Jude Bellingham G. O. A. T 🐐 Mr. X-Factor. 😂🔥 Mr. Los Blancos 🤍

Joined July 2021
Bajaji yetu ya mkopo kutoka pale NBM hatimaeee imewasiri.😭🙏
24
39
2
103
5,220
Fuckoff
📸 - MANCHESTER UNITED FANS DEFINITELY MISS THIS MAN!
7
249
📸 - MANCHESTER UNITED FANS DEFINITELY MISS THIS MAN!
271
641
205
16,655
391,654
Uoga ni ukuta unaotuzuia kufikia uwezo wetu, kwani mafanikio kama kuanzisha biashara au kujifunza kitu kipya yanahitaji kuvuka hofu ya kufeli. Ukikabiliana na uoga wako leo, utafungua milango ya mafanikio makubwa kesho.
9
32
537
500 goals in just 2 months is insane. We are surely gonna win the treble
🚨 STAT: Antonio Rüdiger scored Real Madrid's 500th goal under Jose Mourinho. @benfeerr 🤯
6
17
1,068
20,907
MJUKUU (Fan) retweeted
Hapa ni sawa na kumfananisha Saliba na Leny Yoro
Wajuaji wa twita nani mrembo kati ya nono na kahawa??
44
16
4
187
28,632
Bado namfikilia Yule Jamaa alioamua Kujinyonga Sababu ya Kunyimwa Unyumba mbona jamaa kachukua maamuzi magumu kwenye tatizo jepesi ambalo angeweza kusolve.!!😂
19
31
1
250
16,164
MJUKUU (Fan) retweeted
Hivi betri la simu likivimba shida huwa ni nini ?
12
20
33
574
MJUKUU (Fan) retweeted
🚨Kocha mkuu wa Mashujaa Amani Josia kuhusu kuonekana wazembe kufungwa na Simba: “Unajua Mashabiki wa mpira wenye uelewa na mpira Tanzania ni wachache sana ukweli ni kwamba Simba ni timu bora Kwa Sasa kama sisi wazembe njoo ucheze nao wewe mjanja.”
9
27
489
11,190
MJUKUU (Fan) retweeted
Wavulana ndio wakiingia kwa mahusiano huoji maswali kama haya as long as hujaikuta bikra na umeridhia, we jivike mabomu tembea, acha maswali ya Gizenge😂🤝.
7
11
69
1,952
MJUKUU (Fan) retweeted
50M + Ayden Heaven. Deal 👊
🚨 𝗖𝗥𝗔𝗭𝗬 𝗙𝗔𝗖𝗧: Willian Pacho has now played 36 Champions League matches without receiving a SINGLE yellow card. 0 CARDS IN 36 GAMES!
2
1
31
817
MJUKUU (Fan) retweeted
Amebakiza miezi saba, vipi tumchukue dirisha dogo wanangu wa Simba SC tuongeze moto pale juu? 😂
14
19
1
196
7,260
Sijawahi kuelewa pale airport na kwenye mall kubwa kubwa akipita mzungu kavaa vest pensi na Kanda mbili hazuiliwi kupita ila ngozi nyeusi ukivaa hivyo wanakuzuia.
18
52
4
421
26,566
Dar ina sifa mbaya sana na ujinga wa kila aina kama unaishi mkoani ukifika dar hizo sifa zote hautaziona mpaka ukumbushwe na hautakubari kama dar ni mbaya kiasi hicho
13
36
58
1,231
Bro huyo Jirani wako wa kike alisema ety hajawahi kukuona umeingiza mwanamke ndani kwako na amesema ety ana wasiwasi na wewe.
12
35
79
1,183
Twitter wana sheria kama askari akikupa kesi baadae mahakama ikathibitisha hauna makosa ni hatua gani za kufuata ila kumtia ndani huyo askari alie kupotezea muda
5
28
46
885
kwa wale wanetu tuliosoma nao ilikuwa ikifika muda mnataka kumtembelea kwao bora umuue ila kwao usipajue mungu akubariki ujenge kwenu mwanetu
5
34
152
5,659
Amebakiza miezi saba, vipi tumchukue dirisha dogo wanangu wa Simba SC tuongeze moto pale juu? 😂
14
19
1
196
7,260
MJUKUU (Fan) retweeted
Dah
13
12
1
362
29,115
MJUKUU (Fan) retweeted
Siku zote jambo huonekana haliwezekani hadi pale linapokamilika.
11
30
524
Siku zote jambo huonekana haliwezekani hadi pale linapokamilika.
11
30
524