Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

Tabora, Tanzania
Joined April 2021
UKAMATAJI USIOFUATA SHERIA: Ukamataji Usiofuata SHERIA ni MSIBA katika nchi inayofuata UTAWALA WA SHERIA. Ni muhimu sana ZAKARIA OBADI atendewe HAKI bila kujali ITIKADI yake ya Kisiasa. HAKI HUINUA TAIFA.
4
19
65
1,369
ELIMU YA MAADILI YA MAWAKILI: Chonde, chonde jamani, tarehe 27 Oktoba 2026 MSIKOSE KUFIKA Mahakama ya Rufani ya Tanzania-Dar es Salaam kwa ajili ya kupata ELIMU YA MAADILI YA MAWAKILI. Si WAMEYATAKA WENYEWE?👇😂😂
3
16
69
2,685
UAMUZI WA BUSARA: Huo 👇 unabaki kuwa moja ya UAMUZI WA BUSARA ambao Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amewahi kufanya, kwa kutumia MAMLAKA yake.
11
14
187
25,976
BISWALO: “Mheshimiwa Rais, USHAHIDI wote huu hapa, namna PETER MADELEKA na MKE wake WALIVYOTENGENEZA VIZA FEKI”.👇😂😂
7
8
1
171
4,078
Kuna wakati BISWALO alikuwa ni “MUNGU”. Yaani, HAGUSIKI 👇😂😂
9
21
3
132
12,968
TAARIFA KWA UMMA: Tarehe 27 Oktoba 2026 nitakuwa MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA- DAR ES SALAAM, kwa ajili ya KUFUNDISHA ELIMU YA MAADILI kwa KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI. Nataka TUHESHIMIANE bila SHURUTI 👇
6
21
1
208
7,845
KAMATI YA MAADILI KUKAMATWA NA POLISI: Kuna uwezekano mkubwa wa Kamati ya Maadili ya Mawakili, KUKAMATWA NA POLISI KWA KUDHARAU MAHAKAMA. Kama Kamati HAIJUI hilo, basi, IMUULIZE Peter Madeleka ambaye ANA KESI YA KUDHARAU MAHAKAMA.😂😂
10
80
1
513
19,563
INASHANGAZA SANA: Yaani, Kesi ilipangwa KUSIKILIZWA kwa njia ya MDOMO (Oral Hearing) leo tarehe 19 Oktoba 2026. Upande wa Jamhuri WAMECHELEWA kufika MAHAKAMANI. Baada ya MAWAKILI WA SERIKALI WATATU kufika, Mheshimiwa JAJI akatoa AMRI kwamba; KESI ISIKILIZWE KWA MAANDISHI.😂😂
15
27
1
108
7,422
Kesi ilipangwa kuanza SAA MBILI KAMILI. Kesi tayari IMEITWA, jamaa HAWAPO. Mahakama inaendelea KUWASUBIRI.😂😂
11
34
372
8,313
NIMEULIZWA HIVI: “Madeleka, kwa nini UNAWASHINDA Mawakili wa Serikali kwenye kesi nyingi za JINAI?”. NIMEJIBU HIVI: “Kwa sababu, wao huwa wanaendesha kesi kwa lengo la KUKOMOA na SIYO KUTENDA HAKI kwa mujibu wa SHERIA”.
30
106
2
723
14,545
LEO KAZI NI MOJA TU: Leo tarehe 19 Oktoba 2026, KAZI NI MOJA TU, kuhakikisha ELIMU YA “CRIMINAL REVISION” inaeleweka kwa WALE WASIOJUA. Wahi SITI YAKO MAPEMA. Chakula na Vinywaji vitatolewa BURE kama KAWAIDA 👇
5
11
90
3,084
TAARIFA KWA UMMA: Kesho tarehe 19 Oktoba 2026 nitakuwa Mahakama Kuu ya Tanzania-Dar es Salaam kwa ajili ya KUFUNDISHA SHULE YA “CRIMINAL REVISION” kwa WALE WASIOJUA 👇. Hakuna KIINGILIO. Wote MNAKARIBISHWA. Chakula na Vinywaji ni BURE kama KAWAIDA.
6
20
152
8,803
UMOJA NI NGUVU: Shambulio dhidi ya MMOJA WETU, ni Shambulio dhidi YETU SOTE. Wakili @Mwabuk2Boniface HAKUJICHAGUA kuwa RAIS wa TLS, bali TULIMCHAGUA. Vile vile, HAKUJITUMA kutusemea MAMBO YETU, bali, TULIMTUMA. Basi, ni wajibu wetu KUMLINDA na KUMPIGANIA.
15
128
3
478
8,199
MDAHALO KATI YA MADELEKA NA DPP: Licha ya kuwepo TAARIFA zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, binafsi SINA taarifa RASMI kuhusu uwepo wa MDAHALO huo kati ya PETER MADELEKA na DPP. Ikiwa NITAALIKWA, nipo TAYARI KUSHIRIKI kwa maslahi ya UTAWALA WA SHERIA.
5
16
1
143
6,520
MNAKUMBUKA HII BATO?: Kuna wakati ilikuwa, MADELEKA moto, DPP moto. Yaani ilifika hatua DPP alienda KUJIELEZA kule CLOUDS TV. Sasa KIKO WAPI?👇😂😂
10
18
1
273
21,703
👇😂😂😂
53
77
5
874
73,657