Matokeo J Machuza (@MachuzaJ) profile picture

Mimi ni Mraghabishi kutoka #Kibondo# ChukuaHatua

Kigoma, Tanzania
Joined November 2017
Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)Photo by Matokeo J Machuza (@MachuzaJ)
Matokeo J Machuza retweeted
Ukiukwaji wa haki za wanawake huanza kwa kuwatenga na kuwabagua wanawake katika utoaji maamuzi. Kwa hiyo miongoni mwa viashirio vya kuheshimu haki za wanawake ni kujumuishwa kwao na kushirikishwa katika mambo ya kitaifa na katika vyombo vya kufanya maamuzi.
Ukosefu wa ajira kwa vijana bado ni changamoto kubwa, ni wakati sahihi sasa tukapata juzi mbalimbali ili kuweza kutatua changamoto hii. #WYSD #UjuziEndelevuKwaVijana @ILO_EASTAFRICA – at Dar es Salaam, Tanzania
1
10
1
16
Matokeo J Machuza retweeted
#Habari:Naibu Waziri wa Maji, Mhe.Juma Aweso amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, kuwaondoa katika nafasi zao, Mhandisi wa Maji wa H/Wilaya ya Kakonko, Elinathan Elisha na Mhandisi wa Wilaya ya Kasulu,Godfrey Mbuza kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza miradi ya maji.
1
6
Matokeo J Machuza retweeted
SIO SIRI MAGUFULI KURUDI TENA KWENYE URAIS. Akizungumza na Watanzania waishio nchini Misri, Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim amewaambia watanzania hao kuwa hakuna siri kwamba Rais Magufuli atarudi kuomba ridhaa tena kwenye uchaguzi mkuu ujao.
4
10
1
173
Matokeo J Machuza retweeted
Unaelewa nini unaposikia neno ukatili wa kijinsia? Kwenye jamii unapoishi umeshashuhudia ukatili gani wa kijinsia? Njooni tuelezane @VwalaViola @bajabiri @fredkavishe @MakandoNeema @NeemaMeremo
3
10
1
22
Matokeo J Machuza retweeted
Kataya #Biturana #kibondo nigiza tororo tunaomba mtukumbuke nasisi mtuletee umeme tufanane na kijiji vingine @tanescoyetu @Nchaliko @atashasta @ChukuaHatua
Matokeo J Machuza retweeted
Tukiwa na Hakimu wa mahakama ya mwanzo ambae ni mkazi wa #kifura (Emakulata shuli) uku akielezea haki ambazo anasitahili kupata mwanadamu bila kunyanyaswa na kw kutoangalia kabila la mtu , cheo , wara utajiri. #chukuahatua.
8
15
Rais @MagufuliJP usiku huu ameeleza kufurahishwa na ushindi ambao Timu ya Taifa, Taifa Stars, imeupata dhidi ya Uganda Cranes. Amewapongeza wachezaji kwa kujituma kupata uahindi huo.
13
23
3
261
Matokeo J Machuza retweeted
Mhe. Rais Magufuli leo Machi 25, 2019 atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, Viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na Bondia Hassan Mwakinyo Ikulu DSM. Atawapongeza na kula nao chakula cha mchana. Tukio litarushwa Live! na Redio, Televisheni na Mitandao kuanzia saa 4:00 asubuhi
83
156
24
1,120
Matokeo J Machuza retweeted
Baada ya mechi ya Taifa kuisha home mambo hivi
4
5
29
Matokeo J Machuza retweeted
Makongamano na mijadala mbalimbali katika jamii ni Muhimu sana katika kujenga uelewa wa pamoja. Viongozi wa ngazi mbalimbali ikiwemo mahakama wanakuwa na mengi ambayo wanatamani watu wajue, shida ni namna ya kukutana na wananchi. @OxfamTz #chukuhatua
1
10
15
Matokeo J Machuza retweeted
Hii ni mojawapo ya kuleta maendeleo ktk kijiji cha #kigendeka tukiwa tumekusanyika kwenye mkutano wa kijiji kujadili hoja za msingi zenye kuweza kutukwamua kiuchumi wananchi @mbaruku_afifa @BabuAllySalumu @AllyWayembenao @BitamaDavid @zenanakoni1
8
19
Matokeo J Machuza retweeted
Leo Jijini Dodoma nimekutana na Makatibu Tawala wa Mikoa -Bara pamoja na wataalamu wa Wizara ya Maji na Ofisi ya Rais TAMISEMI kujadili Wakala ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) pamoja na huduma ya maji nchini kwa ujumla.
3
9
2
35
Hatua ya ujenzi iko inaanza ofisi ya walimu pamoja na chumba cha darasa kimoja s/msingi Kanyinya wilaya #Kibondo walimu amekuwa wakihangaika kutumia ofisi hiyo ya nyasi kwa mda mulefu hongera @save_children #chukuahatua waziri wa Elimu joyce Ndarichako @MagufuliJP
1
8
14
Matokeo J Machuza retweeted
#Habari:Watu watatu wilayani Muleba,mkoani Kagera akiwemo mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Rutoro katika kata ya Ngenge, wamekutwa wakitengeneza vitambulisho bandia vinavyofanana na vile vinavyotolewa na serikali vya kuwatambua wafanyabiashara wadogo.
4
3
1
10
Matokeo J Machuza retweeted
#Habari:Wataalamu wa nyuki Tanzania wamesema nyuki wachavushaji wa mimea wako hatarini kutoweka hapa nchini kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi na wakulima kutumia kemikali za viwandani msimu wa kilimo.
1
1
11
Matokeo J Machuza retweeted
Tena inatakiwa watoto tuwalee kwa kuwatimizia haki zao pia kutafuta ufumbuzi au kuibua matatizo ktk jamii zinazo tuzunguka kuhusu familia zinazo nyima watoto haki elimu tutoe taalfa kwenye vyombo vya habar halaka iwezekanavyo ukiwa na uhakika wa jambo
5
8
Matokeo J Machuza retweeted
Waraghabishi mtwara tukiwa tunapatiwa mafuzo ya #chukuahatua #haki za binadamu @OxfamTz @mohamed_mkulima @
4
13
Matokeo J Machuza retweeted
Hii si ya kuacha ndugu zangu.
1
3
5
Matokeo J Machuza retweeted
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,imeanza kusikiliza maelezo ya mashahidi dhidi ya aliyekuwa kamishina Mkuu wa (TRA),Harry Kitilya na wenzake wanne,wanaokabiliwa na mashtaka 58 ikiwemo kula njama,kutakatisha fedha na kuisababishia serikali hasara ya Dola za Marekani milioni 6
2
8