CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21) header
CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21) profile picture

Stories untold, power untamed 🦍🍂

Germany
Joined June 2024
Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)Photo by CaLvin ♒️🐬 (@Knowsball21)
Biashara ambazo zinalipa maeneo ya karibu na chuo. 1 : Playstation. 2 : Kuuza mihogo ya kukaanga. 3 : Uwakala. 4 : Kuuza chipsi. 5 : Mama ntilie. 6 : Stationery 7 : Kusajili laini za chuo. 8 : Bodaboda. Kuna ambayo nimeiacha? ongeza kwenye comments 👇
28
32
1
97
3,137
CaLvin ♒️🐬 retweeted
𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐀𝐆𝐈𝐙𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐖𝐀𝐃𝐎𝐆𝐎 𝐖𝐀𝐋𝐈𝐍𝐃𝐖𝐄 𝐃𝐇𝐈𝐃𝐈 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐉𝐀𝐍𝐉𝐀, 𝐔𝐊𝐎𝐃𝐈𝐒𝐇𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐒𝐇𝐀𝐌𝐁𝐀 𝐋𝐀 𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐌𝐁𝐀𝐑𝐀𝐋𝐈 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ameweka wazi msimamo wa Serikali kuhusu shamba la Highland Estate wilayani Mbarali, mkoani Mbeya, lililofanyiwa uthamini wa Shilingi bilioni 30, akisisitiza kuwa fedha hizo zinazotolewa na Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hazipaswi kugeuka fursa ya kujinufaisha kwa watu wachache wenye nguvu za kiuchumi, huku wakulima wadogo waliokusudiwa kusaidiwa wakiendelea kuteseka. Akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa ziarani Rujewa mkoani Mbeya, Makamu wa Rais amesmea Serikali tayari imetoa Shilingi bilioni 10 kwa ajili ya malipo ya shamba hilo, lenye takribani hekari 6000, kwa lengo la kulirejesha chini ya usimamizi wa Serikali na kuwawezesha wakulima wadogo kulikodi kwa gharama nafuu, badala ya kuendelea kulipa kati ya Shilingi 600,000 na 700,000 kwa ekari katika maeneo mengine. Katika hatua inayoonyesha kutoridhishwa na uwezekano wa wajanja kupenyeza majina yao kwenye orodha ya wanufaika, Makamu wa Rais amemwelekeza Waziri wa Kilimo kushirikiana na viongozi wa Mkoa, Wilaya, Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Taasisi za Serikali kuwabaini wakulima halisi wanaostahili kunufaika na shamba hilo, huku akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya yeyote atakayebainika kuhujumu mchakato huo. Amesisitiza kuwa hakuna sababu ya kuwaonea huruma watu wanaotumia nafasi zao kujinufaisha wakati wananchi wa kawaida wanaendelea kuteseka, akionya pia dhidi ya watu wanaoweza kukodi mashamba hayo kwa bei nafuu kutoka Serikalini na kisha kuwakodishia wakulima wadogo kwa gharama kubwa. Aidha, amemtaka Waziri wa Kilimo kuweka ukomo wa muda wa kukamilisha ugawaji wa maeneo hayo, akisisitiza kuwa wakulima wana familia za kuhudumia, watoto wa kusomesha na maisha yanayohitaji kuendelea. Akijibu maelekezo hayo, Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo amemhakikishia Makamu wa Rais kuwa Serikali imekamilisha awamu ya kwanza ya malipo ya shamba hilo na inatarajia kukamilisha awamu mbili zilizosalia ndani ya miezi miwili, huku akiahidi kuimarisha utaratibu utakaohakikisha wakulima wadogo ndio wanaonufaika. Amesema shamba hilo halitagawiwa kwa wananchi kama umiliki wa moja kwa moja, bali litaendeshwa kwa mfumo wa ukodishaji wa msimu kwa gharama nafuu chini ya usimamizi wa Serikali. Hata hivyo, Makamu wa Rais amesisitiza kuwa kasi ya utekelezaji lazima iendane na uadilifu, ili dhamira ya Rais Samia ya kuwasaidia wakulima waliopoteza maeneo yao kufuatia mabadiliko ya mipaka ya hifadhi isije ikatekwa na watu wenye maslahi binafsi, na kuwaacha walengwa halisi wakiendelea kusubiri haki yao. Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais 18 Oktoba 2026 Rujewa.
14
15
430
Wazee wa kupretend, watu kama hawa ndio hawakosi bandani kuangalia timu zao, wewe kama ni uto na umeumizwa na matokeo sema tu 😂
Mpira wa bongo hauvutii najaribu kufosi unyama sielewi kitu🚮
1
48
Jamaa ana damu ya kupenda vitu vibovu 😂
Anaanza Inno Loemba Anafuata Bakari Msimu Then Osimhen 🔥😉 Hawa Wachezaji Wangu Pendwa Pale SIMBA 🦁
1
52
Yani doumbia ukisimama nae tu unajua hapa hamnamo player, hao wanashindwaje kujua hilo? 😂
🚨walio msajiri Victor oneni wanajulikana, mangungu asiguswe..!😂
1
1
2
60
Aziz ki ashindwe kucheza ligi yetu hii? tema mate chini.
unavailable
35
Kitu ambacho haujui fuatilia waliopost deal done issue ya fei alafu angalia wanashabikia timu gani. Sababu ya felix kutokuwepo kwenye mgao inaeleweka.
Fabrizio pekee ambae hakutuingiza kwenye Chaka la usajili wa Feisal 🙌🙌 Big up Sanaa kwake 👊
59
Ligi yetu ni dhaifu wala usisubiri aziz ki aclick, simba wataanza kushinda mechi vs kagera na doumbia afunge aonekane player kumbe hamna kitu.
Aziz Ki aki-click kwenye Ligi yet na akawaka. Nitaamini tuna Ligi DHAIFU sana ila tunaipa tu hype za kifamba
64
Why not !
Can i be your bestfriend, if you promise you’ll be mine?
36
Mmeleta trending imeondoka na mashabiki wenzetu kibao wasiojitambua, Mo na genge lote kvma tu, nyie wote makvma na wanaowaamini kwa propaganda zenu wote makvma, kvmamako.
1
42
Aziz ki 🔴🦁 Eeh kmmk hii lazima mlie mpaka mjinyee 😂😂
2
45
Kwanza, boss anapost namba 6 insta ili kuteka attention ya mashabiki. Pili, anatangaza usajili haujaisha siku ya simba day huku hajaidhinisha hela ya kumsaini seleman. Tatu, na nyinyi mmemtangaza mchezaji ambae hamjamaliza usajili wake. Kiufupi mnaumiza mashabiki wenu.
Tizi la Mnyama ndani ya Zanzibar. #NguvuMoja
2
47
Simba mchezaji mzawa wa kuanza ni kagoma peke ake.
Kelvin nashon, bakari msimu, antony mligo, kibaigwa yule dogo, vedastus masinde, husein abel, morice abraham, semfuko, doumbia, nathanel chilambo, pengine ni wachezaji wa kawaida ila hawapaswi kuichezea club ya simba na hata jersey ya simba hawatakiwi kuishika🙌
1
62
Ila mpira wa Tanzania yani mtu anasimama kwenye kipaza anasema 'mwaka huu tunawapiga miti' , umati wote ule na walioangalia kwenye TV mpaka watoto wabebe huo msemo?
27
Sisi ndo tulitoa jezi sio hayo matambala yao 😂😂
Replying to @FCBayernEN
wanangu wa Simba Sc naomba niwaone hapa. 😂🔥
1
40
Jezi mboooovuuuuuuu alafu zote tatu manina 😂😂
21
We ungemuomba Mungu tu akuumbe mzuri la sivyo utatumia sana picha za watu 😂
This Post is from a suspended account. Learn more
1
44
CaLvin ♒️🐬 retweeted
Una maoni gani kuhusu huu uzi?
55
38
12
269
24,716
Jezi nyeupe na nyekundu ni kali sana 🔥
Kuna jezi itapanda bei hapa na itakua adimu 🔥 Whatsapp 0763514126 Njoo uwahi mapema sasa
1
2
33
CaLvin ♒️🐬 retweeted
Kwanini Mwanamke alozalishwa alafu akaachika anakuaga na hasira sana na matusi ya nguoni Nadhani fika jana mmeona mtanange w Wasimbe wanavyotoa manen machafu ya nguon Mtu akiachwa na mwanaume aliyemzalisha tena mtoto wa kwanza anaharibikaga kisaikolojia san wanahitaj canceling
1
2
4
130
Humu ndani nitakuwa naona tweets za ndume wenzangu tu sasa 🤣
1
1
45