Neema Makando (@MakandoNeema) header
Neema Makando (@MakandoNeema) profile picture

Gender Equality Specialist at Foundation For Civil Society Co-Founder of Gender Action Tanzania (GATA) An advocate of the High Court of Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2018
Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)Photo by Neema Makando (@MakandoNeema)
Neil Ngala, Afisa Programu wa FCS akizugumza na Elina John kutoka SHIVYAWATA Rukwa kuhusu mradi wanaoutekeleza wa kuogeza uelewa wa Jamii kuhusu masuala ya ujumuishaji wa watu wenye ulemavu katika ngazi za maamuzi na katika masuala ya kiuchumi #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
13
14
682
''Sisi FCS tunapenda kuwajibika, kazi yetu kubwa sisi ni kupitisha rasilimali ziende kunufaisha wananchi. Nguvu tulionaye haiwezi kukamilika bila nyinyi wadau wetu, mkifanya kazi nzuri tutapata matokeo tarajiwa''~@KiwangaFrancis #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
18
20
2,126
Day 3 of Manage Your Grants Training (MYG) in Dodoma with our partners. MYG provides support and expertise to our partners and helps ensure that grants are used effectively and efficiently during implementation of their projects. #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
17
31
3,075
Ending Day 2 of the Manage Your Grant (MYG) training in Dodoma on a high note. 158 representatives from 79 organisations funded by @FCS attended the training in Dodoma. Excited about what lies ahead tomorrow during the the final day of the training #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
18
31
3,035
Tunamabadiliko makubwa sana katika ushirikiano wetu na asasi tunazofadhili. Sasa nyinyi ni wadau (Partner) wetu. Tunataka tuwawezeshe, tuwajenge uwezo na kuongeza nguvu kwenu ili uwe na nguvu ya kuleta matokeo katika jamii ~@KiwangaFrancis #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
25
35
4,177
Day 3 of MYG training: In his closing remarks during the MYG session in Dodoma, @KiwangaFrancis stated the importance of auditing to FCS partners stating how audits provide institutional credibility & transparency #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
1
24
36
4,370
Bartholomew Mbiling`i, FCS Information, ICT Officer highlighting various updates that have been made to our online Grants Management System, improving the management of the grant Lifecycle efficiently #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
18
26
2,690
Brian Mosala Kutoka Idara ya Programu Ya FCS akimuelekeza Hamisi Hamadi kutoka Asasi ya TAYOBECO masuala ya kuzingatia ili mradi wao wa uwezeshaji Vijana kiuchumi ulete matokeo chanya #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
17
1
25
2,391
''MYG is an opportunity for learning and sharing the best practices amongst ourselves. I encourage our partners to work in partnerships, team up for opportunities and support each other'' @KiwangaFrancis #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
1
24
35
4,491
Mkurugenzi Mtendaji wa @FCSTZ @KiwangaFrancis akiwasilisha salaamu za menejimenti kwa wadau 158 kutoa taasisi 79 zinazofadhiliwa na FCS katika #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku jijini Dodoma
20
45
4,585
'' I encourage partners to be resilient, agile and adapt to changes in our operating context. Success will be possible with agility''~@Franciskiwanga #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
33
45
5,582
Neema Makando, FCS Programme Officer providing guidance to GBV thematic partners on their proposed implementation activities, work plan & results frame matrix. 📸Standing : Brian Mosala & Irene Makoko -@FCSTZ Programme Team #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
1
20
38
4,053
Leo tutazindua wa Mradi wetu wa #UraiaWetu saa tatu asubuhi katika ofisi za @FCSTZ. Jumuika nasi katika uzinduzi huo. #AzakiTanzania
15
25
2,101
Happy to launch #UraiaWetu project. FCS will work with grassroot CSOs to promote civil society and citizens partipation in the constitution review process. Appreciations to ⁦@EUinTZ⁩ for supporting this project #Tanzania ⁦@FCSTZ⁩ ⁦@EUinTZ⁩
1
38
1
52
7,615
Today we launched our #UraiaWetu Project funded by @EUinTZ. FCS will issue over 4 billion in sub-grants to 12 CSOs in 🇹🇿& Zanzibar to project to promote civil society participation in democratic governance in Tanzania. Among the CSOs are @TanganyikaLaw @JUKATA_Tz & TANGO
1
29
49
3,762
#UraiaWetu project will contribute to an improved & enabling policy framework & environment for effective civic engagement to promote democratic governance in Tanzania.
1
26
43
3,759
Kazi yetu kubwa ni kuwezesha na kufanya kazi na AZAKI 🇹🇿. Uwezeshaji wetu ni ktk maeneo makubwa mawili, ambayo ni kuimarisha utawala bora nchini na kuongeza uwezo wa wananchi wetu kujikimu ( Livelihood Programs) ~@KiwangaFrancis, Mkurugenzi Mtendaji @FCSTZ #UraiaWetu
25
47
2,763
Katiba yetu ibara ya 8 imeweka mamlaka kwa wananchi. Hivyo basi katika zoezi hili tunalofanya la utengenezaji wa katiba ni lazima tuweke wananchi katikati ya mchakato wote wa kupata katiba mpya ~ @KiwangaFrancis #UraiaWetu #AzakiTanzania
30
1
45
5,630
#UraiaWetu ni mradi wa miaka 3 unaolenga kuongeza hamasa,ushiriki, wigo wa ushiriki wa wananchi ktk utawala bora.@FCSTZ tunashirikiana na wadau wa maendeleo kufanya kila mwananchi kwa kadri tunavyoweza aweze kushiriki moja kwa moja katika mchakato wa katiba mpya @KiwangaFrancis
21
31
2,220
Neema Makando, from @FCSTZ presenting on 'the identification of responsibilities & roles of safeguarding policy in organizations' during Safeguarding Resource & Support Hub (RSH) Prevention against Sexual Exploitation & Abuse & Sexual Harassment (PSEAH) Training in Dar es Salaam
25
55
5,410