CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ameweka wazi msimamo wa Serikali kuhusu shamba la Highland Estate wilayani Mbarali, mkoani Mbeya, lililofanyiwa uthamini wa Shilingi bilioni 30, akisisitiza kuwa fedha hizo zinazotolewa na Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hazipaswi kugeuka fursa ya kujinufaisha kwa watu wachache wenye nguvu za kiuchumi, huku wakulima wadogo waliokusudiwa kusaidiwa wakiendelea kuteseka.
Akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa ziarani Rujewa mkoani Mbeya, Makamu wa Rais amesmea Serikali tayari imetoa Shilingi bilioni 10 kwa ajili ya malipo ya shamba hilo, lenye takribani hekari 6000, kwa lengo la kulirejesha chini ya usimamizi wa Serikali na kuwawezesha wakulima wadogo kulikodi kwa gharama nafuu, badala ya kuendelea kulipa kati ya Shilingi 600,000 na 700,000 kwa ekari katika maeneo mengine.
Katika hatua inayoonyesha kutoridhishwa na uwezekano wa wajanja kupenyeza majina yao kwenye orodha ya wanufaika, Makamu wa Rais amemwelekeza Waziri wa Kilimo kushirikiana na viongozi wa Mkoa, Wilaya, Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Taasisi za Serikali kuwabaini wakulima halisi wanaostahili kunufaika na shamba hilo, huku akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya yeyote atakayebainika kuhujumu mchakato huo.
Amesisitiza kuwa hakuna sababu ya kuwaonea huruma watu wanaotumia nafasi zao kujinufaisha wakati wananchi wa kawaida wanaendelea kuteseka, akionya pia dhidi ya watu wanaoweza kukodi mashamba hayo kwa bei nafuu kutoka Serikalini na kisha kuwakodishia wakulima wadogo kwa gharama kubwa.
Aidha, amemtaka Waziri wa Kilimo kuweka ukomo wa muda wa kukamilisha ugawaji wa maeneo hayo, akisisitiza kuwa wakulima wana familia za kuhudumia, watoto wa kusomesha na maisha yanayohitaji kuendelea.
Akijibu maelekezo hayo, Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo amemhakikishia Makamu wa Rais kuwa Serikali imekamilisha awamu ya kwanza ya malipo ya shamba hilo na inatarajia kukamilisha awamu mbili zilizosalia ndani ya miezi miwili, huku akiahidi kuimarisha utaratibu utakaohakikisha wakulima wadogo ndio wanaonufaika. Amesema shamba hilo halitagawiwa kwa wananchi kama umiliki wa moja kwa moja, bali litaendeshwa kwa mfumo wa ukodishaji wa msimu kwa gharama nafuu chini ya usimamizi wa Serikali.
Hata hivyo, Makamu wa Rais amesisitiza kuwa kasi ya utekelezaji lazima iendane na uadilifu, ili dhamira ya Rais Samia ya kuwasaidia wakulima waliopoteza maeneo yao kufuatia mabadiliko ya mipaka ya hifadhi isije ikatekwa na watu wenye maslahi binafsi, na kuwaacha walengwa halisi wakiendelea kusubiri haki yao.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais
18 Oktoba 2026
Rujewa.
Kwanini Mwanamke alozalishwa alafu akaachika anakuaga na hasira sana na matusi ya nguoni
Nadhani fika jana mmeona mtanange w
Wasimbe wanavyotoa manen machafu ya nguon
Mtu akiachwa na mwanaume aliyemzalisha tena mtoto wa kwanza anaharibikaga kisaikolojia san wanahitaj canceling
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
Machangudoa yanaambiwa mi wa kishua yanabisha yanadhani kila aliekengeuka kakulia maisha ya kuchambia magunzi kama wao, hivi mnanichukuliaje nyie jamani, em siku tafuteni wanaonijua vizuri wawaambie๐
@mjomba__nimama hebu yape brief kidogo haya makurumbembe
Nyie kuteseka sio sifa na mi sitaki kuwadanganya sijakulia maisha ya shida kabisaa, mi ni wale team kindergarten bhana
Baba angu ana watoto zaidi ya 20 na wote hakuna hata mmoja aliesoma kidumu na mfagio, picha linaanza way back mi na dada zangu wawili tumesomeshwa baobab kwa mkupuo na mzee hajawahi jikuna kusort mazingira
HALAFU WEWE TRIXIE BWANA AKO WA ZAMANI ANAJUA KAMA USHATOMBANA PIA NA JAMAA AKE AMBAE PIA ALIKUA BWANA WA RAFIKI AKO?! na unajua kwanini jamaa ake ex wako kakutomba?!
KWASABABU BWANA AKO ALIKUA ANAMLALAMIKIA KUWA WE NI MRAHISI NA NI OMBAOMBA, KWANZA ULISHAHAMA PALE ULIPOTAKA KUFUKUZWA KODI 100k UKAANZA KUPIGIA WATU SIMU HOVYO UNALIA MPAKA KAMASI WAONGEE NA MWENYE NYUMBA AKUVUMILIE?!๐
AFU YULE BWANA ULIEMUOMBA AKURUDISHE KWENYE BOLT FOR BUSINESS KWA MALIPO YA KUKUTOMBA KILA WEEKEND KWANINI SASA ULIMBLOCK BAADA YA KUJUA NAJUANA NAE?! Utaishije sasa?!๐ญ
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
Msimu huu mechi ambayo ilikuwa rahisi kwa Simba ni dhidi ya Mtibwa sugar na ndiyo mechi ambayo Simba ilicheza Chini ya Kiwango kuliko mechi zote Mpaka hivi sasa๐๐
Unaruhusiwa kubisha ๐คท
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
Nazidi Kuamini kuwa mablichi hakuonewa Kuwekwa benchi na professor wa Mpira ๐๐
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
Diara.
Mayele
Aziz k.
Pacome.
Aucho.
Max.
Mudathiri.
Hakuna kiongz wa simba aliyewahi sajili quality kama hizi toka tupate uhuru
This post is from a suspended account. Learn more
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
Mimi mwenyewe nimetoa dongo hapa
This Post is from a suspended account. Learn more
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
Bora tuu huyo Mpanzu kaongeza mkataba huko Msimbazi โ Zile tetesi za kuja jangwani nilikuwa sizikubali hata kidogoโฆโฆโฆ๐๐๐ค
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
๐ฅkwenye path ya Morocco hakuna taifa la kumzuia kufika fainal upande wa pili nusu fainal Senegal na ivorycoast kitawaka,,๐๐
Ila mshindi kati ya Senegal na ivorycoast ndiye BINGWA WA AFCON msimu huu,,๐
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
๐ฅHuyu nae kasema nikimuacha ataniua nimemuuliza kama ni traditional aseme mapema nimpe viambata,,๐๐ asihangaike kuchota footprint
CaLvin โ๏ธ๐ฌ retweeted
๐ฅX mahaba ikiwa kila akitaka kukuaga usiku anatuma emoji za hivi
"๐ซ๐ฅฐ" au
"๐ซ๐" na hauhusiani nae anakuwa anamaanisha nini,,๐
NB. Huu mwaka malengo nimewaachia nyie,,๐


































