NIDA Tanzania hata huku Mbogwe mkoa Geita Tunasubili vitambulisho kwa hamu sana Tunaomba fanyeni haraka basi serikali lioneni hilo #chukua hatua TZ NIDA
#TAARIFA
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inawakumbusha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kujitokeza kuchukua Vitambulisho vya Taifa katika ofisi za Serikali za Mitaa walipojiandikisha.
Kuwa na kitambulisho... facebook.com/Nidatanzania/po…
NIDA tunaomba vitambulisho vya taifa fanyeni hima basi kutupatia vitambulisho hivyo NIDA Tanzania vitambulisho #chukua hatua TZ kuliona hili
This quoted post is unavailable.
Tunaomba siku zinazo kuja kwenye uchanguzi tume iwasaidie wangombe kujaza fom za wangombea kama walivyo fanya watu NIDA kumsaidia mwananchi pili tunaomba watu wa vitamburisho vya NIDA wafanye haraka watu wapate vitamburisho vyao #chukua hatua TZ NIDA mkulungezi wa NIDA wapi
Hakika akina mama wanateseka sana tunaomba wizara ya Afya kuliona hilo wamama wana fikasaa mbili wahudumu wana fika saa sabatatizo kubwa ni umari wanapotoka wahudumu hebu fikilia mhudumukufika saa saba kwasababu yaumbali wa vituo #chukua hatua wizara yaAfya kuzimalizia Zahanati
Aki na mama wa Kagera Wilaya ya Mbogwe wakipata Huduma ya chanji kwenye kituo chao cha Afya ambacho hakijafunguliwa kwa kufuatwa na wahudumu wa Afya toka Zahanati ya Ikunguigazi ambako ni Mbali.Wamefika saa 2Asb lakini wahudumu wamefika saa 7mchana .Mateso @wizara_afyatz
Kweli kabisa Tanzanua oyeee maana huyu Rais magufuli hataki matani kwa ajili ya wananchi hasa wahali ya chini Tunataka maendeleo hamuoni tureni za mosho. zimefufuliwa miaka 30 hazifanyi kazi leo zunafanya kazi hapa kazi tu acha waseme tu lakini ukweli ni huo #chukua hatua TZ
Hakuna wa kumzidi Rais magufuli sifa ya kwaza mpenda wanyonge pili mtu wa watu wachini masikini na matajili habagui anataka kila mtanzania anahaki ya kuishi na kumiliki rasilimali za nchi hii mimi binafisi aendelee tu hadi miaka ishiliniTanzania itakuwa uraya #chukua hatua TZ
Fedson Yaida retweeted
“Tunahitaji kuona katika Taifa hili Vijana jeuri na wenye kujiamini. Na sio Vijana Waoga akina ndiyo Bwana Mkubwa; Vijana wenye uwezo wa kuhoji na kupiga Vita Mfumo wa Jamii usioshahabiana na Matakwa na Matamanio ya Jamii ya Kitanzania" -Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Huu ni mkutano wa mkuu wa wilaya mbogwe mkoa Geita wakiwa na wakuu wa idara wa wilaya mbogwe kusikiliza kero za wananchi wa vijiji vitatu masumbwe ,shenda,nailangali kwakweli panapo ngusa idara ya elimu anaambiwa ofisa elimu jibu kero hiyo kwa kweli wananchi wamefulahia ziala
Fedson Yaida retweeted
Tarehe17/08/2020Mkuu wa wilaya mbogwe mkoa Geita pamoja na wakuu wa idara wakifanya ziara ya kusikiliza keroza wananchi kusikiliza kero na maswalikira mkuuaweze kujibu maswali yatakao ulizwa na wananchi kweli wananchiwamefurahia sana ziara hiyo nakuombaiwe endelevu #chkua hatua
Tarehe17/08/2020Mkuu wa wilaya mbogwe mkoa Geita pamoja na wakuu wa idara wakifanya ziara ya kusikiliza keroza wananchi kusikiliza kero na maswalikira mkuuaweze kujibu maswali yatakao ulizwa na wananchi kweli wananchiwamefurahia sana ziara hiyo nakuombaiwe endelevu #chkua hatua
Fedson Yaida retweeted
Tuongee yote ila ukweli ni kwamba mtu pekee ambae anaweza kupambana na Magufuli kwenye Uchaguzi huu ni @TunduALissu. #TunduLissu2020
Fedson Yaida retweeted
Tutafanya kazi ya kuchambua idadi ya wanawake waliotia nia na idadi ya waliopata ridhaa ya vyama vyao. Tunaenda kujua kiasi ambacho vyama vimetoa kwa wanawake wagombea.@MabalaMakengeza @tgnptz @vicensiashule @WomenFund_TZ
Kwa kweli tunaomba mashirika yaendele kutoa elimu kwa wa pinga kura wapimga kura wengi bado hawajajua umuhimu wa kura yake badowanalubuniwa na kitu kidogo tu tunaomba tackuru yani vyombo vya kupambana na rushwa vitembele vijijini hasa #chkua hatua #Hakirasilimali kuendeleakutoa
Hao waliochukua jitihada wanasemaje, mmeongea nao? Secreatarieti ina uwiano mzuri, wanachama walielekezwa kuja 2 from org (me,ke), taasisi wanachama zimejitahidi na tunajua kua bado safari ni ndefu, na tunalitizama zaidi ya "namba".leteni mapendekezo zaidi.
Kwa kweli Rais Magufuli niTumaini LaWatanzania kwa kaziNzuri anayofanya Nchini Hapa Kazi nikazi yakuingwa kwa kila mtanzania tunaombawatanzania tubadilike kuchangua Viongozi wazuli wanaopenda Maendeleo pila wakusimamia haki #chkua hatua TZ Maendeleo zaidi Nchii hii sio masikini
Asante sana rishard mabala @mabal kusimamia elimuili kuelekaelimumbele yaani #HakiElimu tunaomba tusijisahau kuendelea kuchukua tahadhali ju ya corona hasa kwenye mashule ya msingikwasababu watotowetu hawajajitabua sana walimu tunawomba kuchukua tahadhali #chukua hatua Oxfam TZ
3
Tunaomba mkichaguliwa kusimamia idara yoyote fanyeni majukumu mkijali jamii au masirahi ya nchi au taifa kwaujumla watu hakikisheni kusimamia Maendeleo vizuri #chukua hatua TZ kuleta maendeleo
Leo siku ya mazingira Duniani.Walimu na Jamii kwa ujumla tutunze mazingira kwa kupanda miti.Hotuba ya Mh.Rais kwenye ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Uchaguzi wa Chama cha Walimu Tanzania.
Fedson Yaida retweeted
#TUELEWANE
Tumekabiliana na adha ya maji.
Hili ni tenki la maji la Kibamba Jijini Dar es Salaam, lina uwezo wa kuhifadhi lita milioni 10.
#HapaKaziTu
Fedson Yaida retweeted
Wiki iliyopita nimeuza gunia 1000 za mpunga kwa 65,000/-. Ngapi hiyo? Juzi nimeuza zingine 500 kwa 65,000/-, ngapi hapo? Na sijatikisa kabisa stock 😀😀😀🤷🏾♂️. Utawezana???
















