Dan Chibo (DC) (@danchibodc) header
Dan Chibo (DC) (@danchibodc) profile picture

Father | Husband | Catholic | Media Personnel | 馃摉 1 Yohana 2:6

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2009
Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)
Siri ni 饾悓饾悮饾惃饾惁饾悰饾悽. Sababu ni 饾悓饾惍饾惂饾悹饾惍. Mpango ni 饾悢饾惌饾悽饾悽. Matokeo ni 饾悕饾悶饾悶饾惁饾悮.
6
68
227
3,839
Na unapoomba usiku wa leo; Mshukuru Mungu kwa kukuwezesha kuvuka mwezi mwingine. Kupitia kila changamoto, kila vita visivyoonekana na kila ushindi wa kimya kimya. Bado upo ukizidi kusonga na hiyo ni neema kuu kuliko. Hitimisha mwezi huu kwa shukrani.
6
131
Kesho, Novemba 1 ni Sherehe ya Watakatifu Wote. Katika Kanisa Katoliki, hii ni Siku Takatifu ya Wajibu; hivyo ni vyema kuhudhuria Misa. Ni jambo jema sana sherehe ya mwaka huu inaangukia siku ya Jumapili, jambo linalowezesha Waamini kushiriki kwa wingi katika sikukuu hii muhimu!
2
8
264
Dan Chibo (DC) retweeted
Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume - CHANIKA, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limetabarukiwa leo Jumamosi ya Oktoba 31, 2026. Atukuzwe Mungu milele. Maskani zako zapendeza kama nini, Ee Bwana Mungu wa Majeshi馃檹
5
21
190
3,062
Hata ukikumbana na changamoto za aina gani maishani, na hata pale maumivu yanapoonekana kuwa magumu kuvumilika, baki imara na uwe na ujasiri. Kuta imara zinaweza kutetemeka, lakini hazianguki kwa urahisi. #ElimikaWikiendi
2
8
174
Hukukusudiwa kamwe kubeba kila mzigo peke yako. Mungu hutupa watu ambao wanaweza kuomba pamoja nasi, kututia moyo na kutusaidia kuendelea mbele. #ElimikaWikiendi
5
12
222
Kama unataka kufika mbali maishani, acha kumwambia kila mtu kila kitu. Si kila mtu anakupenda na si kila mtu anataka mema kwako. Linda mipango yako, songa mbele kimya kimya na acha mafanikio yawe ndiyo yanayofichua kile ambacho umekuwa ukikifanyia kazi. #ElimikaWikiendi
5
11
310
Maria, Mama wa Haki, waombee wanaokabiliwa na migogoro migumu ya kisheria. Kweli na itawale, haki itendeke na walio katika mazingira magumu wapate ulinzi. Wajalie uvumilivu kipindi hiki cha kutokuwa na uhakika na ujasiri wa kubaki waaminifu, hata pale njia inapokuwa ngumu. Amina!
5
84
Unapoanza siku mpya, Mungu akutangulie, aongoze hatua zako, akulinde dhidi ya madhara, abariki kazi ya mikono yako na kukupa mafanikio katika jitihada zako zote zenye thamani. Amina!
1
9
161
Baba wa Mbinguni, Asante kwa zawadi ya asubuhi hii nzuri ya Jumamosi. Asante kwa pumzi ya uhai, kwa upendo wako usio na kikomo na kwa rehema zako ambazo ni mpya kila uchao. Tunapoanza siku hii, tunaweka maisha yetu, familia zetu, kazi zetu na mipango yetu mikononi mwako. Amina!
2
3
15
289
Dan Chibo (DC) retweeted
Dear God, Thank You for the gift of this new day, thank You for Your mercy, grace and faithful love. Lord, today we place every thought, plan and concern into Your hands, guide our steps & surround us with Your presence. Grant us Your wisdom and fill our hearts with peace. Amen
35
31
173
1,434
Na unapoomba usiku wa leo, omba upate macho yanayoweza kuona gizani. Baadhi ya vita hushindwa si kwa kuepuka usiku, bali kwa kujifunza kuona mkono wa Mungu hata wakati bado kuna giza. Uwezo wa kuona gizani ni ishara ya kukomaa kiroho!
4
185
Mungu anakuambia usiku wa leo: Unahangaika kupita kiasi bila sababu yoyote, na jambo hili linaathiri nyanja nyingi za maisha yako. Kumbuka mimi ni nani. Hakuna jambo gumu sana kwangu. Huenda usilione sasa, lakini nimeandaa jambo la ajabu kwa ajili ya maisha yako ya baadaye.
2
18
320
Imeandikwa, "Bwana alitoa neno; nao waliolitangaza walikuwa jeshi kubwa." Kwa jina la Yesu, Bwana na aamuru mabadiliko ya majira kwa ajili ya kuinuliwa kwako, kiasi kwamba Mungu na wanadamu watalazimika kukusaidia na kukupendelea. Yesu anajijengea sifa kupitia maisha yako.
4
12
273
Maria, Mama wa Rehema, waombee wale wanaohisi wametelekezwa na kusahauliwa na Mungu. Wakumbushe kwamba ukimya wake haumaanishi kutokuwepo kwake na kwamba upendo wake hautegemei hisia zao. Waongoze kwenye Moyo wa Yesu, mahali ambapo kila nafsi iliyojeruhiwa inapata pumziko. Amina!
3
12
175
Baba wa Mbinguni, Asante kwa kutuamsha asubuhi ya leo. Kabla hatujaingia kwenye mihangaiko, mioyo yetu inachagua kuelekea kwako kwa shukrani. Kama Zaburi 107:21 isemavyo, tunakusifu kwa wema wako mkuu na matendo ya ajabu uliyoyafanya na unayoendelea kuyatenda katika maisha yetu.
6
2
20
289
Tulilala usiku kucha, Yeye alitulinda na akatuamsha tena, Yeye ni Mungu!
3
6
25
352
Na unapoomba usiku wa leo, usiharakishe. Omba kama mtu anayejua kuwa sala si njia ya kukwepa uhalisia, bali ni mlango wa kuingia katika uwepo unaotawala uhalisia huo. Dunia imechukua nguvu zako kwa siku nzima; sasa, mpe Mungu umakini wako. Yeye ameona gharama uliyolipa leo.
10
164
Amina 馃檹馃徑鉁濓笍
2
9
180
ATUKUZWE MUNGU Atukuzwe Mungu. Litukuzwe Jina lake Takatifu. Atukuzwe Yesu Kristu, Mungu kweli na Mtu kweli. Litukuzwe Jina la Yesu. Utukuzwe Moyo wake Mtakatifu. Itukuzwe Damu yake Takatifu. Atukuzwe Yesu, katika Sakramenti Takatifu ya Altare. Atukuzwe Roho Mtakatifu Mfariji.
1
2
8
139
Asifiwe Mama wa Mungu, Maria Mtakatifu. Asifiwe Maria, aliyekingiwa dhambi ya asili. Asifiwe Maria, aliyepalizwa Mbinguni. Lisifiwe Jina la Maria, Bikira na Mama. Asifiwe Mtakatifu Yosefu, mchumba wake mwenye usafi kamili. Atukuzwe Mungu, katika Malaika wake na Watakatifu wake.
17