KISIWA CHA AMANI:
Hata kama kuna Kesi za โUHAINIโ zinaendelea kufunguliwa MAHAKAMANI ๐, lakini Tanzania bado ni KISIWA CHA AMANI kwa kuwa ipo SALAMA. Kama AFCON na WATALII hawatakuja kwa sababu ya โUHAINIโ, basi huo ni UWOGA wao tu. ๐ฅฒ๐ฅฒ
UKAMATAJI USIOFUATA SHERIA:
Ukamataji Usiofuata SHERIA ni MSIBA katika nchi inayofuata UTAWALA WA SHERIA. Ni muhimu sana ZAKARIA OBADI atendewe HAKI bila kujali ITIKADI yake ya Kisiasa. HAKI HUINUA TAIFA.
ELIMU YA MAADILI YA MAWAKILI:
Chonde, chonde jamani, tarehe 27 Oktoba 2026 MSIKOSE KUFIKA Mahakama ya Rufani ya Tanzania-Dar es Salaam kwa ajili ya kupata ELIMU YA MAADILI YA MAWAKILI. Si WAMEYATAKA WENYEWE?๐๐๐
UAMUZI WA BUSARA:
Huo ๐ unabaki kuwa moja ya UAMUZI WA BUSARA ambao Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amewahi kufanya, kwa kutumia MAMLAKA yake.
BISWALO:
โMheshimiwa Rais, USHAHIDI wote huu hapa, namna PETER MADELEKA na MKE wake WALIVYOTENGENEZA VIZA FEKIโ.๐๐๐
TAARIFA KWA UMMA:
Tarehe 27 Oktoba 2026 nitakuwa MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA- DAR ES SALAAM, kwa ajili ya KUFUNDISHA ELIMU YA MAADILI kwa KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI. Nataka TUHESHIMIANE bila SHURUTI ๐









