Replying to @salmidongaluma @therealrigoh
Tushasema ukweli na jezi ni kali kama unasema mbaya utajijua mwenyewe
7
Replying to @BracuszCadabra
Namba 6 mzuri sema nimegundua umri umeenda, ana miaka 33, highlights zake huko youtube ni free kick tu, nimeona leo kapiga free kick za mbali 3 na zote on target, alikuwa anacheza left back kenya na nje kacheza.
1
1
28


















