Hapa kuna chuo mtoto kamzaa mtoto halafu kamtupa nje ya hostel mtoto kakutwa asubuhi yuko hai uchi wa mnyama, mwanachuo akaona hali yake sio, kakimbilia hospital kujitibia, polisi wamezingira hostel
Madogo wanapenda chips za bure wanasahau baba wa mtoto ni nani😃
KEVOO___! retweeted
CEO Andre Mtine ameondoka @YoungAfricansSC – at Dar es Salaam, Tanzania
KEVOO___! retweeted
Two nations one vibe. 🇹🇿🇳🇬 Wear the bond, feel the vibe.
Bracelet available for 10k
Loc: Mwenge mpakan
Call: 0612463635.
KEVOO___! retweeted
#TajiriLaKihaya
Ghorofa la TANZANITE kaka au Barick?
Replying to @EsirEid
Bro, niko office X hapa Victoria, cha kumshauri bro yeyote, mbakishe mke nyumbani 🙏🙏🙏
KEVOO___! retweeted
Yow. Uyu wakala wiki mbili zilizopita wamemchapa 15M. Jana kuna mtu katoa 900k wakapita nayo. Leo mornie jamaa kanywa sumu. 💔
Bookstore makumbusho/Morocco?
Nicheki uvute mpunga b4 saa 1 leo
@EsirEid
74
Wakati naandika ka-uzi nikakuta post ya hii notification haipo tena I'm sorry @MakonLizzie kuileta hapa
CHEKI MWISHO ILIVYOKUWA
Nilikutana na dem jkt 👇👇🤡
Anauliza kama ana nafasi kwangu arudi,
Anatamani anitumie nauli nikamkune maana anasema kasuswa na bwanake anaogopa kwenda kwa mwanaume mwngne na ana mtoto
Niko kitaa na mitikasi yangu na sielew nimsaidieje single mother wa watu
1
105
















