Samson Ernest (@SamsonErnest_) header
Samson Ernest (@SamsonErnest_) profile picture

Soma Neno Ukue Kiroho Liwe Jua Iwe Mvua Soma Biblia Yako

Singida, Tanzania
Joined December 2016
Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)Photo by Samson Ernest (@SamsonErnest_)
USHIRIKIANE NA WAEPUKE MBALI WATU WENYE TABIA YA KIGEUGEU Mit 24:21-22 SUV [21] Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu; [22] Maana msiba wao utatokea kwa ghafula; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao.
3
20
49
3,417
Samson Ernest retweeted
Hii nchi mitego imewekwa kila sekta. Kuwa makini sana huko uliko katika kutafuta kitoweo unaweza kuishia kuwa mboga.
4
11
3
51
6,941
Samson Ernest retweeted
Kua vile ambavyo Mungu anataka uwe na kamwe usiishi ili kufurahisha watu au kutimiza matakwa yao ๐Ÿ˜Ž . #ElimikaWikiendi
13
21
282
Samson Ernest retweeted
๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ฟ ๐• ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ผ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐˜€๐—ฎ. โ†’ Jifunze zaidi. โ†’ Tengeneza valuable contents. โ†’ Connect na watu wanakuongezea value. Unaweza kubadilisha maisha yako 10/10.
1
6
10
169
Samson Ernest retweeted
Siyo kila safari inapaswa kutangazwa, sio kila hatua inahitaji shangwe. #ElimikaWikiendi
4
15
226
Samson Ernest retweeted
Mawazo yetu yanafika mwisho fikra zetu zinafika mwisho lakini yupo yeye anae jua mwendelezo wa mawazo na fikra zetu si mwingine bali ni Mungu alie juu ambae yeye pekee ndo ajuae hatima zetu. Kumekucha watu wa Mungu. ๐ŸŒ„ Good morning X family.๐Ÿ‘‹
12
27
34
267
Samson Ernest retweeted
Sehemu unayopaswa kutumia AKILI, ukitumia HISIA, lazima nature ikuadhibu. HISIA ikipanda, AKILI inashuka chini. Haviwezi ku-function at the same time. Master youโ€™re EMOTIONS.
1
8
26
465
Samson Ernest retweeted
Polepole ndio mwendo usiwe na haraka kila jambo na wakati wake kuna Mtu alijenga nyumba akiwa na miaka 20 mwingine alijenga yake akiwa na 40 mwingine 50 Maisha hayana presha haya mdo mdo Utafika.
3
28
2
88
1,357
Bro to Bro Mwanamke anayekuweka kwenye maombi yake kila siku ni wa muhimu sana kuliko yule anaekuweka status kil siku". Staytoxiq๐Ÿฅท
7
18
65
832
Samson Ernest retweeted
Moyo wa shukrani huona baraka hata katikati ya mapito. Tuanze na Mungu kwanza ๐Ÿ™๐Ÿฝ
6
18
35
484
Samson Ernest retweeted
Kujipenda si ubinafsi, ni kutambua thamani yako na kuheshimu mahitaji yako.
4
8
39
1,273
Samson Ernest retweeted
2 Wakorintho 12:9 โ€œNeema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu.โ€
1
10
30
911
Vyanzo vya maumivu haviishi, tunatafuta tu sababu mpya za kutabasamu.
5
16
32
336
Samson Ernest retweeted
Angalieni wenyewe CHINA ilikofikia !!, jamaa kwa miaka 40 tangu 1980 wametupiku Waafrika kwa kasi ya Hussain Bolt. Sisi bado tunapambana kuondoa vumbi barabarani na kutandaza mabomba ya maji !!
1
7
21
2,672
Mwanaume, kiumbe anayetoa nguvu, akili na Muda mwingi kuwajali wengine ila hakuna anayemjali yeye. Nikushauri mwanaume jijali, jikumbuke maana ukijisahau utakumbukwa siku unapewa heshima za mwisho na wakati wakianza kukosa vitu ulivyokuwa unawafanyia. Maisha ni LeoโœŠ ~ChrisMauki
6
17
25
468
Samson Ernest retweeted
Replying to @SamsonErnest_
Mungu ana njia zake za kuwaokoa watu wake. Mungu na Shetaani wako kwenye kampeni ๐ŸŽถ
98
Samson Ernest retweeted
Replying to @SamsonErnest_
I appreciate it mtumishi
1
1
1
6
Samson Ernest retweeted
Replying to @SamsonErnest_
The dog won't pay, but the driver will.
1
1
71
Samson Ernest retweeted
Fanya hata hii,kama kitu cha ziada baada ya kutoka ofisini kwako... Tafuta dogo muaminifu muweke hapa..then baada ya wewe kutoka kazini pitia,ili kuweka usimamizi zaidi๐Ÿ™ ๐ŸคAjira pekee,haitoshi kukuvusha hapo ulipo...changamsha akili...kugusa na biashara tofautitofauti๐Ÿ™ ๐Ÿ“ŒKwa wanangu wenye maono haya ya kuuza chips,tuanzie hapa kwanza๐Ÿ™๐Ÿ‘‡
9
11
146
Kuna nyakati unafika mahali unahisi umejaribu kila kitu lakini hakuna kinachoenda kama ulivyotarajia. Mimi huwa najikumbusha kwamba kukwama si kushindwa, na kuchelewa kufanikiwa si sababu ya kukata tamaa. Wakati mwingine tunahitaji kubadili mbinu, si kuachana na malengo yetu. Jambo la kwanza huwa ni kujipa muda wa kutafakari na kutathmini nilipokosea. Si kila changamoto inahitaji kuongeza nguvu; nyingine zinahitaji kuongeza maarifa, kubadili mazingira au kutafuta ushauri kutoka kwa watu wenye uzoefu. Kuendelea kufanya jambo lilelile kwa namna ileile huku ukitarajia matokeo tofauti kunaweza kukuchosha zaidi. Pili, nimejifunza umuhimu wa kugawa malengo makubwa katika hatua ndogo zinazotekelezeka. Badala ya kuhangaika na umbali uliobaki, najikita kwenye hatua ninayoweza kuchukua leo. Hata maendeleo madogo yana thamani, kwa sababu yanajenga nidhamu, uzoefu na kujiamini. Mwisho, usijilinganishe sana na safari za wengine. Kila mtu ana mazingira, changamoto na muda wake wa kufanikiwa. Tafuta watu wanaokutia moyo, endelea kujifunza na usiogope kuanza upya inapobidi. Kukata tamaa kunaweza kukunyima nafasi ya kuona matokeo ya juhudi ambazo tayari umewekeza.
Pale unapojihisi kukata tamaa kwenye jambo lako, Huwa unafanya nini ili kusonga mbele?
2
5
11
350
"Maisha ni mbio za uvumilivu, sio sprint ya dakika moja. Unachopanda leo kwenye maisha na tabia zako ndicho utakachovuna. Fanya mambo yanayokupa heshima hata ukiwa peke yako, kwa sababu kesho yako inajengwa na mikono yako ya leo." Good Morning โ˜“ family ๐ŸŒ„๐ŸŒ„
6
17
16
201