Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002) header
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002) profile picture
Zagreb, Croatia
Joined March 2024
Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)Photo by Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 (@LParino2002)
Bellingham kumweka debate Moja na kina pedri na zile slayboy zingine huwa mnamkosea sana aise, 😌😌
25
10
4
184
6,540
Kuna muda unatakiwa kujua ya kuwa ndotto na malengo yako ni muhimu kuliko mahusiano yasiyo na muelekeo,😊
1
1
2
105
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
GM Fam
28
9
1
141
5,241
Ila asiwe mchaga tu,😆
This quoted post is unavailable.
1
109
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
Hivi kuna kikosi epl bora kushinda hichi cha Manchester United kama kipo niwekee kwenye comment 😎🫵🏽
4
17
2
49
1,334
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
Mama alivoanza kuongea Bar nzima wametukana 😆
92
77
16
1,204
64,101
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
Ladies: Mwanaume akiwa na hela haimaanishi kila unapotaka pesa kwake awe anakupa tu,angekuwa anazitumia hivyo sidhani kama ungezikuta omba pesa inapobidi..
12
54
234
4,449
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
Mpitie kwa mantilie mpate soup safiii🔥😋 f2:Nilivyosema nimeacha pombe kuna madogo mmenichamba umbea😂😂Sasa hyo 2016 hapo mkononi nilipata ajari ya boda,Nilivyotoka tu hospital nikafikia kwenye ki pub kimoja ninywe ili kukata maumivu maana nilikuwa nahitajika kusafiri🥱
17
31
119
5,220
Dogo pikipiki uliuza?
Hii ilikuwa 2020 TEGETA - MBUYUNI Throwback thursday 🤣🙌
1
88
Ila waafrica kwa kujipendekeza! Sijui huo ufala utaisha lini Qmmk, nawashanga wale benini wanalaumu eti kwanini andunje amegoma kupiga picha na wao mara sijui amegoma kubadilishana Jezi na wao Sasa ilikuwa Ina umuhimu Gani zaidi wakuu daah,
2
82
Hii kataalamu inaitwaje,😆😆😆
1
3
70
Ila watu! hii ya hamza kafia ubalozini ndiyo ipoje hiyo wakuu, 🤣🤣🤣
1
1
3
74
Huenda hayo mateso unayopata sahivi ni laana ya wale panzi uliokuwa unawang'oa miguu zamani,🥴🥴
1
82
Ulishawahi mtongoza mtu unae heshimiana nae akakukata vipi uso wako uliuficha wapi mwanetu,🤦😆😆
63
🚨TBT threads, Drop your Favorite TBT Picture..!✍
1
1
7
172
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
Kwenye hili dili la Puma la huyu janja hapa simba kuna faida yoyote wanapata ?
9
15
1
293
11,283
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
His queen 🤣…..
bless your timeline with a queen
24
21
4
112
4,386
Limewauna kina nani Sasa? Labda hao waandishi wanaropoka,
Hili suala la kukaa kimya limewauma sana eti
44
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
Daslam ndio sehemu pekee wanawake kwa wanaume wanapanda bodaboda mshikaki na hawajuani 😆😆
24
20
3
236
13,058
Wimbi la mauaji ya wanawake limekuwa kubwa mno, Toka huu mwezi ulipoanza kila siku ni mauaji ya wadada kuuwawa na wapenzi wao, dada zetu nachoweza kuwaambia tu punguzeni tu tamaa za kutaka pesa ambazo hamjatafuta hii imekuwa to much Sasa daaah,🙌🙌💔💔
3
2
10
184
Luka modric 🇭🇷 👑🇹🇿 retweeted
Sado 25k Ndoo ndogo 70k Ndoo kubwa 130k 📍Mwanza 🚚Mikoa yote natuma 📞0756195726 Karibuni sana wakuu 🤸
7
71
6
78
2,966