
Founder & Executive Director - @developmentduda |. Patriot, Pan- African
Tanzania
Joined November 2011
- Tweets46.6K
- Following856
- Followers2K
- Likes3K
Sheria ni Msumeno hazina macho ya Kutambua huyu mwanachama wa CCM ama Mwanachama wa CHADEMA.
Ukienda Magelezani waliofungwa na Kutuhumiwa tukisema wakae kwa Mafungu ya vyama vyao wana CCM watakuwa wengi zaidi.
Sasa Je! @ccm_tanzania cha Mapinduzi nacho kiandamane wanachama wao wakihukumiwe kisa ni wana CCM?
Ni wapi inasema ukiwa mwana chama wa chadema basi wewe ni Malaika Msafiri na huwezi fanya makosa na sheria ikakukuta na hatia.
Nyie wana CDM mnazingua sana kujiona mna haki tu na hamkosei huu ni Ugonjwa wa Akili mko nao.
Mnayafanya Makosa Makusudi alafu Sheria ikishika mkondo wake mnaanza Kujiliza liza. Kama hamtaki mshitakiwe muache Kufanya Madhambi.
Kama Mnataka Muonewe huruma acheni kufanya makosa, nyie mnafanya Madhambi alafu mnataka madhambi yenu yajifiche kwenye uvungu wa Kisiasa kivipi?
Acheni sheria ifuate Mkondo wake na Mtafungwa sana kama hamtachagua kuwa na Akili na Kubadili Tabia zenu za Kihuni.
Serikali ya CCM imemshtaki @John_Pambalu kwa makosa ya UHAINI. Hati ya mashtaka inaeleza alitenda makosa hayo kati ya 1 September 2025 hadi 29 Oktoba 2025 kwa kuunda nia ya kuwashawishi wananchi kwa [kuhamasisha] maandamano [yasiyo na kikomo] kwa lengo la kuitisha Serikali.
Peter Dafi retweeted
Proud grandfather and father.
Afande Ruhamya Kainerugaba salutes President Yoweri Kaguta Museveni
#dafitips
Muigizaji wa Kisomali, Barkhad Abdi, alitoa filamu iliyo mwezesha kuteuliwa kuwania tuzo ya Oscar katika filamu ya Captain Phillips lakini mafanikio yake makubwa huko Hollywood hayakumfanya awe na uhakika wa kifedha moja kwa moja.
Akiwa amezaliwa Mogadishu, Somalia, Abdi alikimbia nchi hiyo pamoja na familia yake wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na hatimaye akaenda kuishi Minneapolis, Marekani. Mnamo mwaka 2013, alifanya uigizaji wake wa kwanza kabisa kwa kuigiza kama kiongozi wa maharamia, Abduwali Muse, akicheza sambamba na Tom Hanks.
Kwa nafasi hiyo, inasemekana alilipwa kiasi cha dola 65,000 pekee. Licha ya kushinda tuzo ya BAFTA kama Muigizaji Bora Msaidizi na kuteuliwa kuwania tuzo ya Oscar, alirudi kufanya kazi katika duka la simu za mkononi la kaka yake baada ya kukamilisha utengenezaji wa filamu hiyo.
Hadithi yake ilipinga dhana kwamba kuigiza katika filamu ya Hollywood iliyofanikiwa huleta utajiri na umaarufu wa kudumu moja kwa moja. Kutambulika kunaweza kufungua milango, lakini kazi ya uhakika na uthabiti wa kifedha havihakikishwi, hata baada ya kutoa uigizaji ulioshinda tuzo.
Safari ya Abdi ni ukumbusho kwamba kupata nafasi kubwa ya mafanikio na kufanikiwa kwa muda mrefu ni mambo mawili tofauti kabisa.
Je, ungetarajia muigizaji katika filamu iliyoteuliwa kuwania tuzo ya Oscar alipwe zaidi ya dola 65,000?
#BarkhadAbdi #Somaliland #CaptainPhillips #Hollywood #HollywoodArts
Jamii sijui inaelekea wapi ila tuanze kutiana Moyo na Kujenga Jamii yetu kurudia Maadili Mema.
Zamani mambo haya hayakuwa sana kama sasa.
Sisemi hayakuwepo!
lakini kuna Mila na Desturi zetu zilitufanye tuheshimiane kwa kila namna na ilisaidia sana kuondoa Migogoro ya Kijamii kama hii.
Sasa Taarifa za mauwaji ya Mapenzi ni kila siku ama kila baada ya Siku 1-2 na huenda tunapata taarifa kwa uchache kulingana na wanao ruhusu taarifa ziende kwenye vyombo vya habari.
Namsikiliza bwana @HecheJohn akiwa Rombo apa, Jamaa anadanganya watu ile Mbaya.
Mtu Muongo sijapata kuona. 🙆🏾♂️
MPUMBAVU ni mtu anayekataa hekima, asiyetaka kusahihishwa, na anayefanya maamuzi mabaya kwa makusudi huku akijifanya anajua kila kitu.
MPUMBAVU analitaka Jeshi la Magereza na Serikali haramu na dhalimu kujibu swali kwa umma! Sasa Jiulize Mpumbavu kashasema Serikali Haramu, Kama ni Haramu utaitakaje!? Unawezaje kuita Haramu ikufanikishie Jambo lako?
Askofu hajatoa Taarifa kwa uongozi wa Magereza mlitaka Magereza ifanye kazi kiholela?
Sheria na Taratibu zimewekwa kwa kulinda Utu na Usalama wa Wateja wao.
Mnataka iwe ni Uholela kama mlivyo kwenye chama chenu?
Acheni Upumbavu huu.
Askofu wangu afuate utaratibu na asifanye Siasa kwenye Imani hii, Hata Kanisani tunautaratibu wetu Mimi nisipoufuata kanisa halitanihudumia.
Peter Dafi retweeted
On behalf of the Government and the People of the United Republic of Tanzania, I convey my heartfelt congratulations to His Excellency Abiy Ahmed Ali on his re-election to a second term as the Prime Minister of the Federal Democratic Republic of Ethiopia. This renewed mandate reflects the confidence placed in your leadership and vision for Ethiopia’s progress.
Tanzania values its longstanding and deep fraternal ties with Ethiopia, and looks forward to continuing to deepen our cooperation for the benefit of our people, our nations, and our continent.
Jamaa kauwa Mke wake kwa Risasi Moja ya Kichwa.
Kama hawa ni watoto wao manake wameishi pamoja kwa Muda mrefu lakini utajiuliza nini kimepelekea Jamaa kumpiga ya Kichwa Mkewe?
Maisha yana Mengi sana ndani ya Kuta za Nyumba tunazo ishi.
UTEUZI IKULU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi @DrHmwinyi , ametangaza uteuzi na uhamisho wa mawaziri na naibu mawaziri, pamoja na mabadiliko ya miundo ya baadhi ya wizara, hatua inayokamilisha uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa kuwajumuisha mawaziri kutoka Chama cha ACT-Wazalendo @ACTwazalendo
Hakika, Maisha yote ni ubatili tu si Lolote si Chochote.
Chivayo ameondoka duniani, akiacha nyuma mali, utajiri na kila alichokimiliki. Ni jambo lenye kugusa sana moyo kuona maisha yakikatika ghafla, huku kila kitu alichokijenga kikibaki nyuma na unaondoka mwenyewe ukizikwa na kuteketea taratibu ardhini.
Tukio la Kifo cha Chivayo linatukumbusha kwa unyenyekevu kwamba maisha ni mafupi na hakuna anayejua siku yake ya mwisho. Katika safari hii, jambo la muhimu si tulichokusanya na utajili pekee, ama Cheo Kikubwa bali pia upendo, wema na alama tulizoacha katika mioyo ya wengine.
Amebebwa kwenye Mfuko usozidi hata Dolla 5$ mbali na Mabilioni aliyokuwa nayo.
Dunia mapito bwana 🙆🏾♂️
Mungu ailaze roho yake mahali pema, na awape familia, ndugu na wote walioguswa na msiba huu moyo wa subira, nguvu na faraja.
Peter Dafi retweeted
It is with great sorrow that I mourn the passing of Zimbabwean businessman Mr Wicknell Chivayo, his beloved wife, and three other people who tragically lost their lives in a helicopter crash in Marondera.
Zimbabwe and Africa have lost a young and visionary entrepreneur who touched the lives of many.
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey our deepest and heartfelt condolences to His Excellency Emmerson Mnangagwa, President of the Republic of Zimbabwe; the Chivayo family, the families of all those who lost their loved ones and the people of Zimbabwe.
May their souls rest in peace.
Amen.
This photo is a remembrance of the late Mama Fatma Karume, widow of Zanzibar's first President, the late Sheikh Abeid Amani Karume, whispering something to the President of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, after President Samia addressed and officially launched the Tanzania Women in Finance Association (TAWIFA) in Kizimkazi, Zanzibar.
The occasion reflected respect and the historical legacy of Zanzibar, with the late Mama Fatma Karume representing an important part of that history through her role as the widow of Zanzibar's first President.
KUMBUKIZI YA LEO KIZIMKAZI, ZANZIBAR
Picha hii ni kumbukizi ya Hayati Mama Fatma Karume akimnong'oneza jambo Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya Mh Rais kuhutubia na kuzindua Tanzania Women in Finance Association (TAWIFA) huko Kizimkazi, Zanzibar.
#DafiTips: Leo Katika mkutano wa UN Mh Deogratius Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amekutana Mh Antonio Guterres. Mh Guterres amemshukuru Mh Ndejembi kwa namna Tanzania imeonyesha mchango wa usalama, ikiwa ni pamoja na uungaji mkono wake kwa shughuli za kulinda amani za UN.
@UN_Spokesperson @UN_News_Centre @vpo_tanzania




























