Day 21/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Mteja Akikuuliza Unapatikana Wapi, Unamtumia Location.
Akikuuliza Unauza Nini, Unaanza Kutafuta Picha Kwenye Gallery Wakati Unaweza Kumuelekeza Account Yako Na Akachagua Anachokitaka.
Kadri Ninavyokuwa Mkubwa, Naanza Kuelewa Kwanini Siyo Kila Anayeenda Kutazama Mpira Uwanjani Ni Shabiki…
Bro;
Ukipata Sehemu Ya Kwenda Kupiga Kelele Hadi Sauti Ikakauka Nenda…..
NENDAAAAAAAAAA…!!!!!
Day 20/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kama Biashara Yako Haina Hata Akaunti Ya Mitandao Ya Kijamii Inayoonyesha Unachouza, Bado Una Kazi Ya Kufanya.
Dunia Ya Biashara Imesonga Mbele!
Mwalimu Wangu Aliwahi Kunifundisha Namna Ya Kutumia Attention Katika Biashara…
Hii Attention Ya GTA VI Ni 🔥🔥
Day 19/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Unaweza Kuwa Na Duka Zuri Sana, Lakini Usisahau Kwamba Sio Kila Mteja Atapita Mbele Ya Duka Lako. Jifunze Kuwafikia Hata Walio Mbali Kwa Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Day 18/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Usione Wengine Wanapata Wateja Mtandaoni Halafu Uanze Kusema Wana Bahati. Wengine Wamejifunza Kutumia Platform Hizo Vizuri.
Weekend Nilipata Wasaa Nikasema Ngoja Nitizame Movie…
Oya!
Hili Picha Litengwe🔥🍿
Nipe List Ya Movie Zako Unazozikubali🫵
Kwa Sasa Hatupo Tena Kwenye Social Media Pekee, Tupo Kwenye Interested Media.
..
Zamani, Social Media Ilikuwa Inahusu Kuona Maudhui Ya Marafiki, Familia Na Watu Unaowafollow.
..
Lakini Sasa, Platforms Kama TikTok, Instagram, Facebook Na YouTube Zinakuletea Maudhui Kulingana Na Vitu Unavyovipenda, Unavyotafuta Na Unavyovifuatilia, Hata Kama Hujamfollow Aliyepost.
..
Kwa Hiyo, Katika Era Hii, Usijenge Content Kwa Ajili Ya Watu Wanaokufollow Pekee. Jenga Content Kwa Ajili Ya Watu Wanaovutiwa Na Unachozungumzia.
Share Ujumbe Huu Kwa Rafiki Yako Naye Ajifunze✌️
Day 17/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Bidhaa Zako Zimekaa Dukani…
Picha Zake Zipo Kwenye Simu..
Lakini Hujapost…
Hivi Unasubiri Nani Azipost Kwa Ajili Yako ?
Nafkiri Mwenyezimungu Anaweza Kuipima Imani Yako Kwa Kukuonyesha Maendeleo Ya Waliomuasi.
Au Unasemaje ?
Day 16/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kama Unafikiri Kutangaza Biashara Yako Ni Kujisumbua, Subiri Uone Jinsi Kutokujitangaza Kunavyoweza Kukusumbua.
Day 15/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Wengine Wanatumia Mitandao Ya Kijamii Kujenga Biashara. Wewe Unaitumia Kuangalia Biashara Zao Zinavyokua.
Unaona Hiyo Tofauti ?
Hivi Ni Vitabu 10 Maarufu Alivyoandika Brian Tracy Unatakiwa Kuvisoma:👇
1.Eat That Frog!
2.The Psychology Of Selling.
3.Goals!
4.No Excuses!
5.Maximum Achievement.
6.The 21 Success Secrets Of Self-Made Millionaires.
7.Change Your Thinking, Change Your Life.
8.Focal Point.
9.Million Dollar Habits.
10.The Power Of Self-Confidence.
Je Ni Kitabu Gani Nimesahau ?






