Bwibwi (@Kituchabwibwi) header
Bwibwi (@Kituchabwibwi) profile picture

https://xitter.cf/t.co/Egp5q9N1lr

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2021
Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)Photo by Bwibwi (@Kituchabwibwi)
Bwibwi retweeted
Bro to Bro: Stop running from the loneliness. Sit with it, and fix your life.
1
7
1
33
766
Kadri Ninavyokuwa Mkubwa, Naanza Kuelewa Kwanini Siyo Kila Anayeenda Kutazama Mpira Uwanjani Ni Shabiki… Bro; Ukipata Sehemu Ya Kwenda Kupiga Kelele Hadi Sauti Ikakauka Nenda….. NENDAAAAAAAAAA…!!!!!
12
14
143
4,104
Ni kweli umepitia Changamoto nyingi katika maisha mpaka kufanikiwa ila usitumie Changamoto zilezile kuwapitisha wengine watakao kuomba msaada wako
8
49
1
258
7,236
Ukitaka kubadilisha maisha yako, jiulize hivi Ni tabia gani inanirudisha nyuma? Ni mambo gani yanayonifanya nipoteze focus? Ni kitu gani ninakikwepa kwa sababu ya hofu? Je, maisha ninayoishi yanaendana na mtu ninayetaka kuwa? Huwezi kurekebisha kitu ambacho hujakitambua.
2
13
1
55
1,098
Hupendi purukushani za majumba makubwa..!?, Chukua hii 3 Bedroom Simple kabisa ✍️✍️ 1. 1 Self, 2 Plain Bedroom 2. Sitting room 3. Kitchen 4. Public toilet Bati 78 Block 2800 Ramani na makadirio yapo kwetu kwa bei poa. 👇👇👇 wa.me/c/255746122023
3
12
1
20
9,149
Bwibwi retweeted
Wee DADA, Kama una BOYFRIEND wako na anafanya kazi kiwanda cha ubunifu, Bank au muda mwingi anafanyia kazi zake kwenye PC/Laptop. Embu fanya siku ya Birthday yake, Mpe zawadi hii Alafu Uone Reaction Yake Itakuwaje. Alafu Bei Yake Sasa Hata Sio Kubwa ni Tsh 350K Tu.
5
10
1
32
2,481
Bwibwi retweeted
Kuna wale watu walijua, alafu wakaamua kuuchubua yalivyokukuta ndio wakasema "Tulijua Mboona" Sikia... Kaa mbali na hao majamaa sio watu wako.
4
9
61
1,294
Ziwa linafungwa (tunaingia giza) hivyo dagaa wa ziwa Victoria watakuwa adimu, wasiliana nasi kupata mboga mapema ili kuepuka usumbufu. Sado/1kg - 25,000 0759855572
24
27
376
What are you selling today
2
4
150
Good morning Twitter fam 🙏 Kumbuka bado tunauza simu na kutengeneza simu. 📱🔧 📍 Ubungo 📞 0789456054 Usichoke kupambana, kila siku ni nafasi mpya ya kufanikiwa.
1
13
19
382
Bwibwi retweeted
Aloo ujue kuna muda huhitaji kula course ya kiingereza kwa ras simba inachotakiwa kufanya ni kujipatia kibotolo cha mkulima wine ujidunge mdogo mdogo lugha ipae. Nb:Tena inaongeza hadi confidence, Karibuni sana mataikuni zangu🙌🏾🙏🏾🍷
2
14
20
396
"Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, asema Bwana, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima."(Yn. 8:12)
1
11
32
1,095
Bwibwi retweeted
ukishazingua kubali tu, pretending to be smart won't fix anything.
7
13
244
Bwibwi retweeted
Kama HSBC, Salesforce, IKEA, CNN, BBC etc.. zimekuwa skimmed kupitia web plugin, vipi tukifikiwa kwa hawa ndugu zetu kila week na jumbe za "Ndungu mteja, tunaomba radhi…" Are we really prepared?
5
6
1
54
1,915
If God removed them, stop trying to bring them back. He saw what you didn’t.
6
9
73
1,084
Baba wa Mbinguni, Asante kwa asubuhi ya leo. Tunaamka tukiwa tumezungukwa na kibali chako. Ninaomba kila mlango ambao umetuandalia ufunguke bila shida yoyote. Hofu na wasiwasi visibaki ndani yetu. Tunajua kwamba tunaungwa mkono, tunalindwa na tunaongozwa kikamilifu na neema yako!
1
7
184
“Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.” Isa 40:8 SUV
2
16
33
494
Jifunze kuwa na UVUMILIVU na kuelewa mchakato. Nowadays, uvumilivu kwa vijana umekuwa ni bidhaa adimu. Tupo kwenye karne ya mwendokasi. Vijana wanataka pesa za haraka na matokeo ya haraka. Lakini wanasahau kuwa mambo yenye thamani yanahitaji MUDA, MCHAKATO na NIDHAMU.
1
12
31
556
Replying to @Kituchabwibwi
Na wewe ni VAGItarian mtaalamu..?
1
1
1
90
Replying to @Kituchabwibwi
Haijawahi kukutokea 😅😅
1
1
1
12