMIA WAONE UJUMBE HUU! Mwambieni Mhe. Paul Makonda kuwa Serikali zote duniani hukosolewa na watu maarufu tu. Umaarufu wa Musa ulitokana na kumkosoa Farao na serikali yake. Umaarufu wa Samueli ulitokana na kumkosoa Sauli na serikali yake. Umaarufu wa Nathan ulitokana na kumkosoa Daudi na serikali yake. Mwambieni Mhe. Makonda kuwa umaarufu wa nabii Isaya ulitokana na kumkosoa Hezekia na serikali yake. Umaarufu wa Eliya na Mikaya pia ulitokana na kumkosoa Ahabu na serikali yake. Umaarufu wa Danieli ulitokana na kuwakosoa Nebukadneza na Serikali yake na Belishaza na Serikali yake. Mwambieni Mhe. Makonda kuwa umaarufu wa Yuda wa Makabayo ulitokana na kukosoa falme za Kigiriki. Umaarufu wa Yohana Mbatizaji pia ulitokana na kumkosoa Mfalme Herode na Serikali yake. Muelewesheni Mhe. Makonda kuwa umaarufu wa watakatifu wengi wanaokumbukwa leo pia ulitokana na kuwakosoa wafalme wa Kirumi. Umaarufu wa Askofu Mkuu Oscar Romero pia ulitokana na kuikosoa Serikali ya El Salvador. Umaarufu wa Askofu Mkuu Desmond Tutu pia ulitokana na kuikosoa Serikali ya kibaguzi kule Afrika Kusini. Umaarufu wa Askofu Mkuu Janani Luwum ulitokana na kumkosoa Dikiteta Idi Amini Dada na Serikali yake. Umaarufu wa Askofu Henry Okullu ulitokana na kumkosoa Rais Moi wa Kenya na Serikali yake. Mwambieni Mhe. Makonda kuwa majukumu ya maaskofu ni kuwaonya watu. Kuwaonya na pia kuwakosoa watawala na serikali zao ndio wito mtukufu wa kila Askofu wa Kanisa la Mungu na hasa askofu wa mnyororo (Ezekieli 33:1-20). Mwambieni Mhe. Makonda kuwa akishamaliza kuusoma ujumbe huu ampelekee aliyemteua ili kusudi na yeye pia ausome. Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako? Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 16 Oktoba 2026; Saa12:45 jioni.
82
375
14
1,593
121,979
kama watu wanaouwawa na ajali za barabarani wangeuwawa kwa 7bu nyingine yoyote ile kama taifa tungechukua hatua za haraka sana. na mimi naamini kushindwa huku kuchukua hatua inatokana na nani wanamiliki haya mabasi na malori, na wana ushawishi gani kwa watunga sera na sheria!
7
34
1
229
3,895
Issue ya Nchimbi ni nzito………..
190
702
18
5,082
352,475
Nyarugabo Byangamuro retweeted
1
25
99
4,045
Nyarugabo Byangamuro retweeted
4
60
3
315
9,479
Nyarugabo Byangamuro retweeted
#DearNyerere siku hizi wanabonda huku wananyonga hadharani.
28
27
6
301
16,289
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Uliwahi kujua mbinu hii? Video: Mtandao
2
79
2
463
20,212
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Ushauri wa GenZ tunaomba usikilizwe 😄😄
21
57
2
586
14,679
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Discipline is choosing the important thing in small amounts, even on ordinary days when nobody applauds you. Your future is shaped more by repeated actions than temporary feelings.
2
7
41
3,757
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Neuroplasticity shows that your brain can change with experience: 1. Skills you learn can strengthen neural pathways. 2. Habits you repeatedly practice can reinforce neural patterns. 3. Exercise can support brain health and cognitive function. 4. Sleep is essential for brain function and memory consolidation. 5. Learning a new language can produce changes in brain networks. 6. Repeated thoughts and behaviors can reinforce neural patterns. 7. Your environment and experiences can shape how your brain develops and functions.
13
52
3,818
Tanzanians❌ Idiots✅
This quoted post is unavailable.
53
67
6
336
13,134
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Sheria ni ile ile hamna kuomba msamaha kwa kosa ambalo unaweza kulitatua kwa vurugu.
15
44
5
298
6,446
Nyarugabo Byangamuro retweeted
Hakikisha hauzai na mwanamke mjinga mjinga maji utaita m’maaa
16
32
3
288
12,054
Nyarugabo Byangamuro retweeted
DARKEST MIND GAMES 1. When interrupted, stop talking but maintain intense eye contact. Most people will trail off awkwardly 2. When someone's yelling, calmly say random digits under your breath: “37... 12... 84...” They'll stop mid-rant, confused. Now you control the frame. 3. When the argument goes nowhere, calmly turn to leave. Pause at the door and say “Oh-and next time? Don’t waste my time.” Then you walk away. 4. Try nodding exactly three times when someone speaks, then stop. That unnatural rhythm makes people rush to fill the gap, often revealing more than they intended. It's how lawyers get witnesses to slip up. 5. Before reacting to anything annoying, run the 3-second rule: Will this matter in 3 days? 3 weeks? 3 months? Most things won’t, and suddenly you've cut 80% of unnecessary stress. The real power move is realizing most battles aren’t worth fighting.
1
32
186
9,650
Nyarugabo Byangamuro retweeted
designing systems is the skill of the future. individual tasks are getting cheaper to automate. the valuable skill is figuring out how everything should work together. • ai models → intelligence • software → logic and coordination • sensors → information from reality • robots → physical execution • humans → judgment and intent • infrastructure → compute, energy, communication • feedback loops → measurement, correction, improvement the hard part isn’t any single component. it’s architecture. > what talks to what? > where does data flow? > what happens when something fails? > where should humans stay in the loop? > what should be centralized and what should be distributed? the future belongs to people who can zoom out, understand the whole system, then make all the pieces work together. learn components. but become dangerous at integration.
7
39
3
225
5,254