Joined August 2022
mobappdev retweeted
KISIWA CHA AMANI: Hata kama kuna Kesi za โ€œUHAINIโ€ zinaendelea kufunguliwa MAHAKAMANI ๐Ÿ‘‡, lakini Tanzania bado ni KISIWA CHA AMANI kwa kuwa ipo SALAMA. Kama AFCON na WATALII hawatakuja kwa sababu ya โ€œUHAINIโ€, basi huo ni UWOGA wao tu. ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ
9
32
1
164
4,288
Tunalaani vikali kukamatwa kwa kiongozi wetu Zakaria Obadi huko Kahama. Serikali na CCM wanapaswa kuelewa kuwa demokrasia haiwezi kufungwa pingu, na mawazo hayawezi kushindwa kwa vitisho. Mnaweza kuwakamata watu, lakini hamwezi kukamata dhamiri za wananchi. Mnaweza kulazimisha ukimya, lakini ukimya wa hofu si ridhaa, na ukandamizaji si ushindi. Historia imethibitisha, nguvu inaweza kuchelewesha mabadiliko, lakini haiwezi kuua kiu ya uhuru na haki. Nguvu ya uongozi si kunyamazisha upinzani, bali ni kuwa na ujasiri wa kukabiliana na hoja.
12
60
287
7,976
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Rukwa, Benjamin Mizengo amelitaka Jeshi la Polisi kutoa taarifa rasmi kuhusu mahali walipo Coletta Ntidyicha na Ibrahim Myovela, akisisitiza kuwa vyombo vya usalama vina wajibu wa kulinda maisha ya raia na mali zao.
1
16
46
1,810
mobappdev retweeted
Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn akiwa njiani kuelekea Haydom kwenye Kongamano la Bawacha amekutana na wananchi wa kijiji cha Qaru, Kata ya Endabash, Wilaya Karatu wakiwa wanachota maji. Walipata wasaa wa kumweleza Mhe. @HecheJohn adha ya maji wanayopitia katika kijiji hicho.
3
56
1
260
5,407
mobappdev retweeted
Gutted to learn that my brother, John Pambalu, has been charged with treason, joining a long list of those targeted for persecution by Samia Suluhu's bloody regime. This nonsense must stop now. Free John Pambalu Now.
5
102
377
2,998
mobappdev retweeted
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesikitishwa na taarifa ya Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni ya Uchaguzi wa chama hicho Makao Makuu, John Pambalu kufunguliwa mashtaka ya uhaini sawa na yale yanayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu huku akisisitiza kuwa hatakimbia nchi hata kama naye atafunguliwa mashtaka ya uhaini au ugaidi. Heche ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza katika Kongamano la Baraza la Wanawake la CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Manyara lililofanyika Haydom, wilayani Mbulu. Pambalu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na shtaka la uhaini lililoainishwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu iliyorekebishwa mwaka 2023. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, inadaiwa kuwa kati ya Septemba 1, 2025 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo mbalimbali mkoani Dar es Salaam, Pambalu alidhamiria kuwashawishi wananchi kukwamisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Hati hiyo inaeleza kuwa alionesha nia hiyo kwa kuendesha na kuratibu maandamano yasiyo na kikomo kote nchini kwa lengo la kuitisha na kuishinikiza Serikali. โ€œNajua na mimi wakati wowote watanipa kesi ya aina hiyo hiyo au nyingine wanayotaka iwe ya ugaidi iwe ya uhaini lakini mimi nimesema sitakimbia nchi yangu. Hii ni nchi yetu. Tutaipambania tukiwa humu. Tutapambana tukiwa humuhumu... Uhakika kama jua linavyochomoza asubuhi... Kitu nilicho na uhakika nacho ni kwamba tutashinda, hilo nina uhakika naloโ€, ameeleza heche akibainisha kuwa Pambalu alishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa zaidi ya siku 10 kabla ya kufikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka hayo.
10
47
2
302
10,538
John Pambalu kashitakiwa kwa UHAINI.
39
57
12
349
20,900
mobappdev retweeted
..... Kuna siku watu wengi watainamisha vichwa vyao kwa aibu na fedheha, Pale watakapogundua ukubwa wa uovu walioutetea na thamani ya mashujaa waliowadhihaki. Pindi ukweli utakapofunua yale waliyoyafumbia macho, wengi watajuta kwa kusimama upande usio sahihi wa historia.
5
35
175
3,659
mobappdev retweeted
MUNGU Mbariki huyu kijana Japhate Manyama, Mratibu wa CHASO Mkoa wa Mwanza. Hakika nchi yetu ipo mikono salama chini ya vijana wenye akili timamu. Nasikiliza hii clip huku natokwa na machozi ya FURAHA kuwa katika nyakati ngumu kama hizi kuna watu kama JAPHATE wamegoma kuwa MISUKULE. Tumpe dogo REPOST 200.
13
257
2
1,134
27,888
Pioneer AHP, Eldoret
188
293
37
2,187
80,962
764
527
210
4,655
729,359
Karatu leo imeitwa Imeitika mkutano wa Mh. John Heche
3
88
2
510
5,198
mobappdev retweeted
TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ NDUGU WANANCHI TUNAOMBA TUENDELEE KUTEMBELEA PAGE ZA @EPPGroup pamoja na @EU_Partnerships ILI KUSAPOTI MOVEMENT YA SAKHAROV PRIZE KWA KUANDIKA JUMBE ZETU PALE DHIDI YA MH TUNDU LISSU ILI AWEZE KUPATA HIYO PRIZE. FIKA PALE KAANDIKE โ€žโ€œTUNDU ANTIPAS LISSU NA BENDERA NDINGI ZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ UNAWEZA PIA KUANDIKA โ€žโ€œ HE DESERVES THE PRIZE , TUNDU LISSU๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ UNAWEKA NA HIZO BENDERA.
9
92
273
4,770
Ipo siku isio kuwa na jina Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ watu watageukana vibaya mnooo
13
22
3
260
9,718
mobappdev retweeted
Huku injili inaendelea kila kona ya NCHIIIII๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ CHAMA NI KIMOJA TUU NCHINI MAMAEEE. REPOST 200
121
663
7,569
mobappdev retweeted
Kama unafuatilia vizuri Siasa za bongo kwasasa inatumika nguvu kubwa sana kufosi CHADEMA waingie kwenye MARIDHIANO. Wapo nje ya muda, wanaona kabisa CHADEMA bila nguvu ya ziada hawa wanashikilia bomba. Kwahiyo utaona press nyingi sana kuelekea November kuihusu CHADEMA kwamba hawaitakii mema nchi. Wanasahau CHADEMA ndio walikuwa wahubiri wa MARIDHIANO kabla ya MO29 ila wao wakasisitiza wanatiki. Sasa wamemaliza KUTIKI wanataka wasikilizwe wao. Huo upumbavu ulifanikiwa zamba za MBOWE sio sasa.
19
165
2
1,048
27,713
mobappdev retweeted
๐๐ˆ๐Œ๐„๐๐„๐๐˜๐„๐™๐„๐–๐€ : Kumbe kelele za UVCCM ni ugomvi wa kisiasa kati ya BWANA MUDI na SHEBI, Shebi kawanunulia Mabati Makatibu wa UVCCM wote wa Pwani. UVCCM wanasema walimuomba BWANA MUDI akawakatalia, so kuna Kiongozi wa UVCCM kamwambia Shebi agombee UNEC 2027 ili amtoe BWANA MUDI na abaki na Ubunge tu na ikumbukwe Shebi alishagombea Ubunge 2025 akanyimwa fomu.
7
6
2
134
29,057
mobappdev retweeted
JIBUNI HOJA ZANGU, SI HISTORIA YANGU! Na Rev. Peter Simon Msigwa Hoja zangu ziko wazi kabisa, na sijawahi kuzificha. Hoja ya kwanza: Nimehoji kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama kuonekana kulinda usalama wa watawala na kuendelea kwao kubaki madarakani badala ya kulinda usalama wa Taifa na haki za wananchi wote. Hoja ya pili: Nimehoji kuhusu madai ya vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi kwa maslahi ya kisiasa ya CCM badala ya kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hoja ya tatu: Nimehoji kuhusu mauaji ya wananchi, hususan matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na umuhimu wa uchunguzi huru, ukweli, haki na uwajibikaji. Hoja ya nne: Nimehoji kuhusu matukio ya watu kutekwa, kupotezwa na vitendo vya ukatili, na wajibu wa vyombo vya dola kuhakikisha usalama wa kila Mtanzania bila kujali itikadi yake ya kisiasa. HIZI NDIZO HOJA ZANGU! Sasa badala ya kujibu hoja hizi, kuna wanaosema kwamba Peter Msigwa anazungumza haya kwa sababu hakupata uwaziri, ukuu wa mkoa au ukuu wa wilaya! Hebu niulize: Kutokuwa Waziri kunajibu vipi hoja ya watu kuuawa? Kutokuwa Mkuu wa Mkoa kunajibu vipi hoja ya wananchi kutekwa? Kutokuwa Mkuu wa Wilaya kunajibu vipi hoja ya vyombo vya ulinzi na usalama kutuhumiwa kufanya kazi kwa maslahi ya CCM? Na kukosa uteuzi kunajibu vipi swali la msingi kuhusu tofauti kati ya kulinda watawala na kulinda Taifa? Katika taaluma ya mantiki, hii inaitwa Ad Hominem Fallacy โ€” kumshambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja yake. Pia ni kuhamisha mjadala kutoka kwenye maswali yanayohitaji majibu kwenda kwenye maisha binafsi ya anayeyauliza. Hata kama ningekuwa Waziri jana, Mkuu wa Mkoa leo na Mkuu wa Wilaya kesho, bado maswali haya yangehitaji majibu. Ukweli wa hoja hauamuliwi na cheo cha anayeitoa. Unaamuliwa na ushahidi unaoiunga mkono. Mimi sihoji kwa sababu ninahitaji cheo. Ninahoji wajibu wa mamlaka kwa wananchi. Kama kuna ushahidi kwamba hoja zangu si za kweli, uwekwe mezani. Kama vyombo vya ulinzi na usalama vinatenda kwa usawa, tujadili ushahidi huo. Kama kuna uchunguzi wa mauaji na utekaji, wananchi waelezwe hatua zilizochukuliwa na matokeo yake. Hayo ndiyo majibu yanayohitajika. Taifa haliwezi kujenga utamaduni wa uwajibikaji ikiwa kila anayouliza swali kuhusu haki za wananchi anajibiwa kwa kushambuliwa maisha yake binafsi. Mimi nimeuliza kuhusu usalama wa Watanzania. Wengine wanazungumzia uteuzi wangu. Nimeuliza kuhusu Katiba. Wengine wanazungumzia vyeo. Nimeuliza kuhusu mauaji na utekaji. Wengine wanazungumzia uwaziri. Sasa hebu turudi kwenye hoja. Kwa sababu hata kama Peter Msigwa asingekuwepo katika siasa za Tanzania, maswali kuhusu mauaji, utekaji, matumizi ya mamlaka na wajibu wa vyombo vya dola yangekuwa bado yanahitaji majibu. KUKOSOA MTOA HOJA SI KUJIBU HOJA. NA KUMSHAMBULIA ANAYEULIZA SWALI SI KULIFANYA SWALI LIPOTEE.
12
63
2
254
6,889
mobappdev retweeted
Hata saa mbovu sometimes husema kweli ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
3
14
448
mobappdev retweeted
Dahaaa maneno yaliyo beba ujumbe ndani kama cheti ndio antena ya kumfanya awe mtumwa wawatu asisimamie taaluma yake bora tu mchukue vyetu vyenu yey abaki na uzalendo wake katka Tanganyika yake sasa kazi kwa wale machawa wanahitaji kufanya kazi kwa kufuata taaluma yao au maagizo.
Nakuambia Ewe Serikali haramu(Regime) hutafanikiwa Anguko lako ni kubwa kuliko la Farao Tena nawaambia hamutaamini kile kitatokea tar 29 na kuendelea
13
42
1,542