Ni Batteries za UPS ya hiyo CT SCAN kwa ajili ya Backup power kama umeme umekatika, Mostly zile Batteries ni 12V 200AH 40Pcs kwenye UPS ya 60–80KVA, Battery kama hiyo kwenye picha.
Definitely not tech roles. They will give you a live coding test. On a shared screen. With 3 engineers watching in silence. No Google. No ChatGPT. Just you and your lies.
#TOTTechs retweeted
Ukiwa na duka lenye bidhaa nyingi, lazima unajua hii: mteja anauliza bei, mfanyakazi wako anakupigia simu, wewe uko busy, mteja anaondoka.
So nimetengeneza beibook 📒: daftari la bei kwenye simu yako na ya kila mfanyakazi wako. Ukibadilisha bei mara moja, kila mtu anaiona papo hapo.
Ni bure kwa sasa → beibook.app
@gabyconscious boss, hii itakufaa sana kwenye kazi zako coz najua unauza electronics, na una bidhaa nyingi na bei zinabadilika kila siku. Ningependa kusikia maoni yako mkuu 🙏
Request Repost 🧵
@0x0256 @99Zaburi @anon_codex @StanleyMasinde_ @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @iamdastani @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu @Benji_Fernandes @EsirEid
#DearNyerere Huu mtandaoni pendwa wa X umefungiwa na Serikali lakini bado viongozi na Taasisi za serikali wanaendelea kuutumia. Ni jambo la kushangaza sana.
Leo hii ni 14th October 2026, kwenye nchi za EA ni almost tumebaki sisi tu hatuna Satellite hata kwenye anga la chini. Inabidi tubadili vipaumbele vyetu, tuwe na Space Agency na Space Center hata kwa Partnership. Satellite ina msaada mkubwa sana kwenye nchi kwa dunia ya leo.
Siyo lazima Mkuu, kwenye Tech Interview unaweza ukakuta panel ina mtu mmoja au wawili tu, mwingine kavaa Tshirt ya kampuni, Jeans nyeusi na raba, tena anakuuliza upo comfortable kwenye upande upi wa Tech kabla ya Interview 😁, Mind you Take home ni USD 2500+
Business Model yao ni nzuri toka zamani.
Mtu aliyesoma IT hawezi kuwaza Forex kama chaguo lake la kwanza, na Forex haihusiani direct na IT, japo tech inakupa mwanga na exposure ya Digital Economy.
Kama Taifa,
1: Fungulieni Mitandao iliyofungiwa including X, unapokuwa na content censorship ni red flag.
2: unasema kuhost Data Centers, AI/ICT etc, tunatakiwa kuboresha miundombinu (Power, Network Infrastructures), AI data centers siyo kama traditional data centers. 👇
Leo October 7, 2026 katika Hotel ya Hyatt, London, Serikali ya Tanzania imefanya mazungumzo na Kampuni ya Space X ambayo imewakilishwa na Ndg. Lauren Dreyer ambae ni VP wa SpaceX Vice na pia Head wa Starlink Global Subsidiaries/kampuni tanzu zote za Starlink Duniani.
Pia kikao kilihudhuriwa na Rebecca Hunter, ambae ni Global Licensing and Market Access Director wa SpaceX and Starlink ambapo pamoja na issue zingine mazungumzo yameeleza utayari wa Tanzania ku host data centers, uwekezaji wa kimkakati katika eneo la AI/ICT etc.
Serikali ya Tanzania iliwakilishwa na PM Dkt. Mwigulu Nchemba na Mawaziri kadhaa wa kisekta kama Bi. Angella Kairuki wa ICT, Prof. Kitila @kitilam wa Mipango na Uwekezaji na ipo London katika ziara ya kimkakati ya siku 3 hapo London ambayo inahusisha mikutano ya kimkakati (high level strategic meetings) 47 inayolenga kuvutia uwekezaji mkubwa mno TZ kutokea EU na UK!
Pia kutakua na jukwaa la Uwekezaji (kati ya Tanzania na UK) ambalo zaidi ya kampuni 300 duniani zitashiriki na TISEZA wamepiga kambi hapo kuhakikisha tunaondoka na kijiji cha wawekezaji kuja Tanzania!
By 2030 Tanzania inaweza kuwa something bigger and bigger..na kama ambavyo tuliwahi ongoza Political liberation movements hapa Africa, Tanzania again since awamu ya JPM na SSH we embarked on moves to lead ECONOMIC LIBERATION ya AFRICA na tutafanya kwa hakika!

















